Upeo wako katika real estate ni mdogo sana. Nakushauri uache kujiita exepert broker ila ujiite broker tu au more apripriately DALALI.
Basically wewe ni dalali tu wa vyumba, nyumba na viwanja ambaye unafanya kazi kwa principle ya opportunism na hujui analysis yoyote. Nyie ndio vijana mnaodhani kuvaa tai ndio utaalam!
Follow me closely kwenye hili jukwaa. Huwa si criticize kitu bila evidence kwenye hili jukwaa. Kila jukwaa na mambo yake. Nilipoanza kucomment kwenye hii thread nilidhani umejiandaa kujibu hoja, kumbe uko empty na unachojua ni kulia lia kuwa watu hawajakuelewa. Sasa kama kila mtu hakuelewi mwenye tatizo ni nani?
Kuna vitu umesema ambavyo vinadhalilisha sana shule ulizosoma pamoja na walimu wako, kama pale uliposema kuwa kwenye research kitu kikifikia asilimia 50 ndio kinachukuliwa kuwa statistically significant.
Vilevile umesema Ulaya imeendelezwa na Afrika, jambo ambalo linaonyesha kuwa kichwani hujui kitu na nihakika kuwa hata Ulaya hujawahi kufika na hujui Ulaya ilivyo na iko katika hatua gani ya maendeleo. Unafikiri maendeleo ya Ulaya ni maghorofa!!!
Umeulizwa maswali hakuna hata moja uliloweza kujibu zaidi ya kulia kuwa watu hawakuelewi!
Dogo, kama unafanya kazi na juniors ambao wanakusoma hapa basi ujue umejipotezea authority yote uliyokuwa nayo kwao. Umejiweka uchi hadharani juu ya u-empty wako kwenye real estate.
Ushauri wangu kwako ni kwamba jaribu kujifunza taaluma nyingine kama udereva taxi au uvuvi, inawezekana hizo utazimudu lakini hii ya real estate utaishia kufungwa tu dogo.
Penye RED, nimekupa mtego kama ulielewa ninachokisema kwa kuuliza tofauti ya apartment for owner occupied, For Rentals or Sale, ukasema natumia terminologies na classification ngumu? Nikakuuliza ni wapi hukuelewa katika hizo terms nikueleweshe hutaki, kwa majibu yako eti utaonesha umeniogopa na wewe sio mtu wa kushindwa hoja as if tunaongelea siasa hapa!
Penye BLUE, Haswa! hata space ya ten square metres napangisha nini vyumba!
Penye GREEN, hao watu unaowaongelea wewe ndio mwakilishi wao? Mbona umekaa kisiasa zaidi? Mimi naongea na wewe wewe unanitajia watu,? Usiniletee habari zako za Udiwani hapa, Lets dwell on facts on the ground
Lete basi hiyo evidence ambayo huwa unatumia ku-critisize ili usomeke vizuri! Sometimes criticism means nothing: what you have proved is unrestrained passion, fire for fire.
Penye RED, umeshikila mfano niliokupa just to support and prove your immaturity epoch!
Penye BLUE, Pole sana once again, bado unaleta habari za Ulaya enzi zile za Mwalimu? Siku hizi mambo iko China kama hujui, Wazungu wenyewe wanakuja kufanya Utalii Hong Kong wa ultra-modern real estate commercial premises! Wewe bado unaota Ulaya!
Suala la Africa kuindeleza Europe au versa is a debatable issue on whether you are a EURO-Centric Viewer or AFRO-Centric Viewer, na hili niliisharijibu lakini bado hukunielewa? Nikubebe kwa mbeleko gani ZeMarcopolo
Penye GREE! Swali lipi sikujibu mbona kila swali nakuibu na kukupa ufafanuzi? Unatumia simu, PC au tablet? Inaonesha unaskip baadhi ya posts! Tulia usome posts to posts, majibu yako yote hapa utapewa provided sio majibu ya kibiashara zaidi!
Penye BLUE, I already responded to you that...
I have a simple philosophy: Fill what's empty. Empty what's full. Scratch where it itches.
Penye RED, mbona na huko nipo siku nyingi!