YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Nimeshangaa sana kuona bei ya Apartment Dar mjini inalingana na bei ya apartment ambayo mtu atachukua New York au London jijini kati kabisa, Sijui hii ni kwa sababu gani, wanajenga kwa gharama sana na tax kubwa au ni vile ni wao wenyewe wana tamaa na profit kubwa zaidi? hata chumba tu vijana wanashindwa kuchukua chumba cha kuishi wasome chuo since hostel unakuta zimejaa ati sababu vyumba tu vina bei sawa na bei iliyopo majiji expensive kabisa duniani, we utamchaji vipi mtu chumba kimoja laki 7-1.5 milioni kwa mwezi? hiyo ni Dar au??

Those are called forces of demand and supply...
 
Kama umeanzisha mada ya field ambayo unajitambulisha kuwa umeisomea halafu mpaka mwisho kila mtu unasema hajakuelewa, inabidi ujiulize tena shule ulienda kufanya nini!!!

Kila mtu wangapi? wataje? Huoni umebaki peke yako! Your fellows have accepted a SOFT EXIT! Hata wewe najua ushagundua ulichemka kwa kuisoma thread kijuu juu! Ila kwa sababu unatafuta promo kwa kufikiri hizi ni porojo za kwenye vijiwe vya kwenye kahawa, barbershop au just to let it the day go, let's go meeeeeeeeeen!
 
Nimeshangaa sana kuona bei ya Apartment Dar mjini inalingana na bei ya apartment ambayo mtu atachukua New York au London jijini kati kabisa, Sijui hii ni kwa sababu gani, wanajenga kwa gharama sana na tax kubwa au ni vile ni wao wenyewe wana tamaa na profit kubwa zaidi? hata chumba tu vijana wanashindwa kuchukua chumba cha kuishi wasome chuo since hostel unakuta zimejaa ati sababu vyumba tu vina bei sawa na bei iliyopo majiji expensive kabisa duniani, we utamchaji vipi mtu chumba kimoja laki 7-1.5 milioni kwa mwezi? hiyo ni Dar au??

Tatizo kubwa ni limitation ya prime locations kwa majiji yetu in tandem with the crime rate of a given area! Mfano, wateja wakubwa wa high prime rentals ni foreigners ambao scale of preferences zao ni Oysterbay, Msasani Peninsula, Ada Estate, Upanga, Mikocheni na City Centre! Kwa sasa baadhi yao ndio wanasogea hadi Kawe beach na Mbezi beach! Ni kutokana na a very limitations ya prime areas including infrastructure (traffic jam), ndio kinapelekea fetching of high price to those homes in limited locations!
 
Those are called forces of demand and supply...

There is more of forces of DD and SS when it come to real estate investment! What forces the other and what determines the other? You will learn that to some extent the latter contradicts the Law of Demand and Supply
 
Wewe inaelekea hata mitihani ulikuwa unaangalizia kwa wenzako. Yaani uko TOO EMPTY!!!
 
Kila mtu wangapi? wataje? Huoni umebaki peke yako! Your fellows have accepted a SOFT EXIT! Hata wewe najua ushagundua ulichemka kwa kuisoma thread kijuu juu! Ila kwa sababu unatafuta promo kwa kufikiri hizi ni porojo za kwenye vijiwe vya kwenye kahawa, barbershop au just to let it the day go, let's go meeeeeeeeeen!

Wenzako wamekuona mbumbumbu we unadhani wamekuogopa!

Nyie ndio msiojua tofauti kati ya kuchekwa na kuchekelewa.

Msome Kobello alivyokwambia kwenye page za awali.

Hapo kwako bodi ya mikopo imepoteza pesa bure - elimu hujaipata...
 
Pole sana ZeMarcopolo!!! The difference between stupidity and genius is that genius has its limits!! Umeishiwa hoja unatafuta pa kutokea! Akili yako inakutuma kila anayesoma anasoma kwa mkopo!!!!
 
Kweli hili jukwaa limevamiwa!!!

Haya mambo ya chit chat umeyaleta huku!!!

Ndio matatizo ya kusoma vyuo visivyoandia vitabu!!!
 
Hoja yetu ya apartment imeishia wapi, mbona unakuwa too personal wakati thread iko jamvini!
 
we unadhani wamekuogopa!.

A very childish argument!!! Kumbe kuna kuogopwa tena? Mimi nilifikiri ni suala la kueleweshana na mtu akiona ameelewa au alichemka anakaa kando! Wewe unaleta habari za kuogopwa tena hapa JF? Kuogopwa kwa lipi? Napenda sana huu mjadala maana you badly undress your character openly as seconds count on, let's go! Ukiishiwa maneno ya kashfa na matusi ya kunitukana sema nikusaidie ili niweze kukuogopa,!
 
Hoja yetu ya apartment imeishia wapi, mbona unakuwa too personal wakati thread iko jamvini!

Upeo wako katika real estate ni mdogo sana. Nakushauri uache kujiita exepert broker ila ujiite broker tu au more apripriately DALALI.

Basically wewe ni dalali tu wa vyumba, nyumba na viwanja ambaye unafanya kazi kwa principle ya opportunism na hujui analysis yoyote. Nyie ndio vijana mnaodhani kuvaa tai ndio utaalam!

Follow me closely kwenye hili jukwaa. Huwa si criticize kitu bila evidence kwenye hili jukwaa. Kila jukwaa na mambo yake. Nilipoanza kucomment kwenye hii thread nilidhani umejiandaa kujibu hoja, kumbe uko empty na unachojua ni kulia lia kuwa watu hawajakuelewa. Sasa kama kila mtu hakuelewi mwenye tatizo ni nani?

Kuna vitu umesema ambavyo vinadhalilisha sana shule ulizosoma pamoja na walimu wako, kama pale uliposema kuwa kwenye research kitu kikifikia asilimia 50 ndio kinachukuliwa kuwa statistically significant.

Vilevile umesema Ulaya imeendelezwa na Afrika, jambo ambalo linaonyesha kuwa kichwani hujui kitu na nihakika kuwa hata Ulaya hujawahi kufika na hujui Ulaya ilivyo na iko katika hatua gani ya maendeleo. Unafikiri maendeleo ya Ulaya ni maghorofa!!!

Umeulizwa maswali hakuna hata moja uliloweza kujibu zaidi ya kulia kuwa watu hawakuelewi!

Dogo, kama unafanya kazi na juniors ambao wanakusoma hapa basi ujue umejipotezea authority yote uliyokuwa nayo kwao. Umejiweka uchi hadharani juu ya u-empty wako kwenye real estate.

Ushauri wangu kwako ni kwamba jaribu kujifunza taaluma nyingine kama udereva taxi au uvuvi, inawezekana hizo utazimudu lakini hii ya real estate utaishia kufungwa tu dogo.
 
A very childish argument!!! Kumbe kuna kuogopwa tena? Mimi nilifikiri ni suala la kueleweshana na mtu akiona ameelewa au alichemka anakaa kando!!

Dogo, una dalili zote za utapeli.

Wewe si umesema ili ujibu maswali mpaka ulipwe pesa? Mara hii umeshasahau kuwa kujibu maswali yaliyojitokeza kwenye thread ni mpaka upewe PESA. Hii ni dalili ya utapeli. Kama kueleweshana hapa, sana sana wewe ndio umeeleweshwa zaidi na umbumbumbu wako wa kusoma nadharia.

Eti watanzania wanapenda kuendesha gari kutoka kwenye geti lao, kwani nchi gani watu hawapendi kuendesha gari kutoka kwenye geti lao? Exposure sifuri...
 
Penye RED, nimekupa mtego kama ulielewa ninachokisema kwa kuuliza tofauti ya apartment for owner occupied, For Rentals or Sale, ukasema natumia terminologies na classification ngumu? Nikakuuliza ni wapi hukuelewa katika hizo terms nikueleweshe hutaki, kwa majibu yako eti utaonesha umeniogopa na wewe sio mtu wa kushindwa hoja as if tunaongelea siasa hapa!

Penye BLUE, Haswa! hata space ya ten square metres napangisha nini vyumba!

Penye GREEN, hao watu unaowaongelea wewe ndio mwakilishi wao? Mbona umekaa kisiasa zaidi? Mimi naongea na wewe wewe unanitajia watu,? Usiniletee habari zako za Udiwani hapa, Lets dwell on facts on the ground

Lete basi hiyo evidence ambayo huwa unatumia ku-critisize ili usomeke vizuri! Sometimes criticism means nothing: what you have proved is unrestrained passion, fire for fire.

Penye RED, umeshikila mfano niliokupa just to support and prove your immaturity epoch!

Penye BLUE, Pole sana once again, bado unaleta habari za Ulaya enzi zile za Mwalimu? Siku hizi mambo iko China kama hujui, Wazungu wenyewe wanakuja kufanya Utalii Hong Kong wa ultra-modern real estate commercial premises! Wewe bado unaota Ulaya!

Suala la Africa kuindeleza Europe au versa is a debatable issue on whether you are a EURO-Centric Viewer or AFRO-Centric Viewer, na hili niliisharijibu lakini bado hukunielewa? Nikubebe kwa mbeleko gani ZeMarcopolo

Penye GREE! Swali lipi sikujibu mbona kila swali nakuibu na kukupa ufafanuzi? Unatumia simu, PC au tablet? Inaonesha unaskip baadhi ya posts! Tulia usome posts to posts, majibu yako yote hapa utapewa provided sio majibu ya kibiashara zaidi!

Penye BLUE, I already responded to you that...I have a simple philosophy: Fill what's empty. Empty what's full. Scratch where it itches.

Penye RED, mbona na huko nipo siku nyingi!
 
Dogo, una dalili zote za utapeli.

Wewe si umesema ili ujibu maswali mpaka ulipwe pesa? Mara hii umeshasahau kuwa kujibu maswali yaliyojitokeza kwenye thread ni mpaka upewe PESA. Hii ni dalili ya utapeli. Kama kueleweshana hapa, sana sana wewe ndio umeeleweshwa zaidi na umbumbumbu wako wa kusoma nadharia.

Eti watanzania wanapenda kuendesha gari kutoka kwenye geti lao, kwani nchi gani watu hawapendi kuendesha gari kutoka kwenye geti lao? Exposure sifuri...

Penye RED, Yes kama majibu yamekaa kimaslahi zaidi sitayatoa kirahisi! Hata hivyo majibu mengi nimeyatoa, na hata hiyo thread ni jibu tosha kwa waliokuwa wanaamua tu kujenga hizo apartments

Penye BLUE, This proves umerudi kuisoma thread yangu vizuri! Kama kawaida yako ulivyojianika, kwanza exposure kwako ni kwenda Ulaya, na kufikiri hadi kitu akiongelee mzungu ndio kinakuwa na mantiki, ila mbongo mwenzako ni pumba! Sasa huko Ulaya unakosema nipe ratio ya apartments vis-a-vis standalone kwenye urban land ukihusisha na hoja yako ya kwamba ni wapi watu hawapendi ku-drive through their private gate? Bila shaka unaelewa tofauti ya private gates na community gates in a gated community!
 
Hata maana ya philosophy HUJUI!!!

Kitaje chuo ulichosoma tuiagize TCU ikareview kiwango cha elimu wanayotoa.

Masikini hadi unachanganyikiwa chuo nilichokisoma ni kipi? Siku hizi hadi simu zina dictionary, tafuta maana ya philosophy, acha arguments za kitoto
 
Penye RED, Yes kama majibu yamekaa kimaslahi zaidi sitayatoa kirahisi! Hata hivyo majibu mengi nimeyatoa, na hata hiyo thread ni jibu tosha kwa waliokuwa wanaamua tu kujenga hizo apartments

Kumbe tatizo lako ni NJAA!!!

Nyinyi ndio mnaofunga ndoa kwa ajili ya michango ya harusi!!!

Mawazo yamekaa ki- Kisarawe Kisarawe, hata Pugu hayafit!

Eti siku hizi mambo China! Mambo gani iliyokuwa China? We ukienda Kariakoo ukakuta wachina unaona China ndio kila kitu. What is there in China that Europe is missing apart from cheap labor?
 
Tatizo kubwa ni limitation ya prime locations kwa majiji yetu in tandem with the crime rate of a given area! Mfano, wateja wakubwa wa high prime rentals ni foreigners ambao scale of preferences zao ni Oysterbay, Msasani Peninsula, Ada Estate, Upanga, Mikocheni na City Centre! Kwa sasa baadhi yao ndio wanasogea hadi Kawe beach na Mbezi beach! Ni kutokana na a very limitations ya prime areas including infrastructure (traffic jam), ndio kinapelekea fetching of high price to those homes in limited locations!

Wewe mbumbumbu unachokisema hapo ndio inaitwa demand and supply. Tatizo lenu mnajifunza nadharia bila kuelewa maana yake.

Sasa jisome hapa chini unavyobisha kitu ambacho umetoka kukisema. Dogo tatizo lako una genes za ubishi mno mpaka unaongea na kujibishia mwenyewe.

Back
Top Bottom