Yesu aliumba Mbingu na Nchi

Kasome upya injili kwa kutumia akili ...nafsi iliyo ndani ya mwili wa yesu ni mungu...ndiyo maana msalabani anamwambia yule mtu leo hii utakuwa pamoja nami pema peponi
 
Nani kakudanganya ? Kama yesu siyo mungu basi yesu na injili yote ni potovu ni uongo ....hili injili iwe kweli ni lazima Yesu awe ni Mungu....ndiyo maana anaitwa mfalme...ndiyo maana alimwambia farao kuwa ufalme wake siyo wa dunia hii ....kwa kusema hivyo...alimaanisha ni mfalme mbinguni je mbinguni kuna wafalme wangapi zaidi ya mungu mmoja..
 
Kwani dhambi yenyewe ilianzishwa na nani? Kwani huyo mungu mwenyewe hakujua kwamba tutaasi mpaka aje ajitoe kafara yeye?
 
Aliuliwa ili apate kubeba dhambi zetu tupate kusamehewa. Mpaka hivi sasa tumesha samehewa dhambi zetu kupitia yeye. Ni swala la kumwamini ya kwamba ni BWANA NA MWOKOZI WETU. JINA LA BWANA LIHIMIDIWE MILELE. AMINA
Sasa hizo dhambi zetu alizozibeba amezipeleka wapi
 
Na vipi pale alipofariki msalabani?
Dunia ilibaki bila mungu ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…