Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Wapi amesema kwamba ameambiwa?so?
mkuu Kwani aliyekuambia Yesu aliuawa kwa sababu za kidini ni nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi amesema kwamba ameambiwa?so?
mkuu Kwani aliyekuambia Yesu aliuawa kwa sababu za kidini ni nani
Nime-highlight sehemu hiyo hapo juu kwa sababu ya maneno: Kifo cha Yesu Kristo. Hivyo basi, ninataka kujua msingi wa madai yako kwamba, "Yesu Kristo aliuawa kwa sababu za kisiasa zaidi kuliko za kidini".Uchambuzi wangu utajikita zaidi katika kuelezea kifo cha Yesu Kristo ambaye historia kupitia vitabu mbalimbali vinavyounda kitabu kikuu cha biblia inatueleza kuwa ndiye chanzo cha Dini ya kikisto au kwa lugha ya kigeni dini hiyo inajulikana kama CHRISTIAN yenye tafsiri ya Wafuasi wa Yesu Kristo.
Si lengo wala dhamira yangu kupinga wala kupindisha Imani ya mtu yeyote, bali ni wajibu wangu kama binadamu mwenye akili na upeo wa kudadisi, kuchanganua na kuyaelewa mambo mbalimbali katika namna tofauti tofauti.
Biblia ni kitabu kama vilivyo vitabu vingine vyenye maarifa, tamaduni na vinavyoelezea hisia za jamii za watu wake, isipokua Biblia ni kitabu maarufu kuliko kitabu chochote kilichowahi kuandikwa katika taaluma ya uandishi hapa Duniani.
Uchambuzi wangu utajikita zaidi katika kuelezea kifo cha Yesu Kristo ambaye historia kupitia vitabu mbalimbali vinavyounda kitabu kikuu cha biblia inatueleza kuwa ndiye chanzo cha Dini ya kikisto au kwa lugha ya kigeni dini hiyo inajulikana kama CHRISTIAN yenye tafsiri ya Wafuasi wa Yesu Kristo.
Historia kutoka katika vitabu vya MATHAYO na LUKA inatuambia kua Yesu Kristo alikua MYAHUDI na alizaliwa sehemu ijulikanayo kama BETHLEHEM katika jimbo la JUDEA. Wakati huo sehem kubwa ya Dunia ilikua inatawaliwa na kumilikiwa na UTAWALA WA FALME YA KIRUMI (ROMAN EMPIRE).
Warumi au Waroma walitawala Kwa muda mrefu sana karibu sehem yote ya dunia chini ya wafalme mbalimbali waliofahamika kama KAISARI (CAESAR).
Katika kila jimbo la utawala wa kirumi, likiwemo jimbo alimozaliwa Yesu la JUDEA aliwekwa mtawala na msimamizi mkuu wa serikali ya kirumi, aliyefahamika kwa cheo cha GAVANA. Kipindi cha Yesu Kristo, Gavana wa JUDEA alijulikana kwa jina la PONTIAS PILATE (PONSIO PILATO)', na alikua chini ya Mfalme wa Roma aliyejulikana kama (TIBERIUS CAESAR).
Kazi kubwa ya kwanza ya Gavana wa Roma katika jimbo ilikua ni kulilinda jimbo na utawala wa kiroma kwa nguvu za kijeshi, na ndio maana kila gavana alipewa wanajeshi wasiopungua 3000 kwa kazi hiyo. Kama mwakilishi wa utawala wa kiroma kazi yake nyingine ilikua ni kuhakikisha anakusanya KODI pamoja na kutoa hukumu(mahakama) katika makosa mbalimbali kwa mujibu wa sheria za kiroma.
utawala wa kiroma pia uliwatumia wenyeji wa maeneo wanayoyashikilia katika utawala, hasa katika utawala wa ngazi za chini au serikali za mitaa, waliyatumia makabila mbalimbali, au viongozi wa Dini inayotawala sehemu hiyo. Mfano katika jimbo la Judea na Jerusalem lilikuwepo baraza la Makuhani au Walimu na Viongozi wa dini, baraza hilo lilijulikana kama SANHEDRIN Kwa lugha ya kiyahudi.
SANHEDRIN ni nini?
Historia inatuambia kuwa Waislael waliamriwa na Mungu kuanzisha mahakama ya majaji na mahakimu ambao walipewa mamlaka ya kuwahukumu waisrael wanapokwenda kinyume na matakwa ya Mungu wao kwa mujibu wa sheria walizopewa na Mungu wao. Majaji hao wote walikua ni wale Viongozi wa Dini pamoja na Walimu wa Dini.
Kiongozi mkuu wa kidini (KUHANI MKUU) au kiongozi wa baraza la SANHEDRIN katika jimbo la Judea aliitwa CAIPHAS (KAYAFA). Viongozi wote hawa wa kiyahudi kama historia inavyotuambia walikua chini ya utawala wa Kiroma na walifanya shughuli zao kwa umakini na uwoga pasipo kuitilafiana na watawala wao WARUMI. Na moja ya jukumu lao ilikua ni kuhakikisha haitokei vurugu ya aina yoyote miongoni mwa WAYAHUDI wala mtu anayepingana na utawala wa kirumi, ama sivyo PILATO aliwatishia kuwa atalifunga hekalu lao la kuabudia.
Utawala wa warumi ulikuwa ni wa kibabe na kimabavu sana kiasi kwamba watu walikua wameuchoka na walikua wakisubir siku moja atokee mtu awaokoe katika utawala huo, kwani walichoka kulipa kodi, kuuliwa hovyo na pia kutumikishwa kwa kazi ngumu na utawala huo warumi, kifupi ni kwamba walichoka kutawaliwa.
Yesu Kristo alipoingia Jerusalem, alifanya matukio ambayo yaliwashtua watawala wa mji huo hasa MAFARISAYO au Makuhani, na kuona kua ujio wake unatishia utawala wao na vilevile waliogopa kwamba Yesu Kristo anaweza kuwa chanzo cha vurugu zilizokatazwa na PONSIO PILATO.
Moja ya tukio alilolifanya Yesu lilikua lile la kuvamia hekalu na kuanza kumwaga mwaga bidhaa pamoja na fedha za wafanyabiashara waliokuwemo humo, kitendo hicho kiliamsha shangwe na vigelegele miongoni mwa wayahudi wakimuona kama mkombozi wao katika utumwa huo wa kiroma. Pia Yesu aliongea maneno yaliyoamsha maswali, maneno yaliyoashiria Mapinduzi ya kiutawala. Yesu alisema; mathayo 24:2.
"Sawa, mnaweza kuyatazama haya yote! Kweli nawaambieni, hakuna hata jiwe moja litakalosalia hapa juu ya lingine; kila kitu kitaharibiwa."
Wafarisayo hao waliona kua huo ni mpango wa kuangusha utawala wao na hivyo wakakubaliana kua Yesu lazima adhibitiwe haraka iwezekanavyo. Na ndio maana hata CIAPHAS (KAYAFA) aliamuru kuwa Yesu akamatwe na ahukumiwe haraka usiku kwa usiku, tena usiku wa manane jambo lililovunja sheria za kiyahudi (JEWISH LAWS) zilizoelekeza hukumu zote kutolewa mchana kweupe tena mbele ya umati wa watu.
Yesu alipokamtwa mwanzoni alituhumiwa kwa kosa la Kupotosha imani ya Dini na Mungu wao kwa maana nyingine alikua ANAKUFURU (BLASPHEMY) kitendo cha Yesu kujitangaza kua.yeye ni mwana wa Mungu na Tayari Maandiko yote waliyoyasubir wayahudi hao kayatimiza ilionekana kua KUFURU kwao, hivyo viongozi hao wa dini waliona wamuadabishe yesu.
Lakini kutokana na kwamba wao hawana mamlaka ya kutoa hukumu bali mwenye mamlaka hayo alikua ni PONTIAS PILATE, iliwaradhimu wampeleke Yesu kwa Pilato. Lakini wazee hao wa baraza la SANHEDRIN walipofika kwa Pilato Walizibadirisha tuhuma na wakamtuhumu Yesu kwamba anachochea mapinduzi ya serikali ya kirumi kwa kuwakataza watu wasilipe kodi kwa KAIZARI na vile vile anajiita MFALME, Jambo ambalo kwa mujibu wa sheria za Roma ilikua ni Uhaini (TREASON). Hii ni kwa mujibu wa kitabu cha LUKA.
Yesu alimshawishi ZACCHAEUS (ZAKAYO MTOZA USHURU)wa mji wa YERICHO ambae alikua Mkuu wa Watoza ushuru, aache kazi ya kutoza ushuru na amfuate, Yericho, ni mji uliokua ndani ya eneo la ukusanyaji kodi la Pilato. (Luka 19:2-19)
KWA NINI PONTIAS PILATE (PONSIO PILATO) ALIMUHUKUMU YESU JAPO HAKUMKUTA NA KOSA KWA MUJIBU WA SHERIA ZA KIROMA?
Historia inatuambia kua Pilato alipingana na maelezo ya makuhani na kuyaona kuwa hayana uzito wa adhabu wanayopendekeza Yesu apewe. Alitaka kulithibitisha hilo kwa kumuuliza Yesu maswali ambayo lengo lake ni kuona kama kweli Yesu ni Tishio kwa utawala wa Kirumi. Pilato alimuuliza Yesu,
"Wewe ni mfalme wa Wayahudi?" Yesu akamjibu hayo umetamka wewe.
Pilato aliwarudia makuhani na kuwawmbia
Simuoni mtu huyu kua na tuhuma. Makuhani wakamjibu, lakini amevunja sheria, pilato akawaambia, amevunja sheria zenu sio sheria za kaisari.
Pilato alitoa hukumu ya yesu kuteswa mpaka kufa kwa woga wa kutokea vurugu zitakazompelekea kushindwa kutawala, kwani Aliwaza kua kama hatatoa hukumu hiyo kwa Yesu CAIPHAS atampa lawama zote endapo yatatokea machafuko na vurugu ndani ya jimbo lake la utawala. Vile vile aliogopa kuwajibishwa na KAIZARI endapo vurugu zingetokea, angeonekana ameshindwa kutawala.
Yesu alihukumia Kifo (Death Penalty).
Ukichunguza uchambuzi katika maelezo hayo utaona kuwa kulikua na mvutano wa kisiasa katika uongozi wa nani anakubalika zaidi na nani anataka kumpindua nani. Makuhani pamoja na Wazee wa baraza walitishwa kuwa Yesu kaja kuharibu utawala wao na labda walikua wanapata maslahi zaidi kutoka katika utawala wa kirumi hivyo ujio wa Yesu ulikuja kutiachanga katika kitumbua chao.
Upande wa Pilato japo alidai kua hausiki na mauaji ya Yesu kwa kunawa mikono kwa maji kuashiria kua Umwagaji Damu wa Yesu hausiki nao, alisema
"Sina hatia na damu ya mtu huyu, jambo hili ni juu yenu ""
lakini tamaa ya Madaraka ilimsukuma kutoa hukumu hiyo, uwezekano wa yeye kupinga tuhumu na kuamuru Yesu aachiwe huru ulikua mkubwa na ulikua ndani ya uwezo wake kwa sababu Gavana wa kirume kwa kipindi chao alikua yeye ndiye sheria na yeye ndiye mahakama muamuzi wa mwisho. Lakini alihisi kama angefanya hivyo ingekua mwisho wa utawala wake.
Asanteni kwa Kusoma maandishi haya.
(sept.2016)
Ilitabiriwa kuwa atauawa na waliotimiza utabiri huo ni Wanasiasa, ila sababu za kifo chake si za kisiasa kwa sbabu hich kifo tayari kilikuwa kimeshatabiriwaSi lengo wala dhamira yangu kupinga wala kupindisha Imani ya mtu yeyote, bali ni wajibu wangu kama binadamu mwenye akili na upeo wa kudadisi, kuchanganua na kuyaelewa mambo mbalimbali katika namna tofauti tofauti.

Hayo uliyoyasema yote yalitakiwa yatimie ili litimie neno alilosema nabii isaya 53:1-12Hakuuuawa kwa sababu za kisiasa bali za kidini.Na ieleweke wazi kuwa waliomwua Yesu SIO WAYAHUDI ni warumi.Askari wa Kirumi (ROMA) ndio waliomwua YesU sio wayahudi.Kitendo cha kuua kilifanywa na warumi
Kisa cha Yesu kuuawa ni kuwa Kulikuwa na wivu mkubwa wa kidini kati yake na viongozi wa dini alizozikuta.Walilalamika kuwa watu wengi wanamfuata yeye na kumsikiliza yeye kuliko wao.Alikuwa na wafuasi wengi kuliko mafarisayo na masadukayo.Wivu huo wa kidini ambao uko hadi leo ambapo dini mbali mbali hupigania kuwa na wafuasi wengi na dini moja ikichukua wafuasi wa dini ingine viongozi hutangaziana vita kama wakati ule wa Yesu na kusulubiana kwa maneno,kejeli,matusi nk
Kesi ya YESU ni aibu kwa fani ya Sheria
Kesi ya Yesu kuuawa ilivinja sheria zote.
Kwa mfano ukisoma Biblia utashangaa Yesu alikamatwa usiku akisali kanisani kwake porini kwenye milima ya mizeituni akiomba na wanafunzi wake ambao kwa sababu ya usingizi walikuwa wakilalala hawasali.Walimshika ndani ya kanisa lake porini ambako akitekeleza ibada yake na wanafunzi wake akitumia uhuru nwake wa kuabudu.Usiku haukuwa muda wa kazi.Kwa hiyo kisheria haikuwa sahihi kwao.Pia haikuwa sahihi kumshika akiwa ibadani kwenye chaka ambalo ndio lilikuwa hekalu lake la kuabudia
Pili aliburuzwa kwenye mahakama zao usiku.Katika historia ya sheria hakuna popote mahakama iliwahi fanya vikao vyao usiku mida isiyo ya kazi na majaji wakaendesha kesi
Tatu Kazi ya askari ni kumlinda mtuhumiwa anapopelekwa kwenye mashtaka lakini Yesu alipokuwa akipelekwa mahakamani watu walikuwa wakimzonga ,kumpiga na kumtemea mate mbele ya macho ya askari wa kirumi bila askari hao kuchukua hatua zozote
Nne alipokuwa mahakamani Askari walifanya kitendo cha kihuni alipokuwa akihojiwa na Jaji Alipokuwa akijibizana na jaji askari alimzaba kibao Yesu NDANI YA mahakama kazi ambayo si yake.Huyo askari alivunja sheria ya mahakama mbele ya jaji na jaji hakumchukulia hatua wala jeshi lake halikumchukulia hatua.
Tano,hukumu aliyotoa jaji mrumi Ponsio PILATO ilikuwa ya kihuni na haikubaliki kisheria.Alipohukumu aliuliza umati uliokuwepo mahakamani nimfanyie nini Yesu huyu? Umati ukajibu asulubiwe ,asulubiwe na akakubali na kumhukumu.Kisheria Jaji anatakiwa aangalie sheria zinasemaje kwenye vitabu vyake sio aulize waliohudhuria kusikiliza kesi mahakamani.Katika majaji wajinga waliowahi tokea duniani Ponsio pilato ndio jaji mjinga nambari wani
Sita,aliposulubiwa na kufa Askari maruhuni wa Kirumi WALIGAWANA mavazi yake.Mavazi ni mali ya mtu.Akifa mirathi huwa inatangazwa ili wapatikane warithi kisheria wachukue hizo mali.Lakini za Yesu baada ya kukata roho tu askari wa kirumi waligawiana mirathi pale pale bila kibali cha kisheria.
Nini cha kufanya??? Wakristo waliburuze serikali ya Italia (Waitaliano) iwalipe fidia kwa kumwua mtu wao na wadai mali zile walizogawana bila kibali cha mahakama wazirudishe na riba juu.
Pia waidai serikali ya Italia ambayo ndio iliyoteua ponsio Pilato ilipe fidia wakristo na waiombe ifukue maiti ya Ponsio Pilato ihukumiwe upya na jopo la majaji
Yesu alihukumiwa kufa na jaji mrumi Ponsio Pilato NA akauawa na askari wa Kirumi kwa hiyo warumi wana kesi ya kujibu kuhusiana na kifo cha Yesu
Hayo maswali walikuwa wanamuuliza ili kumtega wapate namna ya kumshitaki kwa sheria zao za kidini au kumchonganisha na Watawala,kwa sababu yeye alijua mawazo yao nayeye alikuwa anawauliza ili wakijibu wajitege wao kwa majibu yao wenyewe.Somo zuri asante kwakuniongezea maharifa Leo kichwani mwangu
Ila majibu ya yesu kwann yalikuwa sio ya Moja kwa Moja?
Yaani ukimuuliza swali anakujibu kwa swali!!!!
Mfano kwenye kutoa ushuru,
Mwanasiasa Pilato alinawa mikono na kusema mtu huyu hana hatia. Hajuna siasa.Si lengo wala dhamira yangu kupinga wala kupindisha Imani ya mtu yeyote, bali ni wajibu wangu kama binadamu mwenye akili na upeo wa kudadisi, kuchanganua na kuyaelewa mambo mbalimbali katika namna tofauti tofauti.