Yesu Kristo awaaibisha wanasayansi wakubwa!

Ndege na wale mijusi wa amazon tunawaelezaje?
 
Mh! wewe unafaa kupimwa ubongo tena wakuwahi mapema!.
ndo maana kila siku nasema imani ni ugonjwa mmbaya sana yani hata fikra kidogo tu umeshindwa kufikiri!.
Hehehe
 
Si aliinuliwa au
Kwa kuwa hatujaambiwa ni nani aliyemuinua, ni dhahiri Jesus was taken up by divine power. Yesu ni Mungu. Nguvu ya Uungu aliyo nayo ndiyo ilimuinua juu. Unaweza pia kusema aliinuliwa na Mungu Baba. Hata hivyo kumbuka Yesu alisema Yeye na Baba ni umoja.
Yn 10:30
Mimi na Baba tu umoja( I and the Father are one).
 
Ok
 
We dada huwezi itetea bibilia kamwe, bibilia ni kitabu usicho kiweza, kitakuwacha dilemma,na huta kaa uka amini, mimi niki anza kutoa ushahidi from bibilia uta nikimbia hapa , wa taalam wa theology wana jua na kukubali yakwamba bibilia ina vitabu ambavyo haijulikani nani ka viandika na lengo lake ni nini,
Hapo tayari inakupasa ustukie mchezo MUNGU hawezi ruhusu hilo litokee, dada yangu huko siko,

Hivi yesu kweli ali jiita MUNGU?, au ni nyinyi ndio mnao muita MUNGU (kumpachika uungu)?,;

Yesu wa bibilia alisema mumuite MUNGU?, kama jibu lako ni ndio basi bibilia imejaa uongo na yesu hamkumuelewa,

Sasa ngoja nianze kuweka kambi hapa
"yesu ana semaje kuhusu MUNGU"
 
Jaribu tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…