Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 557
- 858
Asante sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo kichwani
Upo tayari?Ipo kichwani
OkWell done, Nita toa aya alafu wewe uta thibitisha hapa bila ya kona kona kutoka Ktk bibilia, upo tayari na mada
Je yesu ni MUNGU?, na yeye mwenyewe anasemaje kuhusu MUNGU?, note hili mkuu sitaki lawama
YeahUpo tayari?
Anza kutoa huo ushahidi.We dada huwezi itetea bibilia kamwe, bibilia ni kitabu usicho kiweza, kitakuwacha dilemma,na huta kaa uka amini, mimi niki anza kutoa ushahidi from bibilia uta nikimbia hapa , wa taalam wa theology wana jua na kukubali yakwamba bibilia ina vitabu ambavyo haijulikani nani ka viandika na lengo lake ni nini,
Hapo tayari inakupasa ustukie mchezo MUNGU hawezi ruhusu hilo litokee, dada yangu huko siko,
Hivi yesu kweli ali jiita MUNGU?, au ni nyinyi ndio mnao muita MUNGU (kumpachika uungu)?,;
Yesu wa bibilia alisema mumuite MUNGU?, kama jibu lako ni ndio basi bibilia imejaa uongo na yesu hamkumuelewa,
Sasa ngoja nianze kuweka kambi hapa
"yesu ana semaje kuhusu MUNGU"
🙏Asante kwa kusoma🙏
Je yesu ni MUNGU?Yeah
Tayari nishaanza mkuu, hebu thibitisha hapa yesu ni MUNGU kwa kipi???Anza kutoa huo ushahidi.
Tomaso alimwambia Yesu, ‘Bwana wangu na Mungu wangu!’ (Yohana 20:28). Kama Yesu si Mungu, mbona hakumkemea Tomaso?Je yesu ni MUNGU?
Yakobo 1:17 MUNGU habadiliki (andiko lina pinga utatu mtakatifu ku kitu hicho hakipo
Zaburi 121:1-4 MUNGU halali usingizi (swali je yesu alikua ana lala usingi?, kama jibu ndio basi huyo sio MUNGU
Yohana 5:37 sauti ya MUNGU haijasikika ( swali je ikiwa yesu ndio MUNGU kweli hivi sauti yake watu hawa jawahi kuisikia?
Timotheo 6:16 MUNGU haonekani wala hafi (swali je yesu hakufa?, na hakuonekana?
Niendelee?, narudia according to bibilia yesu si MUNGU,
Mzee ukileta hizi hoja utajifunga mwenyeweJe yesu ni MUNGU?
Yakobo 1:17 MUNGU habadiliki (andiko lina pinga utatu mtakatifu ku kitu hicho hakipo
Zaburi 121:1-4 MUNGU halali usingizi (swali je yesu alikua ana lala usingi?, kama jibu ndio basi huyo sio MUNGU
Yohana 5:37 sauti ya MUNGU haijasikika ( swali je ikiwa yesu ndio MUNGU kweli hivi sauti yake watu hawa jawahi kuisikia?
Timotheo 6:16 MUNGU haonekani wala hafi (swali je yesu hakufa?, na hakuonekana?
Niendelee?, narudia according to bibilia yesu si MUNGU,
Tafadhali k290 kopi hayo maswali yako uyapesti kwenye huu uzi👇 utajibiwa!Je yesu ni MUNGU?
Yakobo 1:17 MUNGU habadiliki (andiko lina pinga utatu mtakatifu ku kitu hicho hakipo
Zaburi 121:1-4 MUNGU halali usingizi (swali je yesu alikua ana lala usingi?, kama jibu ndio basi huyo sio MUNGU
Yohana 5:37 sauti ya MUNGU haijasikika ( swali je ikiwa yesu ndio MUNGU kweli hivi sauti yake watu hawa jawahi kuisikia?
Timotheo 6:16 MUNGU haonekani wala hafi (swali je yesu hakufa?, na hakuonekana?
Niendelee?, narudia according to bibilia yesu si MUNGU,
Basilisk lizards wanaitwa pia Jesus lizards kwa sababu wanaweza kutembea juu ya maji. Lakini utembeaji wao sio kama wa Yesu. Hao Basilisk sio mijusi wa kawaida. Mungu aliwaumba na kuwapa uwezo huo wa kutembea juu ya maji. Kwa sehemu wanafuata kanuni ya Archimedes. Mijusi hao wana miguu maalum yenye vidole virefu na vifundo vinavyowawezesha kutoa nguvu za kupunguza uzito wao kwenye maji.Ndege na wale mijusi wa amazon tunawaelezaje?
1. Wakati Yesu anasulubiwa msalabani, je, alisulibiwa kama Mungu au alisulubiwa kama mwanadamu?Mzee ukileta hizi hoja utajifunga mwenyewe
Tufanye Yesu sio Mungu ila ni mwanadamu kama unavyotaka
Je kuna binadamu anaweza funga siku 40 bila kula
Je kuna binadamu ameshawahi kutembea juu ya maji
Je kuna binadamu anaumba na kupulizia pumzi ya uhai
Je kuna binadamu anasamehe dhambi?
Je kuna binadamu ana anapaswa kutoa hukumu
Je kuna binadamu yoyote aliyekaribishwa kwa Mungu kama quran inavyosema
Je kuna binadamu ana heshima duniani mpaka Akhera kama quran onavyosema
Kaa ukumbuke kuwa Yesu hajaumbwa(Quran inathibitisha hili) imesema ni neno lililoshuka kutoka kwake na pia ni roho ya Mungu
Mnasema yesu ni mtume tu wala si chochote ,ila quran yenyewe inasema yesu alikuwa na wanafunzi 12 (Yaani wale mitume wake 12)..JE mtume ambaye ni binadamu anaweza kujifanyia mitume wake?
🤣🤣🤣🤣Alifunga siku 40 bila kula wala kunywa, sisi siku mbili mtu anawehuka