Mkuu maswali yako ni mazuri sana na ni mepesi sana ,Mzee ukileta hizi hoja utajifunga mwenyewe
Tufanye Yesu sio Mungu ila ni mwanadamu kama unavyotaka
Je kuna binadamu anaweza funga siku 40 bila kula
Je kuna binadamu ameshawahi kutembea juu ya maji
Je kuna binadamu anaumba na kupulizia pumzi ya uhai
Je kuna binadamu anasamehe dhambi?
Je kuna binadamu ana anapaswa kutoa hukumu
Je kuna binadamu yoyote aliyekaribishwa kwa Mungu kama quran inavyosema
Je kuna binadamu ana heshima duniani mpaka Akhera kama quran onavyosema
Kaa ukumbuke kuwa Yesu hajaumbwa(Quran inathibitisha hili) imesema ni neno lililoshuka kutoka kwake na pia ni roho ya Mungu
Mnasema yesu ni mtume tu wala si chochote ,ila quran yenyewe inasema yesu alikuwa na wanafunzi 12 (Yaani wale mitume wake 12)..JE mtume ambaye ni binadamu anaweza kujifanyia mitume wake?
kama hoja ni yesu MUNGU based on miracles (miujiza) basi hutoshinda , maana karibia kila mtume wa Allah alikua na miujiza yake kulingana na zama husika, hapa nataka iingie akilini, na pia hakuna muujiza mdogo au usio na maana ktk zama husika.
Mussa (a.s) aliishi zama za uchawi, alifanya miujiza kwa amri ya Allah na aka pambana na wachawi ( hadi baadhi yao Waka muamini), aliyagawa maji ya bahari ktk na akapita,
Alimuomba Allah amfufulie watu na Allah aka mkubalia ,
Sasa mbona hamumuiti MUSSA MUNGU?
Mkuu yesu haku muumba Mtu yoyote na hakua na uwezo wowote ispokua ali fanya kwa idhini ya mola wake, kasome bibilia kwa kituo Utaona hii haitaji hata miwani
Yesu ali muomba MUNGU msaada siku ya kufa kwake
" eloi eloi lama thaba kitani"
Swali je MUNGU anaomba msaada ilhali yeye ni mwenye nguvu
Maria na Yosef walimkimbiza mtoto yesu ili asi uliwe na mfalme herode
Yaani MUNGU ana mkimbia mwana damu "how come?"
Yesu alilamika " mnataka kunia mimi Mtu kwa sababu nime waambia ukweli"
Hivi hapo tu akili haija piga alarm?
Au niendelee?