Yesu Kristo awaaibisha wanasayansi wakubwa!

Mkuu maswali yako ni mazuri sana na ni mepesi sana ,

kama hoja ni yesu MUNGU based on miracles (miujiza) basi hutoshinda , maana karibia kila mtume wa Allah alikua na miujiza yake kulingana na zama husika, hapa nataka iingie akilini, na pia hakuna muujiza mdogo au usio na maana ktk zama husika.

Mussa (a.s) aliishi zama za uchawi, alifanya miujiza kwa amri ya Allah na aka pambana na wachawi ( hadi baadhi yao Waka muamini), aliyagawa maji ya bahari ktk na akapita,
Alimuomba Allah amfufulie watu na Allah aka mkubalia ,

Sasa mbona hamumuiti MUSSA MUNGU?

Mkuu yesu haku muumba Mtu yoyote na hakua na uwezo wowote ispokua ali fanya kwa idhini ya mola wake, kasome bibilia kwa kituo Utaona hii haitaji hata miwani


Yesu ali muomba MUNGU msaada siku ya kufa kwake
" eloi eloi lama thaba kitani"
Swali je MUNGU anaomba msaada ilhali yeye ni mwenye nguvu

Maria na Yosef walimkimbiza mtoto yesu ili asi uliwe na mfalme herode
Yaani MUNGU ana mkimbia mwana damu "how come?"

Yesu alilamika " mnataka kunia mimi Mtu kwa sababu nime waambia ukweli"

Hivi hapo tu akili haija piga alarm?

Au niendelee?
 
Hata Kuzaliwa kwake kumevunja Sheria za kisayansi,

Maana imeandikwa, Yusufu alikuwa baba mlezi tu wa Yesu,

Bikra alichukua mimba na kuzaa bila Yusufu kuhusika.

Mungu ni MMOJA, na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.
Amen
Kama yesu ni MUNGU wakati yupo tumboni kwa mama yake 🤣🤣🤣 , je Dunia ilikua chini ya nani?
 
Ka paste wewe mimi kazi yangu ni kutaka maandiko ya bibilia watu waya jue kwa uwazi
 
Kama yesu ni MUNGU wakati yupo tumboni kwa mama yake 🤣🤣🤣 , je Dunia ilikua chini ya nani?
Sifa kuu ya Mungu mojawapo,

Ni uwezo wa kuwapo Mahali pote, Kwa form mbalimbali atakavyo,

Angesgindwa kuvaa mwili wa nyama wa mwanadamu na kuwapo Mbinguni KAZI zikiendelea , basi huyo asingekuwa Mungu.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Hata Kuzaliwa kwake kumevunja Sheria za kisayansi,

Maana imeandikwa, Yusufu alikuwa baba mlezi tu wa Yesu,

Bikra alichukua mimba na kuzaa bila Yusufu kuhusika.

Mungu ni MMOJA, na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.
Amen
Huna hoja wewe
 
Kwa hiyo Allah siku hizi anakubali shirki sio? maana kampa binadamu uwezo wa kufanya kile anachotakiwa kufanya peke yake.(Uumbaji).Pia nilisahau ..Yesu anafufua wafu.
 
Huna hoja wewe
Wewe ndio huna HOJA,

Ikiwa mchawi anaweza kwenda kuroga Dar na wakati huo huo nyumbani wanamwona yupo Shinyanga,

Iweje Mungu ashindwe kuwa ndani ya tumbo la Mary na Mbinguni akawapo KITI Cha Enzi.

Ikiwa unaamini uwepo wa Mungu, na unamuwekea mipaka juu ya uwezo wake, basi hujamjua Mungu.

Akili Yako ifunguliwe upate ufahamu.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Hakuna mtume aliyeiona milki ya MUNGU kumzidi mtume Muhammad (s.a.w), kafika sehemu ambazo hata malaika jibril (a.s) hatakawi kufika, hakuna mtume aliye waona mitume wenzake na kuwaongoza Ktk ibada ispokua Muhammad, hakuna mtume aliye shuhudia adhabu za Allah na pepo ispokua Muhammad

Note hayo alisafiri na kuoneshwa ndani ya muda mfupi sna
 
Huu ndio uongo ambao Muhammad anawapanga.Allah mwenyewe anamtambua Yesu vizuri sana.Quran inasema kwamba nitakuinua kwangu ,ikaenda mbali zaidi Yesu ndie pekee aliyekaribishwa kwa Allah na ana heshima duniani na Akhera leo hii uje kuniambia Muhammad ndio mtume pekee aliyeona milki ya Mungu,kaiona lini kwanza labda ndotoni (kijana unachekesha sana).
 
Kwa hiyo Allah siku hizi anakubali shirki sio? maana kampa binadamu uwezo wa kufanya kile anachotakiwa kufanya peke yake.(Uumbaji).Pia nilisahau ..Yesu anafufua wafu.
Una kaza fuvu mkuu, hayo ya kufufua ni ya mtume MUSSA na yesu, na hiyo miujiza ya mitume wote walifanya kwa amri ya Allah na sio kwa uwezo wao
 
Huu ndio uongo ambao Muhammad anawapanga
Hivi mkuu kitabu chako tu bibilia kina kushinda kwa fixing tele unaona uje kwa Muhammad, wewe pambana na bibilia kwanza na kama una akili timamu utaikana tu
 
Hivi mkuu kitabu chako tu bibilia kina kushinda kwa fixing tele unaona uje kwa Muhammad, wewe pambana na bibilia kwanza na kama una akili timamu utaikana tu
Mnaona fixing kwa sababu hamtaki kukubaliana na ukweli.Halafu hiko kitabu cha fixing quran imecopy vitu kibao kutoka humo..sasa sijui Allah alikuwa anashusha fix?
 
Nakuua hapa

Yakobo 1:17 MUNGU habadiliki

Haya nambie mkuu, bibilia yako ina kataa kata kata ya kwamba habadiliki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 , kwahyo wewe ni mpinga bibilia sawa?

Kutoka 33:17 MUNGU haonekani

Bibilia yako ina kataa kata kata ya kwamba MUNGU haonekani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eti wewe una ipinga maana yesu ali onekana wazi wazi



Una nichosha tu huna hoja ya ku
 
Kwa macho ya nyama ulionekana mwili aliouvaa.

Katika Roho hakuonekana, ndio maana walitaka kumwua alipowaambia I AND THE FATHER ARE ONE.

Na Mungu habadiliki Kweli, Mungu ni yule yule, ahadi zake ,kauli zake hazibadiliki.

Na kuchukua form mbalimbali na Majina mbalimbali kana Yahweh, Jehovah, NIKO AMBAYE NIKO ,Emmanuel, Melkizedeki, huko Si kubadilika, ni utendaji.

Upate uelewa uwe huru.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Hili somo zuri sana, ila nashangaa pamoja na upako wote ulionao bado unamwacha Mwamposa anapiga hela pekee yake.
1 Timotheo 6:10 SRUV
"Maana shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha; ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na kujichoma kwa maumivu mengi."
 
Anayeelewa huyu amesema nini anisaidie kumjibu
 
ajira mpya zimetoka huko ajiraportal, haya mchangamke sasa sio kupiga soga tu humu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…