Yesu Kristo awaaibisha wanasayansi wakubwa!

Nilikuambia wewe ni chizi pro,

ngoja great thinker waseme nini maana ya mabadiliko?

In short kutoka hali fulani (hali moja) kwenda hali nyingine, hii ndio maana yake

Eti YESU sijui alikua neno, naye neno alikua kwa bwana huko mbingu akaona aje Duniani kupitia mimba, tena avae nyama (mwili wa mwanadamu) eti ndio awaokoe watu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa hapo mabadiliko yametokea au hayakutokea??,

Huna hoja wewe, kwanza bibilia yenyewe unaipinga wazi wazi,


Eti YESU ni mwana wa MUNGU, haya huyo MUNGU alioa lini?, haya kwa hiyo huyo MUNGU alimuibia mchumba Yosef siyo?



Unajitia aibu bure,
Njoo ktk dini ya kweli uislamu
 
Huo ni utashi wako na si maneno ya mungu wala bibilia
 
Yohana 10:30 (BHN)
"Mimi na Baba, tu mmoja.” (I and the Father are one)
Kwani si tunavo muita Nyerere baba ni baba yetu?, au raisi akiwa wa kiume ktk mikutano akiongea tuna dakia "sema baba" ni baba yetu?, hebu stop hapa kwanza



MTume Muhammad maneno yake hayapingwi (wahyi) na lazima yafatwe, au tunaambiwa tuki mfuata mtume basi ndio tume mufuata MUNGU, je ndio tumuite MUNGU?

Hapana hapana hapana

Ili umjue MUNGU lazima umfuate mtume, MUSSA, ISSA, Yusuf, Muhammad etc kwa sababu ndani ya vifua vyao yapo maneno, amri nk za MUNGU

Note, wana damu wote baba yetu ni MUNGU why?, yeye ndie muangalizi,mlezi, mgawa riziki nk
 
Kama ni kukubali basi tukubaliane sote,

Kwanza mimi nakubali hoja yako na mfano wako kuwa mungu ana badilika na hashindwi

sasa na wewe nataka ukataae na useme haya

Yakobo 1:17 ........... MUNGU habadiliki
Ni maneno ya uongo yaliyo ktk bibilia na umkatae aliye andika hayo maneno, na ikiwa huyu muandishi wa "yakobo" ametia maneno ya uongo na wewe uka yagundua basi kitabu kizima ni cha uongo.

Uki kubali haya basi nami hoja yako naikubali 100%,

Note Kama unakataa hoja yangu basi unakataa" yakobo 1:17 "
 
WEWE ACHA POROJO, KWANZA TUAMBIE WALE WALIOMPA UTUME MUHAMMAD HALAFU ALLAH AKAWA SHAHIDI NI WAKINA NANI?
 
Ila walokole mnapendaga shari jamani! Sasa kawaabisha au kawaonesha kuwa yeye ni Mungu? Kama ni kuwaaibisha ina maana hizi kanuni ni za uongo!

Wewe ungesema tu Yesu ali prove kuwa yeye ni zaidi ya binadamu kisha ukaishia hapo
 
Ila walokole mnapendaga shari jamani! Sasa kawaabisha au kawaonesha kuwa yeye ni Mungu? Kama ni kuwaaibisha ina maana hizi kanuni ni za uongo!

Wewe ungesema tu Yesu ali prove kuwa yeye ni zaidi ya binadamu kisha ukaishia hapo
ANGALIA HIYO VIDEO YA JUU UTAJIFUNZA KITU
 
Bado unaamini ngano?
 

Anakubashiria mwana kwa neno "LITOKALO KWAKE" ..zingatia neno litokalo kwake..kwa nini hakusema kwa neno lake?.Halafu akaendelea huyo mwana ambaye ni neno litokalo kwake jina lake ni Masihi Isa.Akaenda mbali zaidi kwa kusema ana heshima katika dunia na Akhera na amekaribishwa kwake..Unaweza kujiuliza inakuwaje amekaribishwa kwa Mungu na wakati hata kuzaliwa bado hajazaliwa?? mna la kujifunza hapa. (Think)
 
Nilikuonya mkuu, wewe ni mtoto mdogo tu, likikwambia niitie mwalimu wako wa Imani, yaani wewe hujui lolote,

Yaani Quran kariim unahisi inaweza kukutetea wewe Kaffir?, NO
Quran kariim inawatetea wa umini na waislamu tu

Hapa haja punje tu ya tafsiri hauijui

KAZI yako ni kukaza fuvu, sasa ikiwa bibilia yako hauijui je utaijua Quran kariim kitabu kisichokua na shaka
 
Duh! kama huu ndio ushahidi umefeli pabaya ..

Kuna Aya katika Qu'ran inayomzungumzia Nabii Adam (Peace be upon him) inasema Allaah alimpulizia roho kutoka kwake , hapo je , vipi ?
 
Kama una taka jibu moja tu basi kaombe tafsiri ya
surat "ikhilas"

Kama unataka maelezo Ktk Quran kariim basi si ISSA tu, Allah amewapa heshima na hadhi ya juu mitume wake wote, kiasi cha kuwaweka Ktk kumbukumbu za vitabu vitakatifu, mfano, Ibrahim,MUSSA,ISSA, Yusuf, Muhammad
Na wote walipokea amri na maagizo kutoka kwa Allah


Wewe una mng'ang'ania ISSA ISSA
Saaa tafuta aya (surat)

ndani ya Quran kariim inayo onesha alivyo zaliwa ADAM (a.s)

Wewe ni underdog tu Ktk bibilia yako na ukristo wako, huna na hautokua na hoja
 
Duh! kama huu ndio ushahidi umefeli pabaya ..

Kuna Aya katika Qu'ran inayomzungumzia Nabii Adam (Peace be upon him) inasema Allaah alimpulizia roho kutoka kwake , hapo je , vipi ?
Na ndio nilicho mwambia, atafute aya inayo onesha kuzaliwa (kuumbwa) Kwa ADAM
Maana ameleta ya kuzaliwa Kwa ISSA kutoka ktk Quran kariim
Na nikamwambia Quran kariim haiwezi ku mtetea kafir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…