YESU ni jina la uzima, uponyaji, na ushindi juu ya giza

YESU ni jina la uzima, uponyaji, na ushindi juu ya giza

Hadhara
Hakuna ushahidi wa kufufuka kwa huyo mtu.
Alihubiri hadharani
Alikamatwa hadharani
Alichapwa viboko hadharani
Alitundikwa msalaba hadharani
Alikufa hadharani

Sasa iweje walisema amefufuka ni wanafunzi na wafuasi wake tu?

Hizi ni ngano za mashariki ya kati
Ni wapi alihubir hadharani?
 
"kisha akapaza sauti akasema ELOI ELOI LAMA THABAKITHANI yaani MUNGU WANGU MUNGU WANGU MBONA UMENIACHA" SASA Kama hata Mungu wake Tu alimuacha kazi unayo wewe unaiamnini hakuwa na dhambi 😸😸😸😸 na Jina lake NI uzima ☠️☠️
 
Yesu ni jina la Mungu mmoja.

Mungu ni mmoja tu, na Jina lake huyo Mungu mmoja ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach.
Wakati anapokea kichapo pale msalabani na kuanza kulia mungu wangu mbona umeniacha , huyu aliemuacha ni mungu gani,,? , na wakati alivyokufa hizo siku tatu kama mnavyotuambia je dunia ilikuwa inaendeshwa na nani ikiwa God kafa,?,, hapa usilete habari sijui sina roho mtakatifu au sijui macho ya nyama kunijibu.
 
Mzee Una uhakika na unachoongea?

You are very ignorant, kama hujui kitu ni kheri kukaa kimya.

Ushahidi kuhusu maisha ya Yesu kristo upo na ni wa kutosha, hapa nazungumzia ushahidi ambao ni outside of the bible, ushahidi kutoka kwa watu ambao walikuwa wanauchukua ukristo na watu ambao hawana interest kabisa na dini ya kikristo, wana historia wa zamani kama Tacitus (from Annals of Tacitus) kazungumzia uwepo wa mtu ambaye tunayemwita Yesu Kristo kipindi cha uhai wake, meaning AD 14-68.

Wapo wanahistoria wa kirumi wengine waliomzungumzia Yesu kweny maandiko yao na sio tu huyo Tacitus, tatizo lako ni ignorance tu, umeshikilia uongo na kuukumbatia without kuwa na chachu ya kujifunza zaidi, upo kweny jela la kifikra.

Ni bora tu useme simwamini mtu aitwaye Yesu kristo na sio kusema hakuwahi kuwepo, that's PURE STUPIDITY AND IGNORANCE.

min -me umejionea?? Atheism is not built around intelligence or critical thinking, it's built around ignorance.
Wewe ndio Mjinga
Hakuna sehemu niliyosema hakuishi.
Ila dhana alikufa na kufufuka ndiyo ninayo kukatalia na haina mashiko.

Aliishi ndiyo
Aliteswa ndiyo
Alikufa ndiyo
Alifufuka hapana.
 
Sokoni baada ya kuona hekalu la bwana limekuwa pango la unyang'anyi.

Kwenye makutano ya Barabara akiwa anatoka Nazareth kwenda Jerusalem
Yesu kristo mwana wa mungu wa yakobo mungu wa Elia mungu wa Ibrahim,🤣🤣🤣 Ni noma
 
Wewe ndio Mjinga
Hakuna sehemu niliyosema hakuishi.
Ila dhana alikufa na kufufuka ndiyo ninayo kukatalia na haina mashiko.

Aliishi ndiyo
Aliteswa ndiyo
Alikufa ndiyo
Alifufuka hapana.
Evidence of Jesus' resurrection zipo.

1. Growth of Christianity
2. 500 Eye witnesses
3. Death of the Disciples
4. Shroud of Turin

Again, it's all a matter of pure ignorance
 
Huyo yesu wako akawaponye basi wakongo,sudan kusini,palestina,nk?

"yesu" ni hadiththi tu za kusadikika achaneni naye hana uwezo wa kutatua matatizo yenu mnapoteza muda na nguvu zenu

WAAFRIKA ACHENI UJINGA NA UPUMBAVU HUU WA KUDUMU!!
 
Evidence of Jesus' resurrection zipo.

1. Growth of Christianity
2. 500 Eye witnesses
3. Death of the Disciples
4. Shroud of Turin

Again, it's all a matter of pure ignorance
Haya yote hakuna Mwafrika aliyeyashuhudia bali wazungu ndiyo waliyatunga na kuwandikia Waafrika na wale walio wajinga wanayaabudu hayo kuliko waliyoyashuhudia kwa macho yao kutoka kwa WAZAZI WAO WA KIAFRIKA.
 
Yesu baada ya kufufuka alitoka kwenye hali ya mwili wa nyama na kuingia kwenye mwili mtakatifu wa kiroho.
Katika utukufu huo, wanadamu wadhambi wa Israel wasingeweza kumuona hadharani kwa sababu mwili na Roho yake ilikuwa imeshaunganishwa na utukufu wa mbinguni ndio maana ni wachache walioweza kumwona hasa mitume wake na baadhi ya WANAWAKE wachache waliojitaka mioyo Yao kwa ajili ya kumfuata na kumsiliza Yesu.
Hata Sasa na wewe ukifanya toba na kuamua kumfuata Yesu, utamuona ungali hapa hapa duniani. Tofauti na hapo utaendelea kusema habari za Yesu ni za kutunga.
Ndo drama zinapoanzia kabondwa hadharani kafufuka kwa watu3 ila hizi dini basi tuu
 
Back
Top Bottom