YESU ni jina la uzima, uponyaji, na ushindi juu ya giza

Hadhara
Ni wapi alihubir hadharani?
 
"kisha akapaza sauti akasema ELOI ELOI LAMA THABAKITHANI yaani MUNGU WANGU MUNGU WANGU MBONA UMENIACHA" SASA Kama hata Mungu wake Tu alimuacha kazi unayo wewe unaiamnini hakuwa na dhambi 😸😸😸😸 na Jina lake NI uzima ☠️☠️
 
Yesu ni jina la Mungu mmoja.

Mungu ni mmoja tu, na Jina lake huyo Mungu mmoja ni Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach.
Wakati anapokea kichapo pale msalabani na kuanza kulia mungu wangu mbona umeniacha , huyu aliemuacha ni mungu gani,,? , na wakati alivyokufa hizo siku tatu kama mnavyotuambia je dunia ilikuwa inaendeshwa na nani ikiwa God kafa,?,, hapa usilete habari sijui sina roho mtakatifu au sijui macho ya nyama kunijibu.
 
Wewe ndio Mjinga
Hakuna sehemu niliyosema hakuishi.
Ila dhana alikufa na kufufuka ndiyo ninayo kukatalia na haina mashiko.

Aliishi ndiyo
Aliteswa ndiyo
Alikufa ndiyo
Alifufuka hapana.
 
Sokoni baada ya kuona hekalu la bwana limekuwa pango la unyang'anyi.

Kwenye makutano ya Barabara akiwa anatoka Nazareth kwenda Jerusalem
Yesu kristo mwana wa mungu wa yakobo mungu wa Elia mungu wa Ibrahim,🤣🤣🤣 Ni noma
 
Wewe ndio Mjinga
Hakuna sehemu niliyosema hakuishi.
Ila dhana alikufa na kufufuka ndiyo ninayo kukatalia na haina mashiko.

Aliishi ndiyo
Aliteswa ndiyo
Alikufa ndiyo
Alifufuka hapana.
Evidence of Jesus' resurrection zipo.

1. Growth of Christianity
2. 500 Eye witnesses
3. Death of the Disciples
4. Shroud of Turin

Again, it's all a matter of pure ignorance
 
Huyo yesu wako akawaponye basi wakongo,sudan kusini,palestina,nk?

"yesu" ni hadiththi tu za kusadikika achaneni naye hana uwezo wa kutatua matatizo yenu mnapoteza muda na nguvu zenu

WAAFRIKA ACHENI UJINGA NA UPUMBAVU HUU WA KUDUMU!!
 
Evidence of Jesus' resurrection zipo.

1. Growth of Christianity
2. 500 Eye witnesses
3. Death of the Disciples
4. Shroud of Turin

Again, it's all a matter of pure ignorance
Haya yote hakuna Mwafrika aliyeyashuhudia bali wazungu ndiyo waliyatunga na kuwandikia Waafrika na wale walio wajinga wanayaabudu hayo kuliko waliyoyashuhudia kwa macho yao kutoka kwa WAZAZI WAO WA KIAFRIKA.
 
Ndo drama zinapoanzia kabondwa hadharani kafufuka kwa watu3 ila hizi dini basi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…