Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Hata shetani alikuwa haaminiki pia, ndo maana aliasiKwahyo baba yake, Mungu baba alikua hamuamini mwanae Yesu
Kwani wewe unawaamini wanao wote kwamba ni wema???
Vipi ikitokea mwanao unayemuamini akiiba pesa kwa jirani utaamini???
Njia nzurii ya kumpima mwanao kama sio mwizi ni kuacha Hela peupe usipoikuta na hakuna anachosema labda kanitumia jua huyo ni mwiziiiiiiiiii
Afu kumbuka kwamba mungu hakumjaribu bali alimruhusu shetani akamjaribu YESU kumbuka mungu hamjaribu yeyote yule
Kuna baadhi ya vitu uaminifu hukosekana kabisaaa