Hata shetani alikuwa haaminiki pia, ndo maana aliasiKwahyo baba yake, Mungu baba alikua hamuamini mwanae Yesu
Yesu sio MUNGU ndiyooMtoa mada kauliza ikiwa "YESU ni MUNGU kwa nini ajaribiwe na shetani?
Sasa nika sema YESU sio mungu maana hana sifa za UUNGU
Note hayo si maneno yangu hayo ni maneno ya bibilia
Hizi kauli za kumfanisha Mungu na kiumbe au kusema Mungu ana mtoto, zitawacost siku za mwisho!Yesu alikua ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja, so shetani alikua anaijaribu ile part ya mwanadamu ila sio ya Mungu
Vizuri mkuu pia YESU si mwana wa MUNGU, bibilia yako ina kataa kata kata, tena MUNGU ktk bibilia yako ana ongea kwa hasira,jazba, kalipio na msisitizo juu ya kumkana YESU kama mwanaweYesu sio MUNGU ndiyoo
Soma kupitia hii
Mathayo 26:39 – Yesu akizungumza na Baba yake wakati wa mateso yake katika bustani ya Gethsemane:
"Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwa inawezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe."
Mungu wako anaruhisu matusi? Dini gani ya ajabu hivyo, mtu unamwita nyani? Na bado mnataka watu waamini mungu wako huyo anaruhusu lugha mbovuSipendi kushindana na mjinga, Mungu si wa kumuoneshea arrogance bwanamdogo. Upumbavu wa Mungu uko juu sana kuliko akili na ufahamu wako. Acha kujifanya mjuaji fanya mambo yaliyo ndani ya uwezo wako. Marekani na maendeleo yao yote ya sayansi na teknolojia wanamwamini Mungu sasa nyani km ww kwanini usitulie. Au mwenzetu mchawi?