Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Suuratu nnisaa aya ya 14 na 15 haizungumzii mambo ya kushikishana ukuta "ushoga" ila inazungumzia "uchafu" unaofanywa na wanawake wa jinsia moja "us*g*ji".

Na imeelezwa katika aya hiyo kuwa inatakiwa kitendo hicho kiwe kimeshuhudiwa na mashahidi 8 ili kuwatia hatiani, na kama watatiwa hatiani basi adhabu yao ni kuwafungia wanawake hao katika jumba mpaka pale atakapopatikana mwanaume wa kumnusuru "kuoa" ndipo adhabu yao itaisha. Kinyume na hapo watafungiwa humo mpaka mauti yawakute.
Wallahu a'lam
 
"Mwenye kumuingilia mwenye hedhi au mwanamke kwa nyuma au kumuendea mchawi na kumuamini kwa anayosema basi amekufuru kwa aliyoteremshiwa Muhammad" (Abu Daawuud, at-Tirmidhiy na Ibn Maajah, na Isnadi yake ni Sahihi).
 

Hio picha kama ni kuran naomba unukuu aya ya ngap?
Lkn kuhusu kusema ALLAH kapuliza tumbo kwani ww hujui kama tupu ni sehem ya tumbo? au mpaka utukane kwa kusema ku**** au utupu? Tumia tafsida kk...
Kuhus yesu kuwa masihi nahisi cwez tena kubadlisha kile unacho kiamni kwa kuwa sio kazi yangu kukkuaminisha jambo lolote kwenye kuran,wajibu wetu ni KUKUMBUSHA TU.,Na mimi nmeshakukumbusha sasa kama unamtazamo mwengine baada ya ukumbusho huu ,Allahu aalamu...
 
MUNGU anaweza kila jambo rafiki,kuna mtu aliwahi kutumwa na MUNGU na mtu huyo akambishia MUNGU mpaka apate uhakika kama anaesema nae ndiye MUNGU kweli,na walibishana mpaka huyo mtu akamshinda na kumpa MUNGU masharti ya nini afanye ili ajidhihirishe kama ni MUNGU kweli anaesema nae ndo aende anakomtuma.na ndivyo ilikua,sasa huyo alikua ni mtu na kwa uwezo wa MUNGU unaomaanisha ulivyo mkubwa si angemuamulu kwa uwezo wake tu huyo ndugu na akafuata maelekezo?lakini MUNGU alikua mpole ili watu waelewe,anazo njia nyingi za kujidhihirisha na kuwafundisha watu
 
sawa kabisa allah hapo katoa hukumu kwa hao wanawake wanao sagana hiyo ni nisaa.14! aya ya kumi na tano inahusu wanaume...allah katoa hukumu gani?
 
"Mwenye kumuingilia mwenye hedhi au mwanamke kwa nyuma au kumuendea mchawi na kumuamini kwa anayosema basi amekufuru kwa aliyoteremshiwa Muhammad" (Abu Daawuud, at-Tirmidhiy na Ibn Maajah, na Isnadi yake ni Sahihi).

soma hii ufunguke!; omary ibn khatab alimuuliza mtume sababu ya kushuka baqara 223!; akasema imeshuka kwa ajili ya kuwaingilia wanawake tupu zao za nyuma..
Addrul manthur j.uk 473
Fat'hul baary j.8 uk.38-39
Kasome ufunguke!; Allah amewafaridhia ndogo kwa nini mnatakaabar? kula tu..hhhhhhhhhh...
 

Yesu Alizaliwa na yuko Hai...bishia na hiyo mzee wa kadi za kliniki...hhhhhhhh...
 
Kasauti kadogo kidole juu Ulimzaa we we!!¡¡? kaza kiuno ubishie!; hatuna maskhara na mtoto wa MTU humu..

Ukimaliza ngonjera zako ,poa kama maji ya mtungini ujibu suali, ulimzaa wewe???
 
Matayo 28:19 ```Basi,enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu""""""

Mstari huu unakuonyesha mambo kadhaa Dotto,,,,
1.Yesu sio mtume(ktk Qur'an Yesu sio issa ila Yahsua ibn masihi) issa anaweza kuwa mtume ila YESU Hana hadhi ya chini kiasi hicho..YESU Anaongelea utatu mtakatifu hapo na hadhi yake ni MUNGU.

2.Yesu ni mwana wa MUNGU na kama ilivyo mwana wa binadamu ni binadamu basi pia kama ilivyo YESU ni mwana wa MUNGU basi yeye ni MUNGU.Yeye alizaliwa kabla ya kuumbwa kiumbe chochote ""Wakolosai 1:15-17"""pitia hapa kuna maneno ya kweli na kila unachotaka kuelewa kuhusu YESU.

3.Usiwe unamuongelea Paulo kulingana na viongozi wako wa dini wanaomdharau na kumchukia(nimesikia wengine wakijitoa ufahamu na kumwita Shoga)) Jiulize kwamba Yeye alie katika Ukristo amezuia nini katika dini Yenu ya Uislam,,,amehatarisha maslahi ya nani???
Kwa nini mnashindwa kuongea mambo mnayoyaona sahihi kwa kumhofia???

Je!! Wewe muislamu utaweza kumbainishia mkristo ubaya wa Paulo kulingana na uelewa wako mdogo na mtazamo wako finyu wa biblia??

Je!? Huwezi kumwongelea Yesu pekee pasi na kumchanganya na Paulo mtume wa mataifa??
 
Ama kwa hakika kabisa nina ujasiri wa kusema maneno haya ""YESU yupo na kila mmoja wa binadamu atampigia goti na kumsujudia katika maisha haya au baada ya kufa kwenye maisha yajayo.NASISITIZA KILA MTU.Kwa hakika pasi na shaka yoyote.
 
Hivi hawa wanaodai yesu ni Mungu hivi wako sawa lakini?yaani Mungu huyu ale afu aenda chooni afu bado unasema huyu ni mungu hivi mko sawa kweli?hapa nakumbuka maneno kutoka ktk kitabu cha isaya...hata nyota sio safi machoni sembuse binaadamu aliyezaliwa na mwanamke tena buu.
 
Ama kwa hakika kabisa nina ujasiri wa kusema maneno haya ""YESU yupo na kila mmoja wa binadamu atampigia goti na kumsujudia katika maisha haya au baada ya kufa kwenye maisha yajayo.NASISITIZA KILA MTU.Kwa hakika pasi na shaka yoyote.
Tutampigia goti kama nani sasa? Kama Mungu au kama mwanaye Mungu?
 
Akili yako imeishia hapo. Hazikutoshi, ipo siku utaju kuwa Yesu Kristu ni kweli na uzima. Mohamed mwenyewe kapinga sana ukirsto mwisho kafa yeye ukirsto upo utakuwa wewe?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…