Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Sio aya moja tu Bali Biblia yoote imekuja kumfunua Mungu kati ya Binadamu...

Yaani biblia imemfunua mungu ,kazi ipo .

Mungu kashindwa kujifunua.

Jibu yale maswali niliyokuuliza
 
Paulo anaweza kua sawa tu,kwa MUNGU yote yawezekana kama alivyoweza kumtengeneza popo.wengine wanamuita ndege na wengine humwita mnyama.yamkini YESU alikua BINADAMU na MUNGU pia
Yesu hawezi kuwa Mungu, ila ni mjumbe kutoka kwa Mungu ili kuwaongoza watu wapite katika njia ilioonyooka (haki).
Mungu hawezi kusulubiwa na wale aliowaumba
 
Hamna kitu kama hicho bro, biblia ni moja Lakin waumini mnapingana, si kuchanganyikiwa huko, Mungu hakufanana na kiumbe chochote na wala hakuzaa wala hakuzaliwa na yeye ni mmoja tu hana mshirika
 
Bible siyo kama kitabu cha hadithi ambacho kila mtu anasimulia na kufasiri, kila mtu ashike imani yake maana hukumu ya siku za mwisho haitakuwa kwa makundi. Mimi msimamo wangu ni huu,

YESU KRISTO NI MUNGU
Tatizo biblia ni combination Ya vitabu vingi ndo maana inaleta utata kwa waumini wa kikristo
 
Waislamu wanasomeshwa quran Baadae tafsiri Ya quran, sio kama inafichwa imani, 80% percentage Ya vitu vilivyotajwa katika quran ni proved only 20 ambavyo havipo proved kwa sababu zimetaja pepo na moto. Kwa hivyo usiijadili Qur-an utaumia
 
Hamna kitu kama hicho bro, biblia ni moja Lakin waumini mnapingana, si kuchanganyikiwa huko, Mungu hakufanana na kiumbe chochote na wala hakuzaa wala hakuzaliwa na yeye ni mmoja tu hana mshirika
Yeye mwenyewe alisema na afanye mtu kwa mfano wake afu we unasema hakufanana na kiumbe chochote.we jamaa vipi wewe?!
 
Uko vizur nahwu na balagha, majazi akiliiy ni sifa ambayo anyopewa mtu pasipo kuwa na uwezo nalo. Lugha Ya kiarabu ni nzuri sana wallah hawajui
 
Lete aya moja tu yesu anasema mimi ni mungu

Yesu si binadamu ni Mungu Yohane 1:1-4. Na kwa kuwa ni Mungu hakuwa na sababu ya kujionyesha yeye bali kutimiza mapenzi ya Mungu Baba. Hakutaka kujitukuza yeye "... mjifunze kwangu kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo" Hayo mambo yenu ya "Mtanijua mimi ni nani" mtabaki nayo ninyi.

Yesu ni Mungu full stop (hata shetani analijua hilo na anawashangaa) maswali mengi na mijadala isiyo na tija haibadilishi hilo. Amini na uzaliwe mara ya pili atakupa mambo makubwa usiyoyafahamu kwani kwa imani hiyo kukuelewesha ni sawa na kuwatupia nguruwe chakula cha watoto.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…