Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Anaechekesha zaidi ni allah na muham mad waliosema masihi ana sifa duniani mpaka ahera...unatumia kiungo gani ktk kutafakari??? komwe?! Hivi mlaaniwa anaweza kuwa na sifa duniani na ahera? laanatulahi...
Kuna tofauti kubwa sana huyu aliyetajwa na Allah kuwa masih hakupigwa mijeredi na watu (hakusulubiwa)Mungu alikuwa akimpenda na kumpa heshima yake ya unabii. Lakini huyu aliyelaaniwa ni yesu huyo aliyepigwa mijeredi na watu mpaka akalia na kuomba msaada kwa Mungu kuwa kamuacha. Allah hana Masih aliyetundikwa msalabani.
 
Simioni Mkirene ndiye aliyesulubiwa.
 
ni rahisi kuchanganyikiwa ukimsoma yesu wa musaafu na bibilia kana kwamba ni vitu sawa. hapa ndio chnzo cha mkanganyiko.
 
Kama una andiko kuwa Muhammad ni njia kweli na uzima,nitamfuata kama hakuna utahangaika na roho yako.
 
Wagalatia3:16Hakuna mashaka juu ya ukuu wa wa siri ya dini yetu. (Mungu) Ali one kana katika umbo la binadamu alithibitishwa na roho kuwa ni maadili, akaonekana na malaika. Alihubiliwa kati ya mataifa.....
 
Kama una andiko kuwa Muhammad ni njia kweli na uzima,nitamfuata kama hakuna utahangaika na roho yako.
Wewe sio lazima umfuate Muhammad, watu wenye akili ndio wenye kumfuata. Waulize wanajimu (astronauts) wamejuaje kama Palestina (middle east) ni sehemu Ya kutokea duniani
 
Soma hiyo Wagalatia3 :16.
 
Siwashangai mnaabudu sanamu pia biblia inasema amelaaniwa anae sulubiwa msalabani kwani hamna akili eti mnamsubiri atarudi mnachekesha sana
Tunamwabudu Mungu ambaye ni roho hivyo Tunamwabudu ktk roho hakuna anayeabudu sanamu, kumbe ninyi mwaiabudu ardhi?
 
Sio dunia nzima wanaoelekea kaskazini, China wanaoelekea mashariki, ulaya wanaoelekea kusini, kama huujui uislamu usi uzungumze utakuja kujutia
Umetokea WAP na wew wenzio walishaukimbia huu Uzi ngoj nile sahan moja na wewe KAFIRI usiyemwamini BWANA YESU!!.
 
Tatizo ninini kwenye haya mafundisho.......?
 
Umetokea WAP na wew wenzio walishaukimbia huu Uzi ngoj nile sahan moja na wewe KAFIRI usiyemwamini BWANA YESU!!.
Tatizo sio kama simuamin, nyinyi mmempa sifa Ya Mungu, then biblia ni maneno machache tu ndo Ya mungu, yaliobakia yamefanyiwa editing na watu, kwa sababu vitabu vilivyounda biblia ni vingi hadi nashangaa
 
Nipe hata mstari mmoja uliofanyiwa editing!!..
 
Vitabu vile vyote mvicombine halafu msifanye editing haiwezekani, hata chuoni unapewa article kama tano then uifanye moja, halafu usiedit haiwezekani
 
Wagalatia imo kwenye Quran?
Wagalatia3 :16 Hakuna mashaka juu ya ukuu wa siri ya dini yetu. Alionekana katika umbo la binadamu alithibitishwa na roho kuwa ni mwadilifu akaonekana na malaika. Alihubiliwa kati ya mataifa aliaminiwa ulimwengu akachukuliwa juu katika utukufu.
 
Hayo maneno anasema nani? Na ni nani aliona akichukuliwa katika utukufu? Huyo roho aliyemthibitisha ameumbwa na nani....je ameumbwa na huyohuyo Yesu ambaye ndiye Mungu au? Kwa hiyo Mungu anathibitishwa na kiumbe alichokiumba?
 
Kumbe we chizi hapo juu umenukuu Wagalatia3 :13.sasa nakupa andiko jingine we unauliza Maswali ya kipuuzi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…