Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Biblia inasema kuna MUNGU MMOJA TU,aliyejifunua katika nafsi 3(yaani Baba, Mwana,na roho Mtakatifu)si watatu bali mmoja,(angalia kwa makin hizo aya anasema katika WINGI anafanya katika UMOJA)View attachment 415971View attachment 415972View attachment 415973View attachment 415974View attachment 415975

2:Inatakiwa ujue pia kuwa YESU alikuwa akiishi kabla hata ya kujidhirisha katk mwili akiwa MUNGU HALISI,ushahidi,View attachment 415961View attachment 415964View attachment 415965View attachment 415966View attachment 415967View attachment 415968
3,Baada ya YESU kuuvaa MWILI ndio hayo yote Mnayoyasema yakatokea,Akala,akasinzia,akawa mtumwa,Mtumishi,MTU,atachoka nk,View attachment 415982View attachment 415983View attachment 415984
Je, Mungu ni watatu-katika-mmoja na ni mmoja katika watatu kwa wakati mmoja au ni mmoja kwa wakati huo huo?
 
Wewe na wenye mawazo kwamba Yesu alilaaniwa, tunawaombea dhambi hiyo ifutike kwa kuwa mnawaza kibinadamu. Na haipendezi kuleta ubishi wa kidini, kwa kuwa nguzo kuu ni IMANI.

Yesu kuzaliwa kwake, maisha yake na kifo chake kilitabiriwa mapema, kama baadhi yetu humu walivyonukuu vifungu vya Biblia. Kosa lao kubwa ni kutafsiri hayo maandiko kibinadamu.

Pamoja na upendo wa Mungu kuwatuma manabii, ikiwamo Muhammad, binadamu aliendelea kuwa mdhambi na ndipo akamtuma Yesu mwanae (nabii mkuu wa mwisho) kuwakomboa binadamu kwenye minyororo ya dhambi (shetani).

Kifo cha Yesu ndivyo Mungu alipenda iwe, kuwakumbusha binadamu kwamba ukifanya dhambi utaadhibiwa. Na adhabu kubwa, inayotisha binadamu, ni mauti.



1. Wakristo wanasema kwamba “MUNGU AMEMTOA” mwanawe wa pekee ili kutuokoa sisi”.

Je, Mungu alimtoa Yesu kumpa nani wakati yeye Mungu ndiye mmiliki wa ulimwengu wote?

2. Ikiwa ilikubalika kwa utukufu wa Mungu kuwa awe na watoto, basi angeumba mamilioni ya watoto kama Yesu. Sasa kuna jambo gani kubwa kumhusu huyu mtoto wa pekee?

3. Kwa nini Biblia inasema kwamba Yesu alitaka kufa msalabani, huku yule mtu aliyesulubiwa pale msalabani alikuwa anapiga kelele “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?” kwa mujibu wa Matayo 27:45 na Marko 15:33?

4. Ikiwa Mungu alitaka kutuokoa, Je, angeshindwa kutuokoa bila kumtoa muhanga Yesu?

5. Mungu yeye mwenyewe ni haki, na haki inataka kusiwepo na mtu anayepaswa kuadhibiwa kwa madhambi ya wengine, vile vile haipaswi kuadhibiwa watu wengine kwa kuwaokoa wengine: Je!

6. Dai la kwamba Mungu amemtoa muhanga Yesu ili kutuokoa haliteti mkanganyiko kama kweli Mungu ni mpenda haki? Je, Dai hilo halitofautiani na maana halisi ya haki?

7. Watu wanatoa muhanga vitu vyao ili kupata vitu vingine wasivyokuwa navyo ikiwa haiwezekani kuwa navyo vyote viwili kwa wakati mmoja. Wakristo wanasema kwamba “Mungu alimtoa muhanga mtoto wake wa pekee ili kutuokoa; Tunajua kwamba Mungu ni Mwenye nguvu; Mungu alimtoa Muhanga Yesu kwa nani?

8. Kutoa muhanga kitu maana yake ni kwamba huwezi kukipata tena kile ulichokitoa; sasa kuna siri gani katika kutolewa Muhanga Yesu wakati Mungu aliweza kumrudisha Yesu baada ya kusulubiwa (kwa mujibu wa maneno ya Wakristo)?
 
KUNA MUNGU MMOJA TU(aliyeufunua UPENDO wake kwetu katika nafsi 3,suala la kuvaa MWILI(incarnation) aliliahidi zaman sana kupitia MANABII wake soma,KUMTENGANISHA YESU NA BABA YAKE HAIWEZEKANI,NI SAW NA KUUTENGA UMEME KUTOKA KWENYE WAYA(UMEME UKAE PEKE YAKE NA WAYA PEKE YAKE)YESU mwenyew anasema UMHESHIMU YEYE KAMA UNAVYOMHESHIMU BABA(MUNGUView attachment 416007View attachment 416008View attachment 416009View attachment 416010View attachment 416011View attachment 416012
Umekariri maandiko kama gazeti pasipo kuelewa mantiki ya maandiko. Sasa itakulazimu unijibu maswali yangu ipasavyo.

Je, Mungu ni watatu-katika-mmoja na ni mmoja katika watatu kwa wakati mmoja au ni mmoja kwa wakati huo huo?
 
Yesu ni Mwana Wa Mungu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu", lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.

Katika Mathayo 27.43 yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu.

Hao walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli.

Mara nyingi waliokuwa wakimwita Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.

Ama mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu.

Katika Injili jina hili la Yesu kuitwa mwana wa Adamu limetajwa yapata mara 80.

Mahasimu zake wa Kiyahudi walimzulia kuwa alidai kuwa ni Mfalme wa Mayahudi ili kumchongea kwa watawala wa Kirumi, na kuwa alidai kuwa ni Mwana wa Mungu ili apate kuchusha kwa Mayahudi.


Luka anatusimulia katika Injili yake alivyohubiri Yesu:

Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru na waovu.----Luka 6.35

Hapo twaona Yesu anawaambia wafuasi wake kuwa katika malipo ya watendao mema na kuwapenda maadui zao ni kuwa watakuwa "wana wa Aliye juu" yaani Mwenyezi Mungu.

Katika Injili ya Mathayo Yesu anasema:
Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu. -----Mathayo 5.9
 
Gavana: umeandika mengi na kujichanganya.

Biblia, kama ilivyo Quran, si vitabu vya hadithi simulizi, bali maandiko ya binadamu kwa uwezo wake Mungu (kwa IMANI ya kiroho). Hata lugha inayotumika si nyepesi mnavyotaka iwe, kiasi kwamba utamkana Yesu na Muhammad, na kuumbwa kwako na Mungu.

UNATAKA NIKUELEWE HIVYO, Gavana (ID ya jina kubwa), kwamba wewe huna IMANI!

Hivyo basi, Ni nje ya uwezo wangu kuyarejea maandiko hayo matakatifu kwa tafsiri ya mtu mmoja mmoja kama wewe, maana tutaingia ubishi nje ya IMANI zetu.

Ukipenda ubishi ni budi tufanye tafiti na siyo ubishi wa tafsiri ya maandiko ya Biblia au Quran.
 
Je, Mungu ni watatu-katika-mmoja na ni mmoja katika watatu kwa wakati mmoja au ni mmoja kwa wakati huo huo?
MUNGU NI MMOJA KWA WAKATI HUO HUO(Nafsi 3 tunazoziongelea yaani Baba,Mwana,na roho) ni NGUVU tu ya utendaji tu wa mambo yake,soma
1476173778453.jpg
1476173793685.jpg
1476173802396.jpg
KITU CHA KUFAHAMU MAJINA BABA,NA MWANA YALILETWA NA MALAIKA BAADA YA KIRSTO KUFANYIKA MWILI,
1476173895204.jpg
1476173903968.jpg
,
 
Ni vizuri umenipa huo ushahidi wa kitabu unacho kiamini siwezi kupinga pia naomba haya maswala ya imani tusipende kukashifiana wewe ni mkristo amini dini yako na mimi muislamu naamini dini yangu jambo la muhimu tuepuke kukashifiana ila kuna wengine ukimuuliza swali unataka kujua kitu basi yeye anajua tu huyu atakuwa muislam anaanza kashfa kuna kuwa sasa hakuna mjadala ni kashfa tu asante ndugu kwa majibu yako
Kweli MKUU nimekuelewa umenena vyema sana,kweli jambo tunalolifanya si JEMA,sisi bado ni ndugu na marafiki hata Qur'an inashuhudia hilo,wakati mwingine tunajipatia khatia mbele ya M.Mungu kwa maneno ya Upuuzi,tusameheane tulipokwazana aisee!!!..
1476174829499.jpg
 
MUNGU NI MMOJA KWA WAKATI HUO HUO(Nafsi 3 tunazoziongelea yaani Baba,Mwana,na roho) ni NGUVU tu ya utendaji tu wa mambo yake,somaView attachment 416021View attachment 416022View attachment 416023KITU CHA KUFAHAMU MAJINA BABA,NA MWANA YALILETWA NA MALAIKA BAADA YA KIRSTO KUFANYIKA MWILI,View attachment 416026View attachment 416027,
Ikiwa Mungu ni mmoja mwenye nafsi tatu, kwa hiyo hakuna hata mmoja kati ya hao watatu ambae ni Mungu kamili.

Kwahiyo wakati Yesu alipokuwa duniani, hakuwa Mungu kamili, wala “Baba aliyembinguni” hakuwa Mungu kamili.
1.Mpaka hapa umeshaleta mkanganyiko kwa kile alichokuwa akikisema Yesu kila siku kuhusu Mungu wake na Mungu wetu aliyembinguni, ni Bwana wake na Bwana wetu.
2. vile vile inamaanisha kwamba hakukuwa na Mungu kamili, katika kipindi cha kati ya dai la kusulubiwa na dai la kufufuka kwa yesu.
 
Sasa ni wakati wa kuufunga huu mjadala bila kujali mimi ni mkristo au mimi ni muislamu tukichunguzana sana mwisho tutakashifiana tu hakuna tutakacho pata zaidi ya kuchukiana tu na dhambi ya kubaguana kidini ni mbaya sana napendekeza huu uzi ufutwe
 
View attachment 406746

"Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, MTU ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo."

Yohana 8:40

Katika andiko hilo YESU kwa kinywa chake yeye mwenyewe amejiita kuwa ni "MTU". Kama kuna mtu ana ushahidi wowote katika biblia YESU akijiita MUNGU, basi nami hapo nitaamini kuwa YESU Mungu.

Hata hivyo, mnaweza kusema pia, kuwa YESU alikuwa Mungu na Pia alikuwa mtu. Hata hivyo tukitazama sifa mbalimbali za mungu kama zilivyo tajwa au ainishwa na biblia, utaona hata kiduchu YESU hana sifa hizo.

Mathalani.

"Mungu si mtu, aseme uongo; Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza.."

Hesabu 23:19

Tumeona katika Yohana 8:40 Yesu akijiita Mtu, na hapa katika hesabu tunaambiwa Mungu si mtu, sasa wewe unayemuita Yesu Mungu umepata wapi?

NANI KAFUNDISHA YESU NI MUNGU?

"tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; "

Tito 2:13

Hayo maneno katika kitabu cha Tito, kimsingi ni barua ya kimisionari aliyo andika Paulo kwa watu wa Tito, kama tuonavyo katika barua hiyo, pamoja na mambo mengine Paulo anawaambia watu wa Tito kuwa Yesu ni Mungu Mkuu, maneno haya ya Paulo yanakwenda kinyume kabisa na maneno ga Yesu mwenyewe aliyo yasema katika Yohana 8:40 lakini kinyume kabisa na mafundisho ya kinabii kutoka katika kitabu cha Hesabu 23:19.

YESU ANASEMAJE KUHUSU PAULO?

Awali ya yote Paulo hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Yesu na hakuwahi kumuona Yesu Kristo. Yesu kabla hajapaa kwenda mbinguni aliwahi kusema maneno haya.

"Maneno hayo nimewaambia, msije mkachukizwa. Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada. Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala mimi"

Yohana 16:1-3

Hapa Yesu anatabiri kuwa wanafunzi wake watakuja kuuliwa, anatabiri wakristo na wafuasi wa kanisa lake watakuja kuuliwa, na akasisitiza huyo atajaye wauwa wanafunzi wake hamjui yeye wala Baba(Mungu)

Nani huyo aliyeua wanafunzi wa Yesu? Jawabu ni Sauli ambaye ni Paulo.

"Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu, akataka ampe barua za kuenda Dameski zilizoandikwa kwa masinagogi, ili akiona watu wa Njia hii, waume kwa wake, awafunge na kuwaleta Yerusalemu."

Matendo 9:1-3

Kwa hivyo Mtu aliyetajwa na Yesu katika injili ya Yohana 16:1-3 kuwa atawaua wanafunzi wa Yesu si mwingine Paulo, na katika kitabu cha matendo tunaoneshwa ukatili wa Paulo kwa wanafunzi wa Yesu. Hata hivyo, Bwana Yesu anaendelea na utabiri wake juu ya Paulo katika aya hii.

"Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo"

Yohana 8:44

Katika aya hiyo Bwana Yesu anasema huyo Paulo si kwamba ni muuaji tu, lakini pia mtu muongo sana. Na uongo mkubwa alio ufanya Paulo ni pale aliposema kakutana na Yesu na kisha akajifanya kipofu.

"Hata alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni. Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi? Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe. Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda"

Matendo 9:3-7

Baaada ya Paulo kuwaua sana wanafunzi wa Yesu na kuwatesa sana ili waache mafunzo ya Yesu, lakini wanafunzi wa Yesu waligoma na walikataa katakata kuachana na mafunzo Yasu. Pia naomba mjue, mafunzo ya Yesu yalikuwa mwiba kwa serikali(Dola ya Rumi) na Paulo alikuwa anatumiwa na serikali katika kuhakikisha wanafunzi wa Yesu wanaachana na ukristo/uyaudi.

Pamoja na juhudi hizo za Paulo lakini alishindwa, hivyo njia aliyo amua kuitumia si nyingine bali ni kujiunga na wanafunzi wa kristo. Na ili aaminike ndipo hapo alipotengeneza stori ya kumuona Yesu na maagizo ya upofu, lakini kubwa zaidi alimnunua Anania ili msaidie kufanikisha lengo lake. Kwa kumtumia Anania na kwa kudanganya kwake kuwa kamuona Yesu, wanafunzi wa Yesu walimkubali.

Na hapo ndipo Paulo alipoanza kuyachakua mafunzo ya Yesu, na ndio maana ukristo wa sasa si ule alio ufundisha Yesu.

YESU NA MFARISAYO.

"Ewe FARISAYO KIPOFU, safisha kwanza ndani ya kikombe, ili nje yake nayo ipate kuwa safi. Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, nayo kwa nje yaonekana kuwa mazuri, bali ndani yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote."

Mathayo 26:23

Paulo msomi mkubwa alikuwa Farisayo, lakini Yesu alisema nini juu mafarisayo? Kama tulivyo ona, Yesu anawaona mafarisayo kama vipofu, lakini kubwa katika andiko hili Yesu anamtabiri pia Paulo na maigizo yake ya upofu.

"Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu"

Matendo 23:6

Kwanza Paulo amekiri kwa kinywa chake kuwa yeye ni farisayo. Lakini hiyo haitoshi Paulo alijitia upofu aso kuwa nao.

"Sauli akainuka katika nchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu; wakamshika mkono wakamleta mpaka Dameski. Akawa siku tatu haoni; hali, wala hanywi."

Matendo 9:8-9

Katika aya hizi tunaona kuwa Paulo amekiri kuwa Farisayo lakini pia tunaona Paul yuko katika maigizo ya upofu. Yote haya mawili yanakamilisha unabii wa Yesu pale aliposema

"Ewe farisayo kipofu.."

Mathayo 26:23

Katika aya hizo inatajwa sifa kuu au tabia kubwa ya Mafarisayo, na ambayo imethibiti(ilitimia) kwa Paulo. Sifa hiyo si nyingine bali UNAFIKI.

Paulo alikuwa mnafiki, yaani alijifanya muumini wa mafundisho Yesu ili mradi apate kuwapotosha wanafunzi wa Yesu, na hili kwakweli kafanikiwa sababu hakuna hata kanisa moja ambalo linafuata mafunzo ya asili ya Yesu. Kila kanisa lina kituko chake.

MWISHO.

Kwa kifupi huku nikizingatia maelezo yangu yote ya huko juu, kuwa YESU SI MUNGU, lakini hakumaanishi kuwa hakuna wanao muita au wanao amini Yesu Mungu. La kuzingatia kama tukiambiwa kauli ipi ya kushika kati ya YESU mwenyewe na ya Paulo kwa vyovyote vile tunatakiwa kushika kauli ya Yesu.

Kauli zote za Paulo ambazo hazipingani na za Yesu, kauli hizo tutazifuata, lakini kauli yoyote ya Paulo inayo pingana na Yesu, kauli ya Paulo itapuuzwa na kuanguka, alafu watu wote wanatakiwa wafuate kauli ya Yesu.

Hakuna kauli ya Yesu anayo alijiita Mungu, lakini zipo nyingi akijiita Mtu au mwana wa adamu. Na siku zote alijitafautisha na Mungu. Yesu anakata mzizi wa fitina katika andiko hili.

"Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma"
Yohana 17:3

Nasema YESU SI MUNGU, na Paulo ana kesi ya kujibu kwa kudanganya ulimwengu, na kwa kuharibu mafundisho ya Yesu na kubwa zaidi kwa kuwatesa na kuwaua wanafunzi wa Yesu na wafuasi wake.

Katika kuendeleza urongo wa Paulo, watu wameambukizwa urongo, sasa wanatusambazia picha na sanamu za wacheza sinema na kisha wanataka tuziheshimu kama Yesu, kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

TUJADILI!

Dotto Rangimoto Chamchua(Njano5)
Call/whatspp 0622845394 Morogoro.
Unajua kuna tofauti kati ya kujua na kuamini,waumini wengi wanaamini pasipo kujua kwa undani,waislam wengi hawaujui uislam kutoka A- Z na wakristo wengi hawaujui ukristo kuanzia A- Z,mtu umezaliwa tuuu mwaka 80 umekuta wazazi wako wakristo au waislam automatically na ww ukawa hivyo,na ukiangalia dini zina historia ndefuuu na zimeanza miaka mingi mno iliyopita na bado kuna siri kubwa sana nyuma ya dini tunazoamin
 
Yesu Alizaliwa na yuko Hai...bishia na hiyo mzee wa kadi za kliniki...hhhhhhhh...
ha ha ha ha,hivi kwanini wagalatia hamnaga point za kuweka arguments zilizosimama?,

maana naona kadi ya kliniki,sijui eti inatakiwa uwe na roho mtakatifu kuielewa bible etc,kwanini hamuwezi kufanya intelligent arguments?
 
Usiseme drama zilizojaa kwenye biblia,imani kama siyo yako utajiona wewe upo sawa kumbe yamkini na wewe upo wrong tu.Islamic wanaponda Christian,na Christian wanaponda Islamic,na wote wanaponda Hindu,na Hindu inawaponda wote.nakadharika..Imani imani tu,ni njia tu tunazopitia ili tufike kumoja
Dini Ya haki ni moja tu, subir siku unaotolewa roho yako utajua
 
hebu ficha majinga majinga yako wewe! wewe, allah, jiburilu, muham mad, na waisilamu woote duniani hamjui lugha Imani ya Wakristo hilo hakuna ubishi...Wakeisto wanaamini Hutu Yesu no Mungu kamili na in mwanadamu kamili.ni.2 in.1...hivyo huna ufahamu tunapo muongelea Yesu!; tunatofautisha tunapo mjadili akiwa ktk Hali gani..Akiwa Mungu ima mwanadamu kamili!; hapo wewe unauliza jee Mungu anaweza kusulubiwa? Jibu hapana!; jee mwanadamu anaweza kusulubiwa? Jibu ndio! hivyo basi unamjadili Yesu huku hujui unachanganya changanya bila kuweka mpaka...Nakushauri ili unune kafir tamka leo kwamba kuwa ktk hali hizo Mungu hawezi! Tamka dogo, wala usiume ume maneno na kumshusha Mungu awe kama babuyo kipunjo!
Einstein alizaliwa mkristo, kusikia hayo mungu na mtu bora akaamua auvue na awe pagani
 
Biblia Takatifu yote! Hutaki meza sumu ya panya unune! wajanja kila Siku Tunamkiri Yesu kwamba!; Hakuna Mungu Apaswaye Kuabudiwa kwa Haqi ilaha Yesu na Prof Paulo in Mtume wake! Yesu nisamehe uovu wangu lakini naapa kwa Jina lako Sitakukana!!!! dhahir eeh?!
Ingekuwa yesu Mungu wakristo wote msingekufa, kwani mnaogopa kufa
 
Ukatae sasa!; kwamba maajabu hayo Muumba wa vinavyo onekana kwa macho ya nyama na visivyo onekana hawezi!? Tamka wewe!? Umebaki makalio makalio!; ukitaka kujua Mungu hakukosea kumuumbia mwanadamu makalio, kalia kichwa uone...wewe ni#&%$anaaa...laanatulAllahi...
Allah ni mungu wa waislamu, kwa hivyo ungetakiwa usemi laanatulyessu
 
Ukatae sasa!; kwamba maajabu hayo Muumba wa vinavyo onekana kwa macho ya nyama na visivyo onekana hawezi!? Tamka wewe!? Umebaki makalio makalio!; ukitaka kujua Mungu hakukosea kumuumbia mwanadamu makalio, kalia kichwa uone...wewe ni#&%$anaaa...laanatulAllahi...
Allah ni mungu wa waislamu, kwa hivyo ungetakiwa usemi laanatulyessu
 
ha ha ha ha,hivi kwanini wagalatia hamnaga point za kuweka arguments zilizosimama?,

maana naona kadi ya kliniki,sijui eti inatakiwa uwe na roho mtakatifu kuielewa bible etc,kwanini hamuwezi kufanya intelligent arguments?
Elungata NAPATA MASHAKA SANA NA WEWE KAMA UNAAMIN KUWA MUNGU ANAWEZA MAMBO YOTE,PIA UNAAMINI KWA MUJIBU WA QURAN TUKUFU,PIA MALAIKA WANAWEZA KUVAA/KUJIGEUZA KUWA BINADAM,SOM,QUR,6:9,QUR 19:17-
1476178152212.jpg
1476178181794.jpg
UNASHINDWA NINI KUAMINI NI KITU RAHISI ZAIDI KWA M.MUNGU KUFANYA HIVYO?AU MALAIKA WANA UWEZO MKUBWA ZAID YA MUNGU?
1476178300669.jpg
 
[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] NIMEKUSHIKA PABAYA EEEHH,POLE SANA AISEE,ETI WAKRISTO MAMBULULA,NITAJIE MWISLAM YEYOTE UNAYEMJUA WEW ANAYEFAHAMIKA DUNIANI KATIKA TECHNOLOGICAL INVENTION & PHILOSOPHICAL AFFAIRS,AU HUJUI HATA HAYO **MABOMU*** MNAYOVAA ILI MJILIPUE TUNATENGENEZA SISI?[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanatengeneza Wayahudi, na Wayahudi sio wakristo na kiimani hawakupendeni sana tu
 
Ni vizuri umenipa huo ushahidi wa kitabu unacho kiamini siwezi kupinga pia naomba haya maswala ya imani tusipende kukashifiana wewe ni mkristo amini dini yako na mimi muislamu naamini dini yangu jambo la muhimu tuepuke kukashifiana ila kuna wengine ukimuuliza swali unataka kujua kitu basi yeye anajua tu huyu atakuwa muislam anaanza kashfa kuna kuwa sasa hakuna mjadala ni kashfa tu asante ndugu kwa majibu yako
Mr Chola pia nina wasi wasi wa hicho kitabu Chao, Qur-an kateremshiwa Muhammad na Chao kateremshiwa nani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom