Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Je, Mungu ni watatu-katika-mmoja na ni mmoja katika watatu kwa wakati mmoja au ni mmoja kwa wakati huo huo?
 



1. Wakristo wanasema kwamba “MUNGU AMEMTOA” mwanawe wa pekee ili kutuokoa sisi”.

Je, Mungu alimtoa Yesu kumpa nani wakati yeye Mungu ndiye mmiliki wa ulimwengu wote?

2. Ikiwa ilikubalika kwa utukufu wa Mungu kuwa awe na watoto, basi angeumba mamilioni ya watoto kama Yesu. Sasa kuna jambo gani kubwa kumhusu huyu mtoto wa pekee?

3. Kwa nini Biblia inasema kwamba Yesu alitaka kufa msalabani, huku yule mtu aliyesulubiwa pale msalabani alikuwa anapiga kelele “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?” kwa mujibu wa Matayo 27:45 na Marko 15:33?

4. Ikiwa Mungu alitaka kutuokoa, Je, angeshindwa kutuokoa bila kumtoa muhanga Yesu?

5. Mungu yeye mwenyewe ni haki, na haki inataka kusiwepo na mtu anayepaswa kuadhibiwa kwa madhambi ya wengine, vile vile haipaswi kuadhibiwa watu wengine kwa kuwaokoa wengine: Je!

6. Dai la kwamba Mungu amemtoa muhanga Yesu ili kutuokoa haliteti mkanganyiko kama kweli Mungu ni mpenda haki? Je, Dai hilo halitofautiani na maana halisi ya haki?

7. Watu wanatoa muhanga vitu vyao ili kupata vitu vingine wasivyokuwa navyo ikiwa haiwezekani kuwa navyo vyote viwili kwa wakati mmoja. Wakristo wanasema kwamba “Mungu alimtoa muhanga mtoto wake wa pekee ili kutuokoa; Tunajua kwamba Mungu ni Mwenye nguvu; Mungu alimtoa Muhanga Yesu kwa nani?

8. Kutoa muhanga kitu maana yake ni kwamba huwezi kukipata tena kile ulichokitoa; sasa kuna siri gani katika kutolewa Muhanga Yesu wakati Mungu aliweza kumrudisha Yesu baada ya kusulubiwa (kwa mujibu wa maneno ya Wakristo)?
 
Umekariri maandiko kama gazeti pasipo kuelewa mantiki ya maandiko. Sasa itakulazimu unijibu maswali yangu ipasavyo.

Je, Mungu ni watatu-katika-mmoja na ni mmoja katika watatu kwa wakati mmoja au ni mmoja kwa wakati huo huo?
 
Yesu ni Mwana Wa Mungu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu", lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.

Katika Mathayo 27.43 yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu.

Hao walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli.

Mara nyingi waliokuwa wakimwita Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.

Ama mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu.

Katika Injili jina hili la Yesu kuitwa mwana wa Adamu limetajwa yapata mara 80.

Mahasimu zake wa Kiyahudi walimzulia kuwa alidai kuwa ni Mfalme wa Mayahudi ili kumchongea kwa watawala wa Kirumi, na kuwa alidai kuwa ni Mwana wa Mungu ili apate kuchusha kwa Mayahudi.


Luka anatusimulia katika Injili yake alivyohubiri Yesu:

Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru na waovu.----Luka 6.35

Hapo twaona Yesu anawaambia wafuasi wake kuwa katika malipo ya watendao mema na kuwapenda maadui zao ni kuwa watakuwa "wana wa Aliye juu" yaani Mwenyezi Mungu.

Katika Injili ya Mathayo Yesu anasema:
Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu. -----Mathayo 5.9
 
Gavana: umeandika mengi na kujichanganya.

Biblia, kama ilivyo Quran, si vitabu vya hadithi simulizi, bali maandiko ya binadamu kwa uwezo wake Mungu (kwa IMANI ya kiroho). Hata lugha inayotumika si nyepesi mnavyotaka iwe, kiasi kwamba utamkana Yesu na Muhammad, na kuumbwa kwako na Mungu.

UNATAKA NIKUELEWE HIVYO, Gavana (ID ya jina kubwa), kwamba wewe huna IMANI!

Hivyo basi, Ni nje ya uwezo wangu kuyarejea maandiko hayo matakatifu kwa tafsiri ya mtu mmoja mmoja kama wewe, maana tutaingia ubishi nje ya IMANI zetu.

Ukipenda ubishi ni budi tufanye tafiti na siyo ubishi wa tafsiri ya maandiko ya Biblia au Quran.
 
Je, Mungu ni watatu-katika-mmoja na ni mmoja katika watatu kwa wakati mmoja au ni mmoja kwa wakati huo huo?
MUNGU NI MMOJA KWA WAKATI HUO HUO(Nafsi 3 tunazoziongelea yaani Baba,Mwana,na roho) ni NGUVU tu ya utendaji tu wa mambo yake,somaKITU CHA KUFAHAMU MAJINA BABA,NA MWANA YALILETWA NA MALAIKA BAADA YA KIRSTO KUFANYIKA MWILI,,
 
Kweli MKUU nimekuelewa umenena vyema sana,kweli jambo tunalolifanya si JEMA,sisi bado ni ndugu na marafiki hata Qur'an inashuhudia hilo,wakati mwingine tunajipatia khatia mbele ya M.Mungu kwa maneno ya Upuuzi,tusameheane tulipokwazana aisee!!!..
 
Ikiwa Mungu ni mmoja mwenye nafsi tatu, kwa hiyo hakuna hata mmoja kati ya hao watatu ambae ni Mungu kamili.

Kwahiyo wakati Yesu alipokuwa duniani, hakuwa Mungu kamili, wala “Baba aliyembinguni” hakuwa Mungu kamili.
1.Mpaka hapa umeshaleta mkanganyiko kwa kile alichokuwa akikisema Yesu kila siku kuhusu Mungu wake na Mungu wetu aliyembinguni, ni Bwana wake na Bwana wetu.
2. vile vile inamaanisha kwamba hakukuwa na Mungu kamili, katika kipindi cha kati ya dai la kusulubiwa na dai la kufufuka kwa yesu.
 
Sasa ni wakati wa kuufunga huu mjadala bila kujali mimi ni mkristo au mimi ni muislamu tukichunguzana sana mwisho tutakashifiana tu hakuna tutakacho pata zaidi ya kuchukiana tu na dhambi ya kubaguana kidini ni mbaya sana napendekeza huu uzi ufutwe
 
Unajua kuna tofauti kati ya kujua na kuamini,waumini wengi wanaamini pasipo kujua kwa undani,waislam wengi hawaujui uislam kutoka A- Z na wakristo wengi hawaujui ukristo kuanzia A- Z,mtu umezaliwa tuuu mwaka 80 umekuta wazazi wako wakristo au waislam automatically na ww ukawa hivyo,na ukiangalia dini zina historia ndefuuu na zimeanza miaka mingi mno iliyopita na bado kuna siri kubwa sana nyuma ya dini tunazoamin
 
Yesu Alizaliwa na yuko Hai...bishia na hiyo mzee wa kadi za kliniki...hhhhhhhh...
ha ha ha ha,hivi kwanini wagalatia hamnaga point za kuweka arguments zilizosimama?,

maana naona kadi ya kliniki,sijui eti inatakiwa uwe na roho mtakatifu kuielewa bible etc,kwanini hamuwezi kufanya intelligent arguments?
 
Dini Ya haki ni moja tu, subir siku unaotolewa roho yako utajua
 
Einstein alizaliwa mkristo, kusikia hayo mungu na mtu bora akaamua auvue na awe pagani
 
Ingekuwa yesu Mungu wakristo wote msingekufa, kwani mnaogopa kufa
 
Allah ni mungu wa waislamu, kwa hivyo ungetakiwa usemi laanatulyessu
 
Allah ni mungu wa waislamu, kwa hivyo ungetakiwa usemi laanatulyessu
 
ha ha ha ha,hivi kwanini wagalatia hamnaga point za kuweka arguments zilizosimama?,

maana naona kadi ya kliniki,sijui eti inatakiwa uwe na roho mtakatifu kuielewa bible etc,kwanini hamuwezi kufanya intelligent arguments?
Elungata NAPATA MASHAKA SANA NA WEWE KAMA UNAAMIN KUWA MUNGU ANAWEZA MAMBO YOTE,PIA UNAAMINI KWA MUJIBU WA QURAN TUKUFU,PIA MALAIKA WANAWEZA KUVAA/KUJIGEUZA KUWA BINADAM,SOM,QUR,6:9,QUR 19:17-UNASHINDWA NINI KUAMINI NI KITU RAHISI ZAIDI KWA M.MUNGU KUFANYA HIVYO?AU MALAIKA WANA UWEZO MKUBWA ZAID YA MUNGU?
 
Wanatengeneza Wayahudi, na Wayahudi sio wakristo na kiimani hawakupendeni sana tu
 
Mr Chola pia nina wasi wasi wa hicho kitabu Chao, Qur-an kateremshiwa Muhammad na Chao kateremshiwa nani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…