Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Ubashiri wa Muhammad ulikuwepo kwenye pure Injili ambayo sasa imefanyiwa editing na watu kwa ajili Ya manufaa yao, mkristo akionekana na pure Injili kabisa kutoka kwa Allah mara anauliwa
 
Yesu na Muhammad ni nani aliekuja mwanzo, jibu
 
Wanatengeneza Wayahudi, na Wayahudi sio wakristo na kiimani hawakupendeni sana tu
MBONA UNAPINGANA SASA NA QURAN,YENYEWE INASEMA NI MARAFIKI ZETU WE UNAPINGA NIKUELEWEJ,BY THE WAY,MBONA HUTAJ UINGEREZA,USA,GERMANY, RUSSIA?
 
Mauti sio adhabu kabisaa,
 
Ubashiri wa Muhammad ulikuwepo kwenye pure Injili ambayo sasa imefanyiwa editing na watu kwa ajili Ya manufaa yao, mkristo akionekana na pure Injili kabisa kutoka kwa Allah mara anauliwa
latif 481 nishauri tu,hebu TUACHANE NA HAYA MAMBO,tunachokifanya hapa hatufundishani,tunabishana,kama una hikima nielew,kila MTU aendelee kuamini anachoamin tu inatosha!!..
 
Naomba ufafanuzi wa comment namba 1068 wewe si ulikimbilia kwenye utatu. Haya nipe elimu ya huo utatu kwa kujibu hoja
 
Swali lako ni la ubishi wa kidini!

Kwangu ubishi wa kidini si shabiki, ila kama kuna jambo la kuchangia kuongeza ufahamu ili kuimarisha IMANI yangu, nashiriki.
Wewe si ulisema katumwa Muhammad kwa vile wanaadamu ni wadhambi, jibu swali
 
latif 481 nishauri tu,hebu TUACHANE NA HAYA MAMBO,tunachokifanya hapa hatufundishani,tunabishana,kama una hikima nielew,kila MTU aendelee kuamini anachoamin tu inatosha!!..
Ukweli ndo huo, kwenye Qur-an hamna historia Ya Muhammad kwa kuwa kaletewa yeye, Mbona kwenye Injili yenu mnayoitumia Kuna story Ya yesu je alipewa nani hicho kitabu
 
Mimi nlikuwa nakutaka hapo tu, umeiamin quran, mashallah mungu akuzidishie uzidi kuondoka, dah
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Amiin,naamini katika vitabu vyote vya M.Mng(Taurat,Zabur,Injil,Quran(ndio maana ninayo)na naamin hakun mwanadam mwenye uwezo wa kugeuza Maneno yake,maana yeye mwenyew huyaifadhi maneno yake!!.
 
mbona unaamini uchakachuaji wa biblia wa wazee wa kanisa lako ????

Resurrection of the Lord? Not in this universe!

Reliable testimony?

HOW many women at the tomb?

Four + ?

Luke 24.10:

"It was Mary Magdalene and Joanna, and Mary the mother of James, and other women that were with them, which told these things unto the apostles."

Three ?

Mark 16.1:

"And when the sabbath was past, Mary Magdalene, and Mary the mother of James, and Salome, had bought sweet spices, that they might come and anoint him."

Two ?

Matthew 28.1:

"In the end of the sabbath, as it began to dawn toward the first day of the week, came Mary Magdalene and the other Mary to see the sepulchre."

One ?

John 20.1:

"The first day of the week came Mary Magdalene early, when it was yet dark, to the sepulchre, and saw the stone taken away from the sepulchre."

None !

1 Corinthians 15.4,8:

"He rose again the third day according to the scriptures. And that he was seen of Cephas, then of the twelve. After that, he was seen of above five hundred brethren at once; of whom the greater part remain unto this present, but some are fallen asleep. After that, he was seen of James; then of all the apostles. And last of all he was seen of me."
 
Injili iliotajwa hapo, sio hio mnayoitumia, na Injili hio imebashiri ujaji wa Mtume Muhammad S. A. W. Sasa hizo Injili zilizo na historia Ya Yesu ni kutoka kwa Mungu au ni historia zilizoandikwa na watu kwa sabab haiwezekani kitabu ashushiwe yesu then aelezewe historia yake kama wahyi
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Amiin,naamini katika vitabu vyote vya M.Mng(Taurat,Zabur,Injil,Quran(ndio maana ninayo)na naamin hakun mwanadam mwenye uwezo wa kugeuza Maneno yake,maana yeye mwenyew huyaifadhi maneno yake!!.
Vizur, inamaana wewe unamuamin Muhammad kama ni nabii wa mwisho au
 
[QUOTilimuElungata, post: 18003631, member: 36407"]ha ha ha ha,hivi kwanini wagalatia hamnaga point za kuweka arguments zilizosimama?,

maana naona kadi ya kliniki,sijui eti inatakiwa uwe na roho mtakatifu kuielewa bible etc,kwanini hamuwezi kufanya intelligent arguments?[/QUOTE]

wewe ilimu ya roho huna ilaha ya kukamuana ngama sanda.3 kono vutu hapo sikubishii unayo...
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Amiin,naamini katika vitabu vyote vya M.Mng(Taurat,Zabur,Injil,Quran(ndio maana ninayo)na naamin hakun mwanadam mwenye uwezo wa kugeuza Maneno yake,maana yeye mwenyew huyaifadhi maneno yake!!.
Hivyo vitabu vyote viligeuzwa na wanaadamu ndo maana akatumwa nabii mwengine ili kurekebisha kitabu cha nabii aliopita, na Injili iliharibiwa ndo maana akatumwa Muhammad kuja kuirekebisha kwa kutumia Qur-an.
 
Swali:

Wapi katika vitabu vyote uvijuavyo ulimwenguni , Mungu alisema nitajidhihirisha kwa umbo la kibinadamu ??????

Hayo maneno uliyoyanukuu si maneno ya malaika
 
Ubashiri wa Muhammad ulikuwepo kwenye pure Injili ambayo sasa imefanyiwa editing na watu kwa ajili Ya manufaa yao, mkristo akionekana na pure Injili kabisa kutoka kwa Allah mara anauliwa

Kama kuna Injili iliyotabiri ujio wa Mtume Muhammad, sio injili ya Kristo, itakuwa ni injili nyingine tofauti kabisa na Injili iliyoletwa na Yesu Kristo. Halafu hii mambo ya kusema sijui nani kashushiwa kitabu gani ujue jambo hilo haliko katika Ukristo. Vitabu vyote vilivyomo katika Biblia VILIANDIKWA na wanadamu kwa uongozi na maelekezo ya Mungu mwenyewe. Kwa hiyo hoja kuwa kuna injili iliyomtaja Muhammad kama ilishishwa ni sawa lakini sio ile iliyoandikwa na mitume wa Yesu. Na kama ilishushwa kutoka kwa Mungu ujue fika kuwa huyo Mungu aliyeishusha hiyo injili na vitabu vingine SIO Maungu anayeabudiwa na Wakristo. Mungu wa Wakristo hakushusha kitabu chochote. Ndio maana torati inayosemekana imeshushwa ina utofauti mkubwa na torati iliyoandikwa na inayopatikana katika Biblia. Kwa mfano kitabu kilichoshushwa kinasema kuwa mtoto wa Ibrahim ambaye baba yake alitaka kumtoa sadaka ni Ishmail wakati torati iliyandikwa na watumishi wa Mungu kwa maelekezo ya Mungu inasema huyo mwana ni Isaka. Mungu aliyeshusha vitabu sio Mungu anayeabudiwa makanisani. Kila mtu abaki na Mungu wake na amani itakuwepo. Na kila mtu atakuwa sahihi kufuatana na Mungu anayemwamini.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…