Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Mungu ni mmoja pekee ambaye ndiye muumbaji wa ulimwengu na vyote vilivyo ulimwenguni. Hata kama binadamu wana miungu mingi tofauti tofauti lakini haimanishi kuwa Mungu Muumbaji wapo wengi bali anabakia ni huyo huyo mmoja hayo ni masuala ya mapokeo ya kiimani tu haimbadilishi muumbaji. Na ndiyo maana huwezi kuona Mungu "A" anafanya jua lichomoze mashariki na kuzama magharib. Halafu Mungu "B" akabadilisha kwa kupingana na Mungu A kwa kufanya jua lichomoze magharibi na kuzama mashariki. Alkadhalika huwezi kuona wakristo wanazaliwa tofauti na waislam kwavile eti waislam wana Mungu wao na wakristo wana Mungu wao.
Nakubali kuwa Mungu muumbaji ni mmoja ila kubaliana na mimi kuwa kuna watu wanadhani kuwa wanamuabudu Mungu muumbaji kumbe kiukweli ni kuwa wanachoabudu sio Mungu na wala hakifanani na Mungu. Kwa maana nyingine ni kuwa kati ya Waislam na Wakristo mojawapo wa dini hizi mbili moja kwa uhakika inaabudu asiyekuwa Mungu muumbaji na nyingine labda inamuamini huyo Mungu muumbaji. Nasema labda kwa sababu yawezekana huyo muumbaji anaabudiwa na Wahindu au Mabudha nk
 
Nakubali kuwa Mungu muumbaji ni mmoja ila kubaliana na mimi kuwa kuna watu wanadhani kuwa wanamuabudu Mungu muumbaji kumbe kiukweli ni kuwa wanachoabudu sio Mungu na wala hakifanani na Mungu. Kwa maana nyingine ni kuwa kati ya Waislam na Wakristo mojawapo wa dini hizi mbili moja kwa uhakika inaabudu asiyekuwa Mungu muumbaji na nyingine labda inamuamini huyo Mungu muumbaji. Nasema labda kwa sababu yawezekana huyo muumbaji anaabudiwa na Wahindu au Mabudha nk
[emoji106]
 
View attachment 406746

"Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, MTU ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Ibrahimu hakufanya hivyo."

Yohana 8:40

Katika andiko hilo YESU kwa kinywa chake yeye mwenyewe amejiita kuwa ni "MTU". Kama kuna mtu ana ushahidi wowote katika biblia YESU akijiita MUNGU, basi nami hapo nitaamini kuwa YESU Mungu.

Hata hivyo, mnaweza kusema pia, kuwa YESU alikuwa Mungu na Pia alikuwa mtu. Hata hivyo tukitazama sifa mbalimbali za mungu kama zilivyo tajwa au ainishwa na biblia, utaona hata kiduchu YESU hana sifa hizo.

Mathalani.

"Mungu si mtu, aseme uongo; Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza.."

Hesabu 23:19

Tumeona katika Yohana 8:40 Yesu akijiita Mtu, na hapa katika hesabu tunaambiwa Mungu si mtu, sasa wewe unayemuita Yesu Mungu umepata wapi?

NANI KAFUNDISHA YESU NI MUNGU?

"tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; "

Tito 2:13

Hayo maneno katika kitabu cha Tito, kimsingi ni barua ya kimisionari aliyo andika Paulo kwa watu wa Tito, kama tuonavyo katika barua hiyo, pamoja na mambo mengine Paulo anawaambia watu wa Tito kuwa Yesu ni Mungu Mkuu, maneno haya ya Paulo yanakwenda kinyume kabisa na maneno ga Yesu mwenyewe aliyo yasema katika Yohana 8:40 lakini kinyume kabisa na mafundisho ya kinabii kutoka katika kitabu cha Hesabu 23:19.

YESU ANASEMAJE KUHUSU PAULO?

Awali ya yote Paulo hakuwahi kuwa mwanafunzi wa Yesu na hakuwahi kumuona Yesu Kristo. Yesu kabla hajapaa kwenda mbinguni aliwahi kusema maneno haya.

"Maneno hayo nimewaambia, msije mkachukizwa. Watawatenga na masinagogi; naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada. Na hayo watawatenda kwa sababu hawakumjua Baba wala mimi"

Yohana 16:1-3

Hapa Yesu anatabiri kuwa wanafunzi wake watakuja kuuliwa, anatabiri wakristo na wafuasi wa kanisa lake watakuja kuuliwa, na akasisitiza huyo atajaye wauwa wanafunzi wake hamjui yeye wala Baba(Mungu)

Nani huyo aliyeua wanafunzi wa Yesu? Jawabu ni Sauli ambaye ni Paulo.

"Lakini Sauli, akizidi kutisha na kuwaza kuwaua wanafunzi wa Bwana, akamwendea Kuhani Mkuu, akataka ampe barua za kuenda Dameski zilizoandikwa kwa masinagogi, ili akiona watu wa Njia hii, waume kwa wake, awafunge na kuwaleta Yerusalemu."

Matendo 9:1-3

Kwa hivyo Mtu aliyetajwa na Yesu katika injili ya Yohana 16:1-3 kuwa atawaua wanafunzi wa Yesu si mwingine Paulo, na katika kitabu cha matendo tunaoneshwa ukatili wa Paulo kwa wanafunzi wa Yesu. Hata hivyo, Bwana Yesu anaendelea na utabiri wake juu ya Paulo katika aya hii.

"Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo"

Yohana 8:44

Katika aya hiyo Bwana Yesu anasema huyo Paulo si kwamba ni muuaji tu, lakini pia mtu muongo sana. Na uongo mkubwa alio ufanya Paulo ni pale aliposema kakutana na Yesu na kisha akajifanya kipofu.

"Hata alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni. Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi? Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe. Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda"

Matendo 9:3-7

Baaada ya Paulo kuwaua sana wanafunzi wa Yesu na kuwatesa sana ili waache mafunzo ya Yesu, lakini wanafunzi wa Yesu waligoma na walikataa katakata kuachana na mafunzo Yasu. Pia naomba mjue, mafunzo ya Yesu yalikuwa mwiba kwa serikali(Dola ya Rumi) na Paulo alikuwa anatumiwa na serikali katika kuhakikisha wanafunzi wa Yesu wanaachana na ukristo/uyaudi.

Pamoja na juhudi hizo za Paulo lakini alishindwa, hivyo njia aliyo amua kuitumia si nyingine bali ni kujiunga na wanafunzi wa kristo. Na ili aaminike ndipo hapo alipotengeneza stori ya kumuona Yesu na maagizo ya upofu, lakini kubwa zaidi alimnunua Anania ili msaidie kufanikisha lengo lake. Kwa kumtumia Anania na kwa kudanganya kwake kuwa kamuona Yesu, wanafunzi wa Yesu walimkubali.

Na hapo ndipo Paulo alipoanza kuyachakua mafunzo ya Yesu, na ndio maana ukristo wa sasa si ule alio ufundisha Yesu.

YESU NA MFARISAYO.

"Ewe FARISAYO KIPOFU, safisha kwanza ndani ya kikombe, ili nje yake nayo ipate kuwa safi. Ole wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, nayo kwa nje yaonekana kuwa mazuri, bali ndani yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote."

Mathayo 26:23

Paulo msomi mkubwa alikuwa Farisayo, lakini Yesu alisema nini juu mafarisayo? Kama tulivyo ona, Yesu anawaona mafarisayo kama vipofu, lakini kubwa katika andiko hili Yesu anamtabiri pia Paulo na maigizo yake ya upofu.

"Paulo alipotambua ya kuwa sehemu moja ni Masadukayo, na sehemu ya pili ni Mafarisayo, akapaza sauti yake katika ile baraza, Ndugu zangu, mimi ni Farisayo mwana wa Farisayo; mimi ninahukumiwa kwa ajili ya tumaini la ufufuo wa wafu"

Matendo 23:6

Kwanza Paulo amekiri kwa kinywa chake kuwa yeye ni farisayo. Lakini hiyo haitoshi Paulo alijitia upofu aso kuwa nao.

"Sauli akainuka katika nchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu; wakamshika mkono wakamleta mpaka Dameski. Akawa siku tatu haoni; hali, wala hanywi."

Matendo 9:8-9

Katika aya hizi tunaona kuwa Paulo amekiri kuwa Farisayo lakini pia tunaona Paul yuko katika maigizo ya upofu. Yote haya mawili yanakamilisha unabii wa Yesu pale aliposema

"Ewe farisayo kipofu.."

Mathayo 26:23

Katika aya hizo inatajwa sifa kuu au tabia kubwa ya Mafarisayo, na ambayo imethibiti(ilitimia) kwa Paulo. Sifa hiyo si nyingine bali UNAFIKI.

Paulo alikuwa mnafiki, yaani alijifanya muumini wa mafundisho Yesu ili mradi apate kuwapotosha wanafunzi wa Yesu, na hili kwakweli kafanikiwa sababu hakuna hata kanisa moja ambalo linafuata mafunzo ya asili ya Yesu. Kila kanisa lina kituko chake.

MWISHO.

Kwa kifupi huku nikizingatia maelezo yangu yote ya huko juu, kuwa YESU SI MUNGU, lakini hakumaanishi kuwa hakuna wanao muita au wanao amini Yesu Mungu. La kuzingatia kama tukiambiwa kauli ipi ya kushika kati ya YESU mwenyewe na ya Paulo kwa vyovyote vile tunatakiwa kushika kauli ya Yesu.

Kauli zote za Paulo ambazo hazipingani na za Yesu, kauli hizo tutazifuata, lakini kauli yoyote ya Paulo inayo pingana na Yesu, kauli ya Paulo itapuuzwa na kuanguka, alafu watu wote wanatakiwa wafuate kauli ya Yesu.

Hakuna kauli ya Yesu anayo alijiita Mungu, lakini zipo nyingi akijiita Mtu au mwana wa adamu. Na siku zote alijitafautisha na Mungu. Yesu anakata mzizi wa fitina katika andiko hili.

"Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma"
Yohana 17:3

Nasema YESU SI MUNGU, na Paulo ana kesi ya kujibu kwa kudanganya ulimwengu, na kwa kuharibu mafundisho ya Yesu na kubwa zaidi kwa kuwatesa na kuwaua wanafunzi wa Yesu na wafuasi wake.

Katika kuendeleza urongo wa Paulo, watu wameambukizwa urongo, sasa wanatusambazia picha na sanamu za wacheza sinema na kisha wanataka tuziheshimu kama Yesu, kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

TUJADILI!

Dotto Rangimoto Chamchua(Njano5)
Call/whatspp 0622845394 Morogoro.
Ndg Doto wewe na Paulo hamna tofauti maana alikuwa mwanafunzi wa torati ya Musa hiivyo aliijua kweli lakini akawauwa wanafunzi wa Bwn Yesu!!

Kwa vile unachunguza maandiko shetani eshikilia ufahamu wako.
utakuwa mtumishi wa Bwn Yesu! Soma Yohn 1:1-10.
 
Halaf kitu kimoja, unajifanya uislamu unauelewa ndani nje Hali Ya kuwa unakosea sana kwenye kutaja majina Ya hivyo vitabu,utachekwa

Umenikumbusha zama zile za washihiri wale guo guo guo...alipiga hodi hodi hodi mama mkundu mnene yuko yana nampa kufira mtoto ndogo...kidogo apigwe bakora hadi alipoingilia muelewa mmoja kwamba huyu hajatukana ilaha ameuliza mama mwekundu mnene yupo? Jana alimpa kofia ya mtoto mdogo...unaona athari ya kukosoa ulimi wa mama? mimi sio maarab ili niwe sahihi kama maarab!; maadam ujumbe umefika na umeelewa nia yangu inatosha...weka tu kwa faida ya wote wenye uchu na vutu watasilimu...
 
Umenikumbusha zama zile za washihiri wale guo guo guo...alipiga hodi hodi hodi mama Makalio mnene yuko yana nampa ku**** mtoto ndogo...kidogo apigwe bakora hadi alipoingilia muelewa mmoja kwamba huyu hajatukana ilaha ameuliza mama mwekundu mnene yupo? Jana alimpa kofia ya mtoto mdogo...unaona athari ya kukosoa ulimi wa mama? mimi sio maarab ili niwe sahihi kama maarab!; maadam ujumbe umefika na umeelewa nia yangu inatosha...weka tu kwa faida ya wote wenye uchu na vutu watasilimu...
Ndo kama hujui usiseme, unakosea tu kosea tu, hatukuelewi, hicho kiswahili chenyewe hujui
 
Ndo kama hujui usiseme, unakosea tu kosea tu, hatukuelewi, hicho kiswahili chenyewe hujui
Hamia jukwaa la lugha basi utawakuta wajuzi!; hapa ni jukwaa la deen/Imani si lazima ujue lugha ili ufahamu zinaa, uongo, uuaji, wizi ni dhambi...mkiambiwa mazwazwa mnarsha mimate...hhhhhhh...
 
Hamia jukwaa la lugha basi utawakuta wajuzi!; hapa ni jukwaa la deen/Imani si lazima ujue lugha ili ufahamu zinaa, uongo, uuaji, wizi ni dhambi...mkiambiwa mazwazwa mnarsha mimate...hhhhhhh...
Ushakuwa unaongea pumba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Labda huyu mgeni anatumiaga kilevi,maana hata haeleweki anachoongea
 
Ingekuwa yesu Mungu wakristo wote msingekufa, kwani mnaogopa kufa
NANI ANAKUDANGANYA KUWA WAKRISTO TUNAOGOPA KUFA?
1476196119996.jpg
1476196126507.jpg
1476196131022.jpg
1476196136548.jpg
1476196146777.jpg
1476196174617.jpg
1476196187097.jpg
1476196195127.jpg
UKIMUAMINI YESU HUNA HOFU NA KIFO!!.
 
Injili iliotajwa hapo, sio hio mnayoitumia, na Injili hio imebashiri ujaji wa Mtume Muhammad S. A. W. Sasa hizo Injili zilizo na historia Ya Yesu ni kutoka kwa Mungu au ni historia zilizoandikwa na watu kwa sabab haiwezekani kitabu ashushiwe yesu then aelezewe historia yake kama wahyi
Sawa Muislam ubwabwa!!..
 
UKWELI UMEUONA UMEPATA KICHAA, POLE SANA ,

TUNAKUSAIDIA UPATE KUWACHA KUMWABUDU KIUMBE KAMA WEWE ALIYEZALIWA NA MWANAMKE NA KUCHEZA NA WATOTO WENZAKE CHEKECHEA , PAULO AKAMFANYA NI MUNGU KUWARIDHISHA WAPAGANI WALIOKUWA WAKIABUDU MUNGU MTU ZEUS

NINAUNGANA NA MTOA MAADA. NADHANI UNDONDOCHA WAKO NI PALE USIPONIELEWA NILICHOKIELEZA.

NARUDIA TENA. YESU HAKUWA MUNGU ALIKUWA MTU KAMA MIMI NA WEWE. AMBAE ALIKUFA KWA KUNYONGWA KWENYE MTI.

KAMA VILE MUHUNI, MALAYA, MUUWAJI MOHAMAD IBN ABDULLAT AMBAE KAJIPA UTUME NA MSUKULE KAMA WEWE UKAMUAMINI MALAYA KUWA MTUME WAKO. AMBAE NAE ANAKIRI KUWA SIKU YA MWISHO ATAHUKUMIWA NA HUYO YESU.

USICHONIELEWA HAPO NI NINI? KIFUPI HAKUNA NINAE MUABUDU KATI YA MALAYA, MUUWAJI NA ASIE MUNGU.
 
Hivyo vitabu vyote viligeuzwa na wanaadamu ndo maana akatumwa nabii mwengine ili kurekebisha kitabu cha nabii aliopita, na Injili iliharibiwa ndo maana akatumwa Muhammad kuja kuirekebisha kwa kutumia Qur-an.
Ok sawa!!.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom