Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Usimtukane Muhammad hajakufanya kitu, utaumia
 
Du! Uhuru wa mawazo na imani, haki kwwli "imefika kwa wahusika
 
Nitaumia? UKWELI UTAKUWEKA HURU. SOMA HISTORIA YA HAWA WAHUNI. HAWASTAHILI HATA KUFIKIRIWA KWA UHUNI WALIOUFANYA KTK ULIMWENGU HUU.
Sasa wenzako wakiwa wahuni, nyinyi wengine mtakuwa mabaradhuli, sasa uhuni na ubaradhuli ni ipi strong behaviour kwa mwanamme
 
Lakini kumbukeni hakuna haki bila wajibu. Wajibu kidini ni kuishi kwa imani yako kikamilifu bila kukashifu imani ya mtu mwingine, kwa kuwa wote Muumba wetu ni mmoja - Mungu na aachwe aitwe Mungu
 
Sasa wenzako wakiwa wahuni, nyinyi wengine mtakuwa mabaradhuli, sasa uhuni na ubaradhuli ni ipi strong behaviour kwa mwanamme
WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA. WAHUNI, MALAYA, WAUAJI NA WABAKAJI WANAWEZAJE KUWA MITUME?

NI MAZUZU NA MAZOMBIES NDIO WANAOWEZA FWATILIA UTUMBO HUO.

FUNGUENI MACHO MIAFRIKA. HUU SIO WAKATI WAKUBURUZWA. MUHOJI MAMLAKA ZILIZOBUNI UJINGA HUU WA DINI.
 
Hujajibu kabisa, hamna uhusiano kati Ya swali na jawabu
 
Nitaumia? UKWELI UTAKUWEKA HURU. SOMA HISTORIA YA HAWA WAHUNI. HAWASTAHILI HATA KUFIKIRIWA KWA UHUNI WALIOUFANYA KTK ULIMWENGU HUU.
Mnepha hata kama huamini yeyote unaoandika hapa ni upumbavu na ubaradhuli,please usicheze na imani za watu,we ni MTU tu,na walikuwepo wengi tu kama wew wamepita!!!..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…