Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Sasa kama ana uwezo wa kila kitu kwa nini atumie nguvu kujibadilisha binadamu ili watu wamwelewe kwa nini asitumie seconds tu kuwafanya binadamu wabadilike?
 
Sasa kama ana uwezo wa kila kitu kwa nini atumie nguvu kujibadilisha binadamu ili watu wamwelewe kwa nini asitumie seconds tu kuwafanya binadamu wabadilike?
Una uwezo mkubwa kwa mtoto wako uliemzaa kumkuza ktk malezi mema kwa kutumia mind yako na inawezekana,lakini pia unatumia kiboko wakati mwingine kwa nini..
 
Jamani tuwe tnajitahid kusoma vitabu vitakatifu na tuvielewe co kukurupka t ili mradi nawe uandike Uzi, wewe uliyeandk huu Uzi tafuta kwanza maana ya hii " MUNGU NI UTATU MTAKATIFU" ukishaelewa nini mana yake nadhani utapata jibu lako
 
Ili kumfahamu Yesu, kwanza unatakiwa kuwa na Roho Mtakatifu.

Yesu ni:

1. Son of God
2. Spirit of God
3. Word of God
4. He is the God

"Na nilikuweko tokea msingi ya hii dunia ikifanyika, na hakuna kitu chochote kilichofanyika Pasipo mimi"
 
Shida ya wale wa upande wa pili wanataka kumu equate Yesu Kristo na "mtume wao".

Yesu ni level zingine kabisa. Hata huyo "mtume wenu" atampigia magoti Yesu Kristo. Kwa maaana "kwake yeye Yesu, kila goti litapigwa"
 
Shida ya wale wa upande wa pili wanataka kumu equate Yesu Kristo na "mtume wao".

Yesu ni level zingine kabisa. Hata huyo "mtume wenu" atampigia magoti Yesu Kristo. Kwa maaana "kwake yeye Yesu, kila goti litapigwa"
HAYA NDO MANENO AMBAYO HATA KWENYE KANGA YAPO
 
Paulo anaweza kua sawa tu,kwa MUNGU yote yawezekana kama alivyoweza kumtengeneza popo.wengine wanamuita ndege na wengine humwita mnyama.yamkini YESU alikua BINADAMU na MUNGU pia
Lakini maandiko yanakataa uungu wa yesu, hilo ndilo tatizo
 
Bible siyo kama kitabu cha hadithi ambacho kila mtu anasimulia na kufasiri, kila mtu ashike imani yake maana hukumu ya siku za mwisho haitakuwa kwa makundi. Mimi msimamo wangu ni huu,

YESU KRISTO NI MUNGU
BORA YAKO WEWE UNAEJITAMBUA, SAFI SANA MKUU.
 
KAMA YESU MUNGU BASI
HATA MIMI MUNGU PIA

Yesu ni mtume wa mungu aliyetumwa kwa wana wa israel kamwe hakudai kuwa yeye ni mungu.
Hivi enyi wagaratia mnaodai yesu ni mungu ni nani aliye warogaaa????
 
Neno ni Yesu,


Yohana 1:1-5
Biblia inatafsiriwa kama gazeti? Halafu unasoma biblia bila kuishirikisha akili yako kutafakari. Kumeandikwa kwamba "hapo mwanzo kulikuwako na neno na neno alikuwako kwa Mungu. Neno lililokuwa likikusudiwa ni umbwaji wa Yesu kwamba kaumbwa kwa neno na sio kwa kuingiliana kati ya mwanamke na mwanaume. Halafu unasema hata kwenye Quran eti kumesema yesu ni neno ndio Mungu. Jitahidi kuchanganua mambo usikariri au kushikilia dhana.

Neno hili hapa:

Quran 3:59

“Bila shaka hali ya Isa kwa Mwenyezi Mungu ni kama hali ya Adam; Alimuumba kwa udongo kisha Akamwambia: “Kuwa”; basi akawa.”
Neno ni Yesu,


Yohana 1:1-5
 
Bible is so deep like an ocean if you dive deep in coast of DAR is not the same as SIDNEY what I mean is you can not interpret the bible by just one verse. The Bible is self dictionary and encyclopedia . you have read very little about the bible that Denys you to make position stand , I myself have many verses in the Bible that proves JESUS is ALMIGHTY GOD indeed .

The Bible is spiritual so it can be compared with spiritual only so that you understand it, and that is the Bible itself.
 
Na pia kuna verse nyingi sana zinazopinga kuwa Yesu sio Mungu. Na tena anayepinga ni kauli za yesu mwenyewe. Kwahiyo biblia inajichanganya au? Embu mkuu toa ufafanuzi wa haya maandiko mawili kwanza tuone je yesu muongo nini?

Marko 12:28-29

Na mmojawapo wa waandishi akafika, akawasikia wakisemezana naye, akatambua ya kuwa amewajibu vema, akamwuliza, Katika amri zote ni ipi iliyo ya kwanza?
29 Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja;

Yohana 20:17

Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
 
Hivi tunaposema Mungu ni muweza wa kila kitu, ni kasoro vitu gani?

Viainishe hapa tupate pa kuanzia, maana naona kuna watu mnajichanganya.
 
Sasa kama ana uwezo wa kila kitu kwa nini atumie nguvu kujibadilisha binadamu ili watu wamwelewe kwa nini asitumie seconds tu kuwafanya binadamu wabadilike?
Ni kwasababu amekuumba na utashi wa kuchagua hana haja ya kukulazimisha.
 
sababu za kuthibitisha kuwa Yesu ni Mungu.
1. Yesu ni muumbaji. Yoh.1;3,14
2.Yesu alikuwepo kabla ya vitu vyote kuwapo duniani.wakolosai 1;17,waebrania 17;5,24.
1petro 1;20 -naye amejulikana kweli tangu zamani.

3.Yesu ni mtawala juu ya yote.hii ni sifa inayothibitisha kuwa yeye ni Mungu maana alie juu ya vyote ni Mungu peke yake. Yohana 3;30
Awamiliki waliokufa na walio hai. warumi 14;9
4.sifa ya kusujudiwa.marko 5;2,6 hata pepo wachafu walimsujudia Yesu.luka 24;52
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…