Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
Sasa kama baba ambaye ndio Mungu ana mamlaka kuliko yesu kwanini ulisema yesu alijibadilisha na kutoka kwenye Mungu na kuwa binadamu ilihali bado alipokuwa duniani alikuwa tegemezi? Tumiaga na akili kufikiria. Sawa?

Umeelewa vizuri majibu yangu au unashuka tu.

Tumia muda vizuri kunielewa utapaliwa.unafikiri maana ya kuvaa mwili ingekuwa na maana kwa anawafundisha kama asingeonyesha utegemezi? ndio maana kumbe mnahoji wakati Yesu yuko huku mbinguni alikuwepo nani?, hizi akili za madraza hizi??
 
Hata wewe ni ndugu yako pia.
 
Mimi kama sikuelewa kuhusu Mungu wake yesu ndio Mungu wetu sote basi wewe nieleweshe. Haya sema kuhusu yohana 20:17
Uelewe kwamba kwa wakati ule alikuwa tayari kuurudia utukufu wake,ongezea na hapa 22-23 uelewe.

Mamlaka ya kuondoa dhambi ni ya nani???
 
Sasa wewe mbona unataka kubadilika kutoka kwenye majibu uliotoa mwanzoni. Haya tufanye majibu yale ya mwanzo ulikosea haya twende unavyotaka wewe saivi.

Umesema kuwa yesu alivyokuwa duniani alivaa mwili wa ubinadamu. Je yesu alivyovaa mwili je baba aliyekuwa mbinguni ndio huyo huyo yesu? Au baba ni baba na yesu ni yesu (mwana?)
 
so unakubali kuwa yesu na shetani ni mtu na nduguye au ndo yuleyule mmoja kwa mjibu wa maandiko?,
Si nduguye wa si yule yule ila ni ndugu yako wewe.

Kwasababu wote wewe na shetani mmeumbwa na Yesu.
 
Nabadilika nini, wewe tatizo lako unalewa badala ya kuelewa.

Nikikwambia yesu ni reflect ya Mungu unanielewa?????
 
Uelewe kwamba kwa wakati ule alikuwa tayari kuurudia utukufu wake,ongezea na hapa 22-23 uelewe.

Mamlaka ya kuondoa dhambi ni ya nani???
Kwahiyo kulikuwa na yesu wawili. Mwingine alikuwa mbinguni kama mungu na mwingine alikuwa duniani kama binadamu. Maana yesu alivyokuwa duniani bado alikuwa tegemezi kwa mwingine mfano kwenye

Mathayo 27:45-47

Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa, nchi yote ikawa katika giza. 46 Mnamo saa tisa Yesu akalia kwa sauti kubwa, "Eli, Eli, lema sabakthani?" Maana yake, "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?"
 

Sasa tumeanza kwenda pamoja.

Kwani wewe kwa akili yako anayefufua mtu,kuhamisha jiwe, kutembea juu ya maji na kuponya viwete.anaweza kukubali kupigwa na watu pasipo lengo maalumu? Au unawaza kwa kutumia kitu gani?
 
Nabadilika nini, wewe tatizo lako unalewa badala ya kuelewa.

Nikikwambia yesu ni reflect ya Mungu unanielewa?????
Ukumbuki maswali niliyokuuliza nyuma mpaka kufikia kwamba baba ndio mwenye mamlaka kuliko yesu. Umesahau!
 
Yesu Kristo anajulikana katika Quran kama Neno la Mungu.roho ya Mungu kuna maana gani hapo.Mungu aliumba kila kitu kutumia neno.je neno ni nani
Yesu si neno la mungu Bali Adam ndie neno la mungu.vile vile yesu alizaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu(malaika Gabriel/jibril) aliyepewa na Ar-Rahmanir Rahim.hata hivyo yesu hakuweza kuongea na Ar-rahman kama moses(nabii musa)alivyoongea nae kwa sauti kwa sauti.
 
Sasa tumeanza kwenda pamoja.

Kwani wewe kwa akili yako anayefufua mtu,kuhamisha jiwe, kutembea juu ya maji na kuponya viwete.anaweza kukubali kupigwa na watu pasipo lengo maalumu????? Au unawaza kwa kutumia kitu gani???
Kwahiyo uungu wa yesu ni kutokana na kufanya miujiza? Je hawa nao ni Miungu?

Elisha aliwalisha watu 100 — (2 Wafalme 4:44)
Yesu aliwaponya wakoma. Elisha alimtibu mkoma Naaman (2 Wafalme 5:14).
Yesu alimfanya kipofu aone. Elisha alimfanya kipofu aone (2 Wafalme 6:17 na 20).

Yesu alifufua wafu. Elijah alifanya hayo hayo (1 Wafalme 17:22) Pia na Elisha ameyafanya (2 Wafalme 4:34). Vilevile hata mifupa ya Elisha inawafufua wafu (2 Wafalme 13:21).
Musa na watu wake walivuka bahari maiti (Kutoka 14:22).
 
Nabadilika nini, wewe tatizo lako unalewa badala ya kuelewa.

Nikikwambia yesu ni reflect ya Mungu unanielewa?????
seriously?..!!
Haya hebu twambie,wakati yesu anabatizwa na binamu yake yohana,ilisikika sauti toka angani ikisema,"huyu ndo mwanangu anaenipendeza"
inasemekana ilikuwa sauti ya mungu au ilikuwa sauti ya reflection ya yesu?,

au labda ilikuwa sauti ya yesu iko recorded?
 

Uungu wa yesu si miuzija, hii ilikuwa ni ili uelewe kwamba kama asingetaka kupigwa asingepigwa.

Kupigwa kulikuwa na maana kubwa sana kuliko kuendelea kuishi kitukufu kwake yeye Yesu.
 
Ilikuwa sauti ya Yesu menyewe mbinguni unashangaa?
 
Uungu wa yesu si miuzija, hii ilikuwa ni ili uelewe kwamba kama asingetaka kupigwa asingepigwa.

Kupigwa kulikuwa na maana kubwa sana kuliko kuendelea kuishi kitukufu kwake yeye Yesu.
Je hapa alimuomba nani amnusuru na mauti kama yeye ndiye mwenye uwezo?

Mathayo 26:38-39

Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja nami.
39 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…