Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
ha ha ha,mkuu umeanza kutumia hoja ya nguvu,je unakubali kuwa hawa ni wawili na si mmoja?Hakuna mkuu wote ni wakuu jombaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha,mkuu umeanza kutumia hoja ya nguvu,je unakubali kuwa hawa ni wawili na si mmoja?Hakuna mkuu wote ni wakuu jombaaa
Sasa kama baba ambaye ndio Mungu ana mamlaka kuliko yesu kwanini ulisema yesu alijibadilisha na kutoka kwenye Mungu na kuwa binadamu ilihali bado alipokuwa duniani alikuwa tegemezi? Tumiaga na akili kufikiria. Sawa?
Hata wewe ni ndugu yako pia.kwahiyo shetani na yesu ni mtu na kakake?.
Au labda yesu ndo babake na shetani?,
au yesu na shetani ni wamoja?,maana katika ufunuo tunasoma yesu akijiita nyota ya asubuhi ambayo maana yake ni Lucifer na kwa tafsiri lucifer ni shetani,
halafu katika isaya tunasoma kuwa nyota ya asubuhi ,yaani lucifer alitupwa duniani baada ya kutaka kujifananisha na mungu,
akatua duniani kama nyoka na kuwadanganya kina adamu,halafu baadae tunaona huyohuyo nyoka akiwambwa mtini na moses ili kika mwisrael akimtizama apone na asife,
wakati huohuo yesu anapigwa na wayahudi kwa kutaka kujifananisha na mungu naye pia anatundikwa mtini na wanasema ili uokoke lazima umtizame kwamaana ya umkubali yesu ndo utaokoka,
hii mfanano kati ya yesu na Lucifer,na yesu mwenyewe akijiita Lucifer tunapata conclusion kuwa huyu ni kitu kimoja,au?
Uelewe kwamba kwa wakati ule alikuwa tayari kuurudia utukufu wake,ongezea na hapa 22-23 uelewe.Mimi kama sikuelewa kuhusu Mungu wake yesu ndio Mungu wetu sote basi wewe nieleweshe. Haya sema kuhusu yohana 20:17
so unakubali kuwa yesu na shetani ni mtu na nduguye au ndo yuleyule mmoja kwa mjibu wa maandiko?,Hata wewe ni ndugu yako pia.
Sasa wewe mbona unataka kubadilika kutoka kwenye majibu uliotoa mwanzoni. Haya tufanye majibu yale ya mwanzo ulikosea haya twende unavyotaka wewe saivi.Umeelewa vizuri majibu yangu au unashuka tu.
Tumia muda vizuri kunielewa utapaliwa.unafikiri maana ya kuvaa mwili ingekuwa na maana kwa anawafundisha kama asingeonyesha utegemezi???? ndio maana kumbe mnahoji wakati Yesu yuko huku mbinguni alikuwepo nani?, hizi akili za madraza hizi??
Si nduguye wa si yule yule ila ni ndugu yako wewe.so unakubali kuwa yesu na shetani ni mtu na nduguye au ndo yuleyule mmoja kwa mjibu wa maandiko?,
Nabadilika nini, wewe tatizo lako unalewa badala ya kuelewa.Sasa wewe mbona unataka kubadilika kutoka kwenye majibu uliotoa mwanzoni. Haya tufanye majibu yale ya mwanzo ulikosea haya twende unavyotaka wewe saivi. Umesema kuwa yesu alivyokuwa duniani alivaa mwili wa ubinadamu. Je yesu alivyovaa mwili je baba aliyekuwa mbinguni ndio huyo huyo yesu? Au baba ni baba na yesu ni yesu (mwana?)
Kwahiyo kulikuwa na yesu wawili. Mwingine alikuwa mbinguni kama mungu na mwingine alikuwa duniani kama binadamu. Maana yesu alivyokuwa duniani bado alikuwa tegemezi kwa mwingine mfano kwenyeUelewe kwamba kwa wakati ule alikuwa tayari kuurudia utukufu wake,ongezea na hapa 22-23 uelewe.
Mamlaka ya kuondoa dhambi ni ya nani???
Kwahiyo kulikuwa na yesu wawili. Mwingine alikuwa mbinguni kama mungu na mwingine alikuwa duniani kama binadamu. Maana yesu alivyokuwa duniani bado alikuwa tegemezi kwa mwingine mfano kwenye
Mathayo 27:45-47
Tangu saa sita mchana mpaka saa tisa, nchi yote ikawa katika giza. 46 Mnamo saa tisa Yesu akalia kwa sauti kubwa, "Eli, Eli, lema sabakthani?" Maana yake, "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?"
Ukumbuki maswali niliyokuuliza nyuma mpaka kufikia kwamba baba ndio mwenye mamlaka kuliko yesu. Umesahau!Nabadilika nini, wewe tatizo lako unalewa badala ya kuelewa.
Nikikwambia yesu ni reflect ya Mungu unanielewa?????
Yesu si neno la mungu Bali Adam ndie neno la mungu.vile vile yesu alizaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu(malaika Gabriel/jibril) aliyepewa na Ar-Rahmanir Rahim.hata hivyo yesu hakuweza kuongea na Ar-rahman kama moses(nabii musa)alivyoongea nae kwa sauti kwa sauti.Yesu Kristo anajulikana katika Quran kama Neno la Mungu.roho ya Mungu kuna maana gani hapo.Mungu aliumba kila kitu kutumia neno.je neno ni nani
VP mungu ulishawahi muona?1,MUNGU HAKUZAA WALA HAKUZALIWA
""""""""" Yesu kazaliwa na maria...
Yesu na Abraham nani mkubwa?nani kamzaa mwenzie?Soma na hiiView attachment 407376
Kwahiyo uungu wa yesu ni kutokana na kufanya miujiza? Je hawa nao ni Miungu?Sasa tumeanza kwenda pamoja.
Kwani wewe kwa akili yako anayefufua mtu,kuhamisha jiwe, kutembea juu ya maji na kuponya viwete.anaweza kukubali kupigwa na watu pasipo lengo maalumu????? Au unawaza kwa kutumia kitu gani???
seriously?..!!Nabadilika nini, wewe tatizo lako unalewa badala ya kuelewa.
Nikikwambia yesu ni reflect ya Mungu unanielewa?????
Kwahiyo uungu wa yesu kufanya miujiza? Je hawa nao ni Miungu?
Elisha aliwalisha watu 100 — (2 Wafalme 4:44)
Yesu aliwaponya wakoma. Elisha alimtibu mkoma Naaman (2 Wafalme 5:14).
Yesu alimfanya kipofu aone. Elisha alimfanya kipofu aone (2 Wafalme 6:17 na 20).
Yesu alifufua wafu. Elijah alifanya hayo hayo (1 Wafalme 17:22) Pia na Elisha ameyafanya (2 Wafalme 4:34). Vilevile hata mifupa ya Elisha inawafufua wafu (2 Wafalme 13:21).
Musa na watu wake walivuka bahari maiti (Kutoka 14:22).
Ilikuwa sauti ya Yesu menyewe mbinguni unashangaa?seriously?..!!
Haya hebu twambie,wakati yesu anabatizwa na binamu yake yohana,ilisikika sauti toka angani ikisema,"huyu ndo mwanangu anaenipendeza"
inasemekana ilikuwa sauti ya mungu au ilikuwa sauti ya reflection ya yesu?,
au labda ilikuwa sauti ya yesu iko recorded?
Je hapa alimuomba nani amnusuru na mauti kama yeye ndiye mwenye uwezo?Uungu wa yesu si miuzija, hii ilikuwa ni ili uelewe kwamba kama asingetaka kupigwa asingepigwa.
Kupigwa kulikuwa na maana kubwa sana kuliko kuendelea kuishi kitukufu kwake yeye Yesu.