Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Yesu si Mungu, Paulo ana kesi ya kujibu

Status
Not open for further replies.
NIAMBIE WW KAMA YESU AWEZA KUWA BINAADAMU NA MUNGU PIA;JE MUNGU AKIFA NANI ATAIENDESHA DUNIA.........? MAANA TUNAAMINI KTK IMANI YA UISLAMU , MUNGU NI UWEZO UNAOWEZA USIWEZWA........!, HAKUZAA, WALA HAKUZALIWA, HALI WALA HANYWI, YESU ALIKUWA AKILA AKILALA USINGIZI NA MENGINEYO KAMA BINAADAMU, kimaumbile ukila ukinywa lazima utaenda choo, je unaamini kweli mungu anaenda chooni.......?
Islam na Christian wapi na wapi,lazima uone vitu tofauti,ukisema naamini MUNGU anaenda chooni kweni wewe una ushahidi kua haendi chooni?unasema akifa nani ataiendesha dunia wakati kuna imani inajua kua YESU alikufa na kufufuka.
 
Islam na Christian wapi na wapi,lazima uone vitu tofauti,ukisema naamini MUNGU anaenda chooni kweni wewe una ushahidi kua haendi chooni?unasema akifa nani ataiendesha dunia wakati kuna imani inajua kua YESU alikufa na kufufuka.
Ni akili za panzi kujaribu kufananisha hivi vitu.nashangaa.
 
Kuna shida gani MUNGU kujigeuza mtu ili watu wabishi wamuelewe?ilihali ana sifa ya mpaka kuijua kesho na ndo kaumba kila kitu hapa duniani,hua anaweza kutamka jambo liwe na linakua,leo kaona watu hawabadiliki kwa kumsikia tu bila kumuona akaamua aje kwa umbo la kibinadamu na ajifananishe na sisi kwa kua alituumba kwa mfano wake shida iko wapi?
Dah mkuu, natamani ungekuwa hapa nyumbani...ningekutwanga maswali ya haja...lakini hata kama usingenijibu, ningefurahi kuwa na wewe.
 
Embu fanya ulete hapa.
your wish is my command,eat this,
--mathew 27:46,"my God my God why hast thou forsaken me?".

--psalm22:1"my God my God why hast thou forsaken me?".


Luca23:46,"father into thy hands i commend my spirit".

Psalm31:5,"father into thy hand i commend my spirit"KJV.


DID THESE GOSPEL WRITER MAKEUP JESUS and put words into his mouth in a guise to fulfill prophecy?
 
Kwani mkuu kuna tatizo????

Huu mzigo ni mwepesi sana kwetu, kuliko ule wa mtu kuja kutoka pangoni na kutwambia amepewa kitabu na malaika[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] .

Hii mimi siikubari hata iweje.
Unamatatizo labda zigo lako linakusumbua
 
Nimepata elimu na nimejifunza kitu hapa japo tayari naamini yesu si mungu inangawa anafanya matendo makuu kupitia jina la mungu baba maana tayari anayo mamlaka ya kimungu BARIKIWA SANA
 
Na pia kuna verse nyingi sana zinazopinga kuwa Yesu sio Mungu. Na tena anayepinga ni kauli za yesu mwenyewe. Kwahiyo biblia inajichanganya au? Embu mkuu toa ufafanuzi wa haya maandiko mawili kwanza tuone je yesu muongo nini?

Marko 12:28-29

Na mmojawapo wa waandishi akafika, akawasikia wakisemezana naye, akatambua ya kuwa amewajibu vema, akamwuliza, Katika amri zote ni ipi iliyo ya kwanza?
29 Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja;

Yohana 20:17

Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
Katika Biblia hakuna hata verse moja inayopingana,zote zimehakishwa,ila katika QURAN HATA MIA NAFIKISHSHA,BISHA NIWEKE,Biblia inasema hiv
1474992499571.jpg
1474992504219.jpg
1474992515291.jpg
 
Natumuumbe mtu kwa mfano wetu hakukumaanisha kuwa Mungu ana umba mtu kwa jinsi alivyo yeye bali Mungu ana umba mtu kwa namna maalumu aitakayo yeye mwenyewe. ni lugha ya mafumbo

Mkuu kama kila mstari kwenye biblia tutautafsiri kama fumbo basi biblia yote itapoteza maana..!
 
IN SHORT HAWA JAMAA WANATAKA KUMLINGANISHA MTUME WAO NA "YESU"JAMAN HII NI NAMBA NYINGINGE KABISA HAILINGANISHWI NA CHOCHOTE,MTU ASIYEJUA HATA KUSOM ALINGANE NA ANAYEVUKA BAHARI KAMA YUPO KWENYE LAMI?
 
Swali ninalojiuliza japo nami ni Christian, Je yesu alizaliwa na Mama Maria, Hapo hapo tunaambiwa Yesu ni Mungu. Je inakuwaje Mungu amezaliwa tena, kwa hiyo mama Maria aliumbwa na nani kabla hajamzaa Yesu? Inamaana kulikuwa na Mungu mwingine aliyemuumba Mama Maria na ulimwengu halafu baadae Yesu alipozaliwa ndio akaitwa Mungu tena?!!!!
Usizingue watu wew,si mkristo n al-shabab,ungekuw mkristo hayo majb ungeyajua tang uko Sunday school!!..
 
Huwa nataka kujua andiko ambalo huwa inasemekana Paulo wanzake walimfanya vibaya gerezani
 
your wish is my command,eat this,
--mathew 27:46,"my God my God why hast thou forsaken me?".

--psalm22:1"my God my God why hast thou forsaken me?".


Luca23:46,"father into thy hands i commend my spirit".

Psalm31:5,"father into thy hand i commend my spirit"KJV.


DID THESE GOSPEL WRITER MAKEUP JESUS and put words into his mouth in a guise to fulfill prophecy?

Mathew 27:46 ametamka maneno hayo.

48 alipaza sauti kuzingumzia maneno gani kabla ya kukata roho?, je hayakuwa haya hayo kwa luca?
 
Dotto Rangimoto, Watu wa Tito ndio watu gani? Unainyosha jinsi ulivyo mtupu kuhusu Biblia.

Vv
 
Yesu si neno la mungu Bali Adam ndie neno la mungu.vile vile yesu alizaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu(malaika Gabriel/jibril) aliyepewa na Ar-Rahmanir Rahim.hata hivyo yesu hakuweza kuongea na Ar-rahman kama moses(nabii musa)alivyoongea nae kwa sauti kwa sauti.
1474993412418.jpg
Muislam hata Quran hujui utaiwez Biblia?
 
Haya achana na Paulo,

Unasemaje kuhusu Yohana ,yule Mwanafunzi alie mpenda Yesu na Yesu akampenda sana?

Yohana anaandika hiv

Yohana 1:1

Hapo mwanzo palikuwa na Neno,nae neno alikuwa kwa Mungu,naye neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

Najua unajua Neno ni nani, na unajua Yohana anamrefer nan hapa .

Yesu ni Mungu, alikuwepo,yupo na atakuwepo

Pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.
 
Hoja ta Dotto inakosa mashiko pale anapomtuhumu Paulo na kuwaacha Mitume wale ambao Mleta hoja anaamini ndio halisi kwa kuwa walikuwa na Yesu.

Naweka confession ya Mt. Thomaso kama alivyonukuliwa na Mrume Yohana ambaye hajakanusha popote Uungu wa Yesu.

Yohana 20
26 Basi, baada ya siku nane, wanafunzi wake walikuwamo ndani tena, na Tomaso pamoja nao. Akaja Yesu, na milango imefungwa, akasimama katikati, akasema, Amani iwe kwenu.

Vv

27 Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.

28 Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!
 
Mathew 27:46 ametamka maneno hayo.

48 alipaza sauti kuzingumzia maneno gani kabla ya kukata roho????, je hayakuwa haya hayo kwa luca?????
kuna waandishi wanne,yohana,luka,matayo,marco,hebu tafuta kila mmoja kasema nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom