Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,585
- 1,546
Kama MUNGU.Tutampigia goti kama nani sasa? Kama Mungu au kama mwanaye Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama MUNGU.Tutampigia goti kama nani sasa? Kama Mungu au kama mwanaye Mungu?
Maandiko yako wazi tatizo ni uelewa wako na walimu wako wa imani nadhani ni vyema unajifunza zaidi kuhusu imani yako ujue ni kama allah ni Mungu kwanini anaapa kwa aliyeumba mbingu na ardhi.?Yesu Kristo anajulikana katika Quran kama Neno la Mungu.roho ya Mungu kuna maana gani hapo.Mungu aliumba kila kitu kutumia neno.je neno ni nani
Acha ushamba wa maandiko......hapo anaambiwa mtume wetu kuapa na siyo Mungu ndiye anayeapa wewe. Mmejitahidi sana kupotosha maandiko ili kuupakazia uislamu lakini mmekwama. Poleni sana bandugu....Maandiko yako wazi tatizo ni uelewa wako na walimu wako wa imani nadhani ni vyema unajifunza zaidi kuhusu imani yako ujue ni kama allah ni Mungu kwanini anaapa kwa aliyeumba mbingu na ardhi.?
Uongo mkubwa huo. Hiyo baqara 223 imekataza kuwaingilia wanawake nyuma iweje hiyohiyo iruhusu kuwangilia nyuma? Huo ni ujinga na upu.mbafu wa makaratasi yakuokota waliyotunga walokole. Pole sana!!!!soma hii ufunguke!; omary ibn khatab alimuuliza mtume sababu ya kushuka baqara 223!; akasema imeshuka kwa ajili ya kuwaingilia wanawake tupu zao za nyuma..
Addrul manthur j.uk 473
Fat'hul baary j.8 uk.38-39
Kasome ufunguke!; Allah amewafaridhia ndogo kwa nini mnatakaabar? kula tu..hhhhhhhhhh...
Pole sana. Huwa mnaishia kutukana na kusisitiza ipo siku tutajua Yesu sijui ndo kristo mara sijui ni Mungu mara ni Mwana.....eeeeh haieleweki tushike lipi. Toa maandiko na wewe acha kutukana ewe unayejifanya pasta.Akili yako imeishia hapo. Hazikutoshi, ipo siku utaju kuwa Yesu Kristu ni kweli na uzima. Mohamed mwenyewe kapinga sana ukirsto mwisho kafa yeye ukirsto upo utakuwa wewe?
Siyo kama Mwana kumbe?Kama MUNGU.
Matayo 28:19 ```Basi,enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu""""""
Mstari huu unakuonyesha mambo kadhaa Dotto,,,,
1.Yesu sio mtume(ktk Qur'an Yesu sio issa ila Yahsua ibn masihi) issa anaweza kuwa mtume ila YESU Hana hadhi ya chini kiasi hicho..YESU Anaongelea utatu mtakatifu hapo na hadhi yake ni MUNGU.
2.Yesu ni mwana wa MUNGU na kama ilivyo mwana wa binadamu ni binadamu basi pia kama ilivyo YESU ni mwana wa MUNGU basi yeye ni MUNGU.Yeye alizaliwa kabla ya kuumbwa kiumbe chochote ""Wakolosai 1:15-17"""pitia hapa kuna maneno ya kweli na kila unachotaka kuelewa kuhusu YESU.
3.Usiwe unamuongelea Paulo kulingana na viongozi wako wa dini wanaomdharau na kumchukia(nimesikia wengine wakijitoa ufahamu na kumwita Shoga)) Jiulize kwamba Yeye alie katika Ukristo amezuia nini katika dini Yenu ya Uislam,,,amehatarisha maslahi ya nani???
Kwa nini mnashindwa kuongea mambo mnayoyaona sahihi kwa kumhofia???
Je!! Wewe muislamu utaweza kumbainishia mkristo ubaya wa Paulo kulingana na uelewa wako mdogo na mtazamo wako finyu wa biblia??
Je!? Huwezi kumwongelea Yesu pekee pasi na kumchanganya na Paulo mtume wa mataifa??
Hawa mataifa umewaelewaje?? Ukiacha Paulo ambaye kazi alioifanya haina kifani alihubiri ugiriki,,Macedonia,Syria,Italy nk.Mtume wa YESU Yohana alieandika kitabu cha Ufunuo aliandika kitabu hiki akiwa amewekwa kizuizini katika nchi ya Uturuki.Maana yake na yeye alikuwa akiwahubiria mataifa.""Yohana3:16 Kwa maana jinsi hii, MUNGU aliupenda ulimwengu,hata akamtoa mwanae wa pekee ili KILA amwaminie asipotee bali awe na uzima wa milele.YESU KRISTO HAKUTUMWA KWA WATU WOTE
Yesu Kristo anasema; "Msidhani ya kuwa nilikuja kuitangua Torati au Manabii, la, sikuja kutangua, bali kuitimiliza. Kwa maana nawaambieni, mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka yodi moja na nukta moja ya Torati haitaondoka mpaka yote yatimie (Mathayo 5:18-18)"
Ni dhahiri kuwa Nabii Musa na manabii wengine waliotangulia walikuja kuwafundisha na kuwaongoza Waisraeli tu. Yesu Kristo amekwisha kubali katika maneno ya juu ya kuwa amekuja kulitimiza kusudi lile ile ya Musa na Manabii wengine waliotangulia.
Lakini tunaona mapadri wamekwisha fika katika kila sehemu ya dunia hata Afrika ijapokuwa Yesu Kristo mwenyewe hakuwa na nia na kusudi ya namna hii kabisa.
Sasa swali hasa linalotakiwa kufikiriwa, si Wakristo wanafanya nini, bali ni, "Je, Yesu Kristo alikuwa na nia na azimio gani?"
Mwenyezi Mungu alikuwa na kusudi gani alipomtuma Yesu Kristo?
Jambo hili haliwezekani kuelezwa kwa njia nzuri na yeyote isipokuwa lielezwe na Yesu Kristo mwenyewe.
Na Yesu amekwisha sema wazi "Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya lsraeli (Matt. 15:24).
Tena akasema, "Mwana wa Adamu alikuja kukiokoka kilichopotea (Matt. 18:11)."
Kwa hiyo mafundisho ya Yesu Kristo ni kwa ajili ya Waisraeli tu si kwa watu wengine kabisa.
Inasemekana kwanba Yesu Kristo aliwaagiza wanafunzi wake waende kwa watu wengine kabisa,
Inasemekana kwamba Yesu Kristo aliwaagiza wanafunzi wake waende kwa watu wengine pia.
"Basi endeni kawafanyeni mataifa yote kuwa wanafunzi mkiwabatiza kwa jina la baba na-roho mtakatifu. (Matt. 28:19)"
Lakini kushika dalili katika maneno haya kuwa Yesu Kristo aliwaamuru wafuasi wake kupeleka ujumbe wake kwa watu wengine wote wasio Waisraeli, pia si sawa.
Maana Yesu Kristo amesema wazi kabisa:
"Mimi nawaambieni, ya kwamba ninyi mlionifuata katika zamani za kuzaliwa upya atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake ninyi nanyi mtaketi katika viti thenashara. Mkiwahukumu kabila thenashara za Israeli (Matt. 28:19).
‘Tena, "Sikupelekwa ila kwa kondoo zilizopotea za nyumba ya Israeli (Matt. l5:24).
"Tena, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa (Matt. 15:26)
"Sio haya tu bali pia tunasoma,
"Hawa thenashara Yesu aliwatuma akawaagiza, akinena, katika njia ya mataifa msiende wala miji mwa Wasamaria msiingie; Afadhali shikeni njia kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli (Matt. 105-6)""
Kutoka kwa mafungu ya maneno haya ni kuwa wafuasi wake wameamrishwa naye kupeleka ujumbe wake kwa mataifa yote ya Israeli si mataifa yote ya ulimwenguni. Mtu asidhani ya kwamba mawazo ya maneno yajuuni kuwa waende kwanza miji ya Waisraeli na baadaye kwenye miji mingine. La, maana kwenda kwa kondoo waliopotea wa Israeli si maana yake kuvitazama vijiji tu, bali ni kuwaingiza katika dini ya Ukristo. Basi kwa hakika maana hasa ya maneno haya ni kuwa Waisraeli wote waingie katika Ukristo, Mkristo na padri ye yote asijielekeze kabisa kwenye mataifa mengine. Yesu Kristo amehakikisha wazi wazi ya kuwa kazi ya kuwahubiria dini Waisraeli na kuwaingiza katika njia yake haitamalizika mpaka kufika kwake mara ya pili, kama ilivyosema:
"Watakapowaudhi katika mji huu, kimbilieni mwingine kwa maana ni kweli nawaambieni, Hamtaimaliza mji yote ya Israeli hata ajapo mwana wa Adamu (Matt.10:23).
"Katika maneno haya inajulikana wazi ya kuwa yaliyosemwa katika Mathayo (28:19) makusudio yake ni kwamba wahubiri Wakristo wasimamishe Ukristo katika miji ya Israeli na waingize kabila la Israeli katika dini yao si kuvitembelea tu na kuvitazama vijiji vya Waisraeli. Na pia ni wazi ya kuwa kazi hii ya kuhubiri na kuwaingizia haitamalizika mpaka Yesu Kristo aje mara ya pili. Kwa hiyo kuwahubiri watu wengine wasio katika mataifa ya Israeli ni kinyume kabisa na mafundisho na maagizo ya Yesu Kristo. Hata mitume wa Yesu pia walifahamu kuwa ni kosa kuwahubiri watu wengine wasio Waisraeli. Tunasoma:
Mimi nawaambieni, ya kwamba ninyi mlionifuata katika zamani za kuzaliwa upya atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu.
"Basi wale waliotawanyika kwa sababu ya ile shida iliyotokea kwa habari ya Stefano wakasafiri hata Foiniki na Kupro na Antiokia. Wasilihubiri lile neno ila kwa Wayahudi peke yao!! (matendo11:19)."
Hivyo, mitume wa Yesu waliposikia ya kuwa Petro aliwahubiri watu wasio Israeli pahali fulani, wakakasirikia nawakashindana naye:
"Na Petro alipopanda kwenda Yerusalemi, wale walio wa Tohara wakishindana naye, wakisema, uliingia kwa watu wasiotahiriwa ukala nao" (Matendo 11:2-3)",
soma hii ufunguke!; omary ibn khatab alimuuliza mtume sababu ya kushuka baqara 223!; akasema imeshuka kwa ajili ya kuwaingilia wanawake tupu zao za nyuma..
Addrul manthur j.uk 473
Fat'hul baary j.8 uk.38-39
Kasome ufunguke!; Allah amewafaridhia ndogo kwa nini mnatakaabar? kula tu..hhhhhhhhhh...
VIPI HAPA NDO MWISHO WAKO WA KUFIKIRI AUU....Paulo anaweza kua sawa tu,kwa MUNGU yote yawezekana kama alivyoweza kumtengeneza popo.wengine wanamuita ndege na wengine humwita mnyama.yamkini YESU alikua BINADAMU na MUNGU pia
Hawa mataifa umewaelewaje?? Ukiacha Paulo ambaye kazi alioifanya haina kifani alihubiri ugiriki,,Macedonia,Syria,Italy nk.Mtume wa YESU Yohana alieandika kitabu cha Ufunuo aliandika kitabu hiki akiwa amewekwa kizuizini katika nchi ya Uturuki.Maana yake na yeye alikuwa akiwahubiria mataifa.""Yohana3:16 Kwa maana jinsi hii, MUNGU aliupenda ulimwengu,hata akamtoa mwanae wa pekee ili KILA amwaminie asipotee bali awe na uzima wa milele.
Matendo ya mitume10&11 kuna majibu yako yote.Ukiwa na mda pitia.The Interpreter's Bible, sahifa 441 jalada VII ambamo imeandikwa hivi:
"Yaonekana wazi kuwa Yesu hakika aliamini kuwa ujumbe wake kwanza na khasa ni kwa watu wake mwenyewe." Ndio maana alisema:
Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua. Mathayo 7.6
Mbwa na nguruwe ni watu wa mataifa yasiyokuwa wana wa Israili.
Ukristo haufai kufundishwa watu wo wote isipokuwa Mayahudi.
Hayo ndiyo mawazo ya Yesu, au ya hao walioandika Injili na wakatia maneno hayo kinywani mwa Yesu.
Tukiendelea na isemavyo Biblia juu ya ujumbe wa Yesu tunapata ushahidi zaidi kutokana na Injili ya Mathayo:
Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Mathayo 10.5-6
Hao Thenashara ni wanafunzi wake kumi na mbili aliowateua mwenyewe Yesu kutangaza mafunzo yake.
Hapo anawapa amri zilizo wazi kuwa wasiwaendee watu wa Mataifa, yaani wasiokuwa Waisraili.
Hao wanafunzi kumi na mbili ndio wanaoitwa katika Biblia "mitume" kwa kuwa walitumwa na Yesu.
Na wao kama yeye mwenyewe hawakutumwa ila kwa "kondoo waliopotea wa Israel" kwani "si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa." Na wanawakirisha kabila 12 za israil.
Yesu alionya, lakini Paulo hakusikia:
"Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie. Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na wakawararua."
Akazidi kuwaasa: "Mwanafunzi hampiti mwalimu wake bali yamtosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake" Mathayo 10:24
Lakini tunaona paulo amempita hata mwalimu wa walimu, na hii inadhihirisha kuwa Paulo hakuwa mwanafunzi wa Yesu.
Yesu anasema; Jitieni nira yangu mjifunze kwangu" (Mat 11:29-30) Sasa ndugu yangu wewe unajifunza kwa nani mpaka useme Yesu ni Mwokozi wa Ulimwengu?
Hapo mwenzio kazungumzia matendo ya Yesu sasa wewe unamwambia asome matendo ya mitume!!! Wapi na wapi bwana........Matendo ya mitume10&11 kuna majibu yako yote.Ukiwa na mda pitia.
Tumia akili vizuri, acha ushabiki maandazi utaelewa.Hapo mwenzio kazungumzia matendo ya Yesu sasa wewe unamwambia asome matendo ya mitume!!! Wapi na wapi bwana........
Matendo ya mitume10&11 kuna majibu yako yote.Ukiwa na mda pitia.
Katika hio mistari niliokupa utaona petro mtume akiambiwa asimdharau yoyote bali awe Karibu hata na watu walioonekana wachafu,,pili hata mwanamke alieambiwa chakula cha watoto hawapewi mbwa baada ya kujinyenyekesha alipokea baraka yake na mwanae akaponywa.Kwa nini Yesu alisema maneno kama haya ya kukataa na kukataza kuwafunza dini ila Waisraili tu?
Kwa nini alitumia mifano mibaya kama hivyo "mbwa" na "nguruwe" kwa kuwakusudia hao watu wengine wasio Mayahudi, yaani ndio mimi na wewe mwenzangu?
Wataalamu wa Kikristo na wasio Wakristo wamestaajabishwa na maneno hayo.
Ni maneno machache katika aliyoyasema Yesu ambayo yamewatatiza wasomaji Wakristo kuliko maneno haya.
Wapo wanaoona kuwa Yesu alitumia matusi yale kuwaita wote wasio Mayahudi kufuata mwenendo wa Kiyahudi, yaani ndio hivyo Mayahudi wawaonavyo binaadamu wote wasio kuwa wao.
Na wapo wasemao kuwa Yesu akipenda kufunza kwa mifano, na hivyo anafananisha kama kwamba yeye anaamini hiyo imani mbovu ya Kiyahudi ya kudharau watu wasiokuwa kabila yao.
Na wapo wengine ambao wanaona maneno yale ni ya Mathayo, na yeye Mathayo (au ye yote yule aliyeandika Injili hiyo) kamuambatisha nayo Yesu maneno hayo, kwa kuwa yeye mwandishi alikuwa Mkristo wa kabila la Kiyahudi na anacho kiburi cha Kiyahudi.
Ama kusema kuwa hakutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa Israeli inaonekana kama kilivyosema kitabu cha The Interpreter's Bible kuwa Yesu hakika kwanza aliamini kuwa alitumwa kwa Waisraili tu.
Ni jambo la kustaajabisha kuwa Mungu au Mwana wa Mungu aje duniani atumwe na kwanza asiujue utumwa wake ila aamini tu kuwa katumwa kwa watu wake wa Kiyahudi basi.
Na kama yeye ni Mungu au Mwana wa Mungu, katumwa na nani?
Kama katumwa na Mungu, basi yeye si Mungu.
Si hilo tu, bali hata akiwa ni Nabii na Mtume wa Mungu tunamtaraji aujue tangu mwanzo huo ujumbe wake aliokuja nao, asiwe kutapatapa, kupapasa, na kuhangaika katika jambo la msingi.
Hapana haja ya kuyatafutia tafsiri hii na maana hii, hayo maneno yaliyo wazi ya Yesu Kristo.
Yesu hakika hakutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Yesu hakika kawakataza "mitume" wake wasende kuwahubiria mataifa mengine.
Yesu ni kweli kaonya kuwa kuwafundisha mafunzo yake hayo mataifa mengine ni sawa sawa na kuwapa mbwa kilicho kitakatifu, na kuwatupia lulu nguruwe. Kwa nini ikawa hivi?
Ikiwa Yesu kweli katumwa na Mungu, kwa nini ujumbe wake uwekewe mipaka kwa jamaa zake tu wa Kiisraili, na yeye asikiuke mipaka ile?
Naam, zipo sababu zenye nguvu kwa hayo.
Kwa hakika hayo hayakuwa mageni, wala Yesu hakuwa Mtume wa mwanzo kutumwa hivyo na Mwenyezi Mungu. Mitume wote waliokwisha kuja kabla yake walikuwa ni Mitume wa vikundi vyao tu, na zama zao tu, na walikuja na mafunzo yao maalumu machache.
Musa alikuwa hivyo, na Yesu hali kadhaalika. Hali yake hali ya wenziwe, ila yeye alikuwa ndiye Mtume wa mwisho katika Mitume waliotumwa kwa kabila maalumu. Kwa nini Mwenyezi Mungu akafanya hivyo?
Kwa nini Yesu alikatazwa, mathalan, asiwahubirie yeye wala wafwasi wake, Waafrika, au Wazungu, au Wahindi, au Machina, au Waarabu?
Amekatazwa kwa sababu kabila zote hizo zilikuwa hata hazijachukua khatua ya mwanzo ya kuamini Mungu Mmoja. Kabila hizo na mataifa hayo yalikuwa makafiri ama wa kuabudu masanamu, au kuabudu mapango au miti au viumbe vyengine au kuabudu wanaadamu wenzao. Na ujumbe wake Yesu ni kutengeneza mwenendo, tabia ya watu ambao tangu hapo wanayo imani ya Mungu mmoja. Yeye hakuwa na uwezo wala muda wa kujenga tangu chini.
Yeye kazaliwa katika umma wenye kuamini Mungu Mmoja, umma wenye sharia ya Mwenyezi Mungu.
Kazi yake kwa muda mchache alioishi na kuhubiri ni kiasi ya kuwapiga msasa tu Mayahudi ambao walikwisha tahiriwa, wanajua cha halali na haramu, na muhimu kabisa wanamjua Mwenyezi Mungu Mmoja, asiyezaa wala kuzaliwa. Ila yao Mayahudi ni kutokuwa na huruma, na kuifanya dini sharia tu isiyo na roho na imani.
Mayahudi waliishika sharia ya Musa kwa dhaahiri yake, lakini waliutupilia mbali uchamngu wa Ibrahimu, wakashika ya kuonekana na watu, na wakatupa ya ndani anayoyaona Mwenyezi Mungu na dhamiri zao.
Walipoacha "mitume" wa Yesu amri hiyo ya Mungu ya kutowendea makafiri wasiomjua Mungu wala msingi wa sharia, ndipo mafunzo ya Yesu yalipochafuka.
Kwani hao makafiri walipoingia katika Ukristo walijigeuza jina tu, lakini waliingiza karibu yao yote ya kikafiri katika dini ya Yesu, ikaitwa Ukristo, na hali sio Ukristo kabisa aliyoufundisha Yesu.
Mahekalu yao ya kipagani yakageuzwa makanisa, na mizimu na mapango yao yakawa ndio monastari za Kikristo.
Lau kuwa Wana wa Israili wangeli mwitikia Yesu, basi Ukristo usingelichafuka kama ulivyo chafuka.
Katika hio mistari niliokupa utaona petro mtume akiambiwa asimdharau yoyote bali awe Karibu hata na watu walioonekana wachafu,,pili hata mwanamke alieambiwa chakula cha watoto hawapewi mbwa baada ya kujinyenyekesha alipokea baraka yake na mwanae akaponywa.
YESU sio mtume labda unionyeshe popote pale kwenye biblia.
Wala sio nabiii kamwe,,
YESU ni mwana wa MUNGU.Na njia sahihi ya kufika mbinguni.
Katika hio mistari niliokupa utaona petro mtume akiambiwa asimdharau yoyote bali awe Karibu hata na watu walioonekana wachafu,,pili hata mwanamke alieambiwa chakula cha watoto hawapewi mbwa baada ya kujinyenyekesha alipokea baraka yake na mwanae akaponywa.
YESU sio mtume labda unionyeshe popote pale kwenye biblia.
Wala sio nabiii kamwe,,
YESU ni mwana wa MUNGU.Na njia sahihi ya kufika mbinguni.