Yeyote aliyeajiriwa na anataka kujiajiri; anza kununua vitendea kazi kwa ajili ya ajira yako mpya

Yeyote aliyeajiriwa na anataka kujiajiri; anza kununua vitendea kazi kwa ajili ya ajira yako mpya

Umezungumzia jambo zuri sana, Je hizi mashine baadhiyake nazipatia sehemu gani Tanzania, Mashine ya kusaga na mashine ya kushona mabegi....

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mashine ya kusaga unaweza kuwaona Sido, au unaweza kutafuta mtandaoni; mashine za mabegi zipo, unaweza kuwaona hao jamaa.
11.jpg
 
Back
Top Bottom