Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Dec 4, 2022 Thread starter #21 Banjuka said: Umezungumzia jambo zuri sana, Je hizi mashine baadhiyake nazipatia sehemu gani Tanzania, Mashine ya kusaga na mashine ya kushona mabegi.... Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app Click to expand... Mashine ya kusaga unaweza kuwaona Sido, au unaweza kutafuta mtandaoni; mashine za mabegi zipo, unaweza kuwaona hao jamaa.
Banjuka said: Umezungumzia jambo zuri sana, Je hizi mashine baadhiyake nazipatia sehemu gani Tanzania, Mashine ya kusaga na mashine ya kushona mabegi.... Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app Click to expand... Mashine ya kusaga unaweza kuwaona Sido, au unaweza kutafuta mtandaoni; mashine za mabegi zipo, unaweza kuwaona hao jamaa.