Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

Yoyote yule ambaye yupo tayari kutoa mwaliko Mimi nipo tayari..
Location Gongo la mboto...

Nafika sehemu yoyote ile ndani ya jiji la dasalamu..

Nakuja na vitendea kazi vyangu
Kama Kijiko
Ndizi
Kachumbari
Maji na soda...

Ahsante sana

Update::
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sema mood jau sana mi title sijaweka hivo wakuu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Kaongezeka Joline
Mpaka sasa ubao ni 0-0 (11;16)

Sijanywa chai nasubiri mialiko wakuu

Mialiko imepatikana ila daah imekua noma kweli an nauli tena kipengele wakuu
Mimi nipo Mbeya Pazuri by now. Panda ndege kesho saa nne uwe hapa kwaajili ya Boxing day mkuu
 
Back
Top Bottom