Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

😳😳😳😳😳 Ni kweli madam..
Sema usiongee kwa sauti madam maana wana visilani hao....

We assume kuna jamaa juu kule et anasema naendekeza tumbo 😢😢😢😢😢
Si ni kweli unataka uende ukale
 
Hapana mkuu .. we injoiii injoii mkuu 😀😀😀😀😀😀😀
6316c6fde037a353f3b433aab7e6598f.png

Naaaaaaam
 
Back
Top Bottom