Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

Inamana wewe umeona hii tuu madam πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Daaah ila kuna watu natural ni wakorofi tuu..
Nipe location madam dem
Ni hiyo tu nimeona mimi.
Nipo chuga karibiu..usisahau pilipili
 
Ni hiyo tu nimeona mimi?
Nipo chuga karibiu..usisahau pilipili
Daaah chuga mbali...
Oky madam we injoi bana.
Ngja nisubr kwa hawa hawa wa dasalam.

Ila asante sana kwa moyo wako madamu
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hao wa daslam wachoyo
😳😳😳😳😳 Ni kweli madam..
Sema usiongee kwa sauti madam maana wana visilani hao....

We assume kuna jamaa juu kule et anasema naendekeza tumbo 😒😒😒😒😒
 
Yoyote yule ambaye yupo tayari kutoa mwaliko Mimi nipo tayari..
Location Gongo la mboto...

Nafika sehemu yoyote ile ndani ya jiji la dasalamu..

Nakuja na vitendea kazi vyangu
Kama Kijiko
Ndizi
Kachumbari
Maji na soda...

Ahsante sana

Update::
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sema mood jau sana mi title sijaweka hivo wakuu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Kaongezeka Joline
Mpaka sasa ubao ni 0-0 (11;16)

Sijanywa chai nasubiri mialiko wakuu

Mialiko imepatikana ila daah imekua noma kweli an nauli tena kipengele wakuu
Nani anataka kukaribisha Mazombi?
 
Yaan mkuu una element za ukatili ....
Yaani usipiangalia ukute apo hom wenzako wanakuita JANABI ila ndo vile kisiri siri
πŸ˜€πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
20241225_134034.jpg

Na kula biskuti na maji hapa karibu huku Kigamboni Mwongozo mtaa wa Somangila
 
Nipo gongo la mboto mkuu..
Kutoka hapa mpaka msoga unajua ni masaa mangapi..

Huku usafiri jau kufuka huko ingekua hapa hapa dasalam sawa mkuu..

Mkuu kweli nia ninayo.
Sawa mkuu,Nimekuelewa na Samahani kwa kwenda nje ya lengo la uzi wako ....Merry Christmas njema mkuu
 
Badili jina
Poorbrain's uncertainty principle
"" It is impossible to measure or calculate exactly both the Intelligence Quotient and the Emotional Quotient of the Brain by temporary event *"".
 
Kutoka ferry mpaka hapa ni 18 km halafu unachukua bodaboda kama 3 km
Sawa sawa mkuu eeehe na jua hili mbona show itakua kali ahahahahha ila ngoja nifanye mpango kama tafanikisha japo uhakika ni sifuri
 
Back
Top Bottom