Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

Mkuu Poor Brain ningekualika sema nilipo itakukost nauli kama 80k+
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Alafu nikisema wee jamaa ujiheshimu huwa wanasema nakusingizia ....

Sasa nauli elfu themaninu seriously
Daaah nimecheka sana

Mkuu wee injoi tuu alafu ujue nn mkuu
Wee mchawi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yoyote yule ambaye yupo tayari kutoa mwaliko Mimi nipo tayari..
Location Gongo la mboto...

Nafika sehemu yoyote ile ndani ya jiji la dasalamu..

Nakuja na vitendea kazi vyangu
Kama Kijiko
Ndizi
Kachumbari
Maji na soda...

Ahsante sana

Update::
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sema mood jau sana mi title sijaweka hivo wakuu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Kaongezeka Joline
Mpaka sasa ubao ni 0-0 (11;16)

Sijanywa chai nasubiri mialiko wakuu

Mialiko imepatikana ila daah imekua noma kweli an nauli tena kipengele wakuu
Njoo Msoga apa kwa JK uenjoy
 
Sikukuu ni ya wote mkuu
Aaaaah Alafu mda wote nilikua nakuchukulia seriously..

Kumbe mwanangu ushakula mjani bana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™πŸ™πŸ™

Cannabis nimekuelew πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Alafu nikisema wee jamaa ujiheshimu huwa wanasema nakusingizia ....

Sasa nauli elfu themaninu seriously
Daaah nimecheka sana

Mkuu wee injoi tuu alafu ujue nn mkuu
Wee mchawi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yoyote yule ambaye yupo tayari kutoa mwaliko Mimi nipo tayari..
Location Gongo la mboto...

Nafika sehemu yoyote ile ndani ya jiji la dasalamu..

Nakuja na vitendea kazi vyangu
Kama Kijiko
Ndizi
Kachumbari
Maji na soda...

Ahsante sana

Update::
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sema mood jau sana mi title sijaweka hivo wakuu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Kaongezeka Joline
Mpaka sasa ubao ni 0-0 (11;16)

Sijanywa chai nasubiri mialiko wakuu

Mialiko imepatikana ila daah imekua noma kweli an nauli tena kipengele wakuu
Acha Kuendekeza tumbo kijana kwani siku nyingine huwa unaishi vipi?
 
Acha Kuendekeza tumbo kijana kwani siku nyingine huwa unaishi vipi?
Yaan mkuu una element za ukatili ....
Yaani usipiangalia ukute apo hom wenzako wanakuita JANABI ila ndo vile kisiri siri
πŸ˜€πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Inamana wewe umeona hii tuu madam πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Daaah ila kuna watu natural ni wakorofi tuu..
Nipe location madam dem
 
Back
Top Bottom