PUFF DADDY
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 391
- 803
wewe kwanini hujiheshimu?We jamaa jiheshimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe kwanini hujiheshimu?We jamaa jiheshimu
Mimi Tusubiri Mwkaa mpya..DR Mambo Jambo 😀😀😀
Dactar bora nikose kwa wote ila sio kwako an
Mkuu mi ndo naomba mwaliko ila wewe umenijibu asante 😀😀😀😀😀😀msalimie shem
Sawa nasubri mkuu mpaka sasa ubao 0-0Utapata
Kwema kaka
Kama hujaalika usitegemee kualikwaSawa nasubri mkuu mpaka sasa ubao 0-0
Daaah dactar nasubri bana...Mimi Tusubiri Mwkaa mpya..
Mimi sina Xmass 🤣🤣🤣
Karibu njoo hapa Azam complex chamazi stadium 🏟️ ukifika nitext nije nikuchukueSasa mkuu mbona unasema asante..
Wakati mimi ndo naomba mwaliko 😃😃😃
Mi najiheshimu ila nakushangaa weww unasema mambo ya hovyowewe kwanini hujiheshimu?
Mkuu wapi hyoPilipili muhimu sana
Mwaliko mkuuKwema kaka
Sasa kwa hayo mazagazaga unayokuja nayo, sisi tulivyoandaa tuvipeleke wapi?Yoyote yule ambaye yupo tayari kutoa mwaliko Mimi nipo tayari..
Location Gongo la mboto...
Nafika sehemu yoyote ile ndani ya jiji la dasalamu..
Nakuja na vitendea kazi vyangu
Kama Kijiko
Ndizi
Kachumbari
Maji na soda...
Ahsante sana
Update::
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Sema mood jau sana mi title sijaweka hivo wakuu 🙌🙌🙌🙌
Kaongezeka Joline
Mpaka sasa ubao ni 0-0 (11;16)
Sijanywa chai nasubiri mialiko wakuu
Nyie ndo wachawi humuKama hujaalika usitegemee kualikwa
Karibu sana kigamboni hapaMwaliko mkuu
Mkuu hapo azam complex upo kwa maeneo gani maana mi nina mama angu mdogo hapo ngudu barKaribu njoo hapa Azam complex chamazi stadium 🏟️ ukifika nitext nije nikuchukue
Karibu sanaa
Asante sana mkuu dah kweli mkuu hauna mambo mengi an wee ni kauli chache tuu 🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏Karibu sana kigamboni hapa
Sema wee kadhi mkuu ni mtu flan na heshima zako 😄😄😄😄Sasa kwa hayo mazagazaga unayokuja nayo, sisi tulivyoandaa tuvipeleke wapi?
Nipo hapa free park Ila ntasepa muda wa saa 9 karibu sanaaMkuu hapo azam complex upo kwa maeneo gani maana mi nina mama angu mdogo hapo ngudu bar