Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

Njoo chap hapa maeneo ya Mbezi mwisho Jogoo house kama unaelekea Chanika kuna njia inaelekea msikiti wa Temeke, Kinondoni ulizia kwa mzee Msindo mstaafu wa jeshi, Nyunba inayopakana nayo maeneo ya Kharzakhstan pembeni kuna Lodge inaitwa Upendo Lodge fuata hiyo njia teremka mpaka duka linaitwa Mwigulu shop wanauza mchele wa jumla na rejareja hapo, soda kreti wanauza 7000 tu, ulizia ilipo Hospitali ya Temeke, njoo na hiyo njia mpaka Kisemvule, Shuka hapo chukua bajaji njoo, utanikuta hapa Temboni nimesimama, nimevaa shati nyeusi na suruali ya kaki. Karibu sana
 
Back
Top Bottom