Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

Yeyote mwenye mwaliko wa Sikukuu ya Christmas afunguke, nakuja na vitendea kazi vyangu

Je uandishi wako?Na kwann uchague hilo jina? Angalia nimejoin lini JF na hizo kesi za didy zimezuka lini alafu utapata majibu.
Sema we jamaa una take vitu seriously sana..
Chakula si cha kumnyima mtu blood.
Unataka kusema jina limenikosesha mwaliko ndgu yangu
 
Yoyote yule ambaye yupo tayari kutoa mwaliko Mimi nipo tayari..
Location Gongo la mboto...

Nafika sehemu yoyote ile ndani ya jiji la dasalamu..

Nakuja na vitendea kazi vyangu
Kama Kijiko
Ndizi
Kachumbari
Maji na soda...

Ahsante sana

Update::
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Sema mood jau sana mi title sijaweka hivo wakuu 🙌🙌🙌🙌
Ukipata mialiko mingi nigaie mmoja
 
Njoo hapa Palm village ukifika getini au mlango wa kuingilia ulizia Mr Peyo utaelekezwa.

Nitakuepo hadi saatisa na nusu then saakumi jioni nategemea kwenda na wadau kutoa sadaka Temeke hosptalini .

Hivyo njoo tuungane
 
Mkuu mapema kabisa ngoja nifanye huo mpango..
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom