didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Mda utaotumia kwenda kweny mualiko ni bora uutumie kurekebisha ubongo wakoChristmas mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mda utaotumia kwenda kweny mualiko ni bora uutumie kurekebisha ubongo wakoChristmas mkuu
🤣🤣 unameza moto..?
Yaani kutoka gomzi mpaka mbagala rangu tatu ni mianane ...Sasa nauli ya kukufikisha ulikoalikwa ni hela tosha ya kuweka heshima masikani? Unazingua ujue!!😂😂👍
Mkuu mbona unataka maisha yaonekane magumuMda utaotumia kwenda kweny mualiko ni bora uutumie kurekebisha ubongo wako
😀😀😀😀😀Bana weee tualikane ndgu🤣🤣 unameza moto..?
Njoo kiluvya madukani au nenda tegetaYaani kutoka gomzi mpaka mbagala rangu tatu ni mianane ...
Na ndo ruti ndefu..
Ntakula nn mia nane mkuu
Mkuu naona toka mwanzo unataka kufanya maisha yawe magumu sioNjoo kiluvya madukani au nenda tegeta
Hii nchi ina uhuru sana wa ujinga sasa ww ubongo wako tia maji na bado unatak maisha uawe mepes? kweli haki hii?Mkuu mbona unataka maisha yaonekane magumu
Mkuu ishu hapa ni mwaliko ila.nashangaa unanitema hv hv mkuu..Hii nchi ina uhuru sana wa ujinga sasa ww ubongo wako tia maji na bado unatak maisha uawe mepes? kweli haki hii?
tegeta kwa nani..? mbona kama unataka kumpoteza kijana🤣🤣Njoo kiluvya madukani au nenda tegeta
Huyu jamaa namuona toka mwanzo ni hovyotegeta kwa nani..? mbona kama unataka kumpoteza kijana🤣🤣
Ungekua mzima wa ubongo ningekukaribisha hapa mikocheni sema sku ukipona ubongo nishtue uje mikochen kama unapiga bia ulewe had ushindwe kutembeaMkuu ishu hapa ni mwaliko ila.nashangaa unanitema hv hv mkuu..
Life haipo hvo bana