Yeyote yule na kwa njia zozote zile atakayekuwa tayari kuiondoa CCM ya sasa madarakani aungwe mkono

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Hii CCM ya ukoo wa Kikwete,Makamba na kina Nnauye haitufai hata kidogo na ipingwe na kila awaye kwa sababu ya viashiria vya wazi vya ufisadi unaorejea kwa kasi!

Yeyote yule na kivyovyote vile mtu,kikundi,wazungu,waarabu na yeyote awaye bila kujali alivyo endapo tu ataonyesha nia ya dhati ya kuwafurumusha hao mafisadi wa siasa na rasilimali za Nchi na aungwe mkono mara moja.

Utawala wa huyu mama haufahi hata kidogo kwani viashiria vyote vya yeye kuongozwa na si yeye kuongozwa vipo bayana.
CCM hii imeishiwa pumzi na sasa wanalazimisha liwalo na liwe ili tu wabaki madarakani.

CCM hii ipo tayari wakate umeme na maji ili tu wao kwa maslahi yao na familia zao waneemeke kwa mgongo wa matatizo wanayozalisha wao.

Nawasihi Watanzania wenzangu kwa namna yeyote ile tukataeni utumwa wa CCM kwa mara nyingine.
 
Hoja si kuondoa CCM madarakani, hoja ni kudai Katiba mpya !! usiruke step moja mkuu - utajikwaa uvunjike mguu. Kuindoa CCM madarakani afu ukaiacha katiba hii hii unaweza kuja kutengeneza jitu lingine likaja kuwa baya zaidi ya CCM sijui umenipata ? Tuungane na CDM pamoja na watanzania wengine kudai katiba mpya.

Hili ndilo jukumu la kwanza kwa mtanzania yeyote makini mwenye uzalendo kwa kweli kwa taifa lake.
 
Hoja si kuondoa CCM madarakani, hoja ni kudai Katiba mpya !! usiruke step moja mkuu - utajikwaa uvunjike mguu. Kuindoa CCM madarakani afu ukaiacha katiba hii hii unaweza kuja kutengeneza jitu lingine likaja kuwa baya zaidi ya CCM sijui umenipata ? Tuungane na CDM pamoja na watanzania wengine kudai katipa mpya.

Hili ndilo jukumu la kwanza kwa mtanzania yeyote makini mwenye uzalendo kwa kweli kwa taifa lake.
Wazo zuri pia
 
Hii CCM ya ukoo wa Kikwete,Makamba na kina Nnauye haitufai hata kidogo na ipingwe na kila awaye kwa sababu ya viashiria vya wazi vya ufisadi unaorejea kwa kasi!

Yeyote yule na kivyovyote vile mtu,kikundi,wazungu,waarabu na yeyote awaye bila kujali alivyo endapo tu ataonyesha nia ya dhati ya kuwafurumusha hao mafisadi wa siasa na rasilimali za Nchi na aungwe mkono mara moja.

Utawala wa huyu mama haufahi hata kidogo kwani viashiria vyote vya yeye kuongozwa na si yeye kuongozwa vipo bayana.
CCM hii imeishiwa pumzi na sasa wanalazimisha liwalo na liwe ili tu wabaki madarakani.

CCM hii ipo tayari wakate umeme na maji ili tu wao kwa maslahi yao na familia zao waneemeke kwa mgongo wa matatizo wanayozalisha wao.

Nawasihi Watanzania wenzangu kwa namna yeyote ile tukataeni utumwa wa CCM kwa mara nyingine.
mamaaaa suzy, wamekukera nini tena? endelea kulegeza ta.ko dawa ikuingie vzr sindano isivunjike.
 
Amesema CCM imeshowa punzi sasa maanayake si itakufa tu yenyewe sasa povu la nini waiache mpaka itakapokata roho wachukuwe hiyo nchi.
 
Hii CCM ya ukoo wa Kikwete,Makamba na kina Nnauye haitufai hata kidogo na ipingwe na kila awaye kwa sababu ya viashiria vya wazi vya ufisadi unaorejea kwa kasi!

Yeyote yule na kivyovyote vile mtu,kikundi,wazungu,waarabu na yeyote awaye bila kujali alivyo endapo tu ataonyesha nia ya dhati ya kuwafurumusha hao mafisadi wa siasa na rasilimali za Nchi na aungwe mkono mara moja.

Utawala wa huyu mama haufahi hata kidogo kwani viashiria vyote vya yeye kuongozwa na si yeye kuongozwa vipo bayana.
CCM hii imeishiwa pumzi na sasa wanalazimisha liwalo na liwe ili tu wabaki madarakani.

CCM hii ipo tayari wakate umeme na maji ili tu wao kwa maslahi yao na familia zao waneemeke kwa mgongo wa matatizo wanayozalisha wao.

Nawasihi Watanzania wenzangu kwa namna yeyote ile tukataeni utumwa wa CCM kwa mara nyingine.
Muacheni mama anafungua nchi jamani😅 hamuoni wawekezaji wanamiminika na huduma za tozo zinaendelea vizuri jamani?

Bei za vitu kupanda ni kulingana na soko la dunia jamani! Yule msukuma alitubana sana kazi iendelee 😅😅😅
 
Hoja si kuondoa CCM madarakani, hoja ni kudai Katiba mpya !! usiruke step moja mkuu - utajikwaa uvunjike mguu. Kuindoa CCM madarakani afu ukaiacha katiba hii hii unaweza kuja kutengeneza jitu lingine likaja kuwa baya zaidi ya CCM sijui umenipata ? Tuungane na CDM pamoja na watanzania wengine kudai katiba mpya. Hili ndilo jukumu la kwanza kwa mtanzania yeyote makini mwenye uzalendo kwa kweli kwa taifa lake.
 
Hii CCM ya ukoo wa Kikwete,Makamba na kina Nnauye haitufai hata kidogo na ipingwe na kila awaye kwa sababu ya viashiria vya wazi vya ufisadi unaorejea kwa kasi!

Yeyote yule na kivyovyote vile mtu,kikundi,wazungu,waarabu na yeyote awaye bila kujali alivyo endapo tu ataonyesha nia ya dhati ya kuwafurumusha hao mafisadi wa siasa na rasilimali za Nchi na aungwe mkono mara moja.

Utawala wa huyu mama haufahi hata kidogo kwani viashiria vyote vya yeye kuongozwa na si yeye kuongozwa vipo bayana.
CCM hii imeishiwa pumzi na sasa wanalazimisha liwalo na liwe ili tu wabaki madarakani.

CCM hii ipo tayari wakate umeme na maji ili tu wao kwa maslahi yao na familia zao waneemeke kwa mgongo wa matatizo wanayozalisha wao.

Nawasihi Watanzania wenzangu kwa namna yeyote ile tukataeni utumwa wa CCM kwa mara nyingine.
@Wakudadavua
 
Back
Top Bottom