Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hii CCM ya ukoo wa Kikwete,Makamba na kina Nnauye haitufai hata kidogo na ipingwe na kila awaye kwa sababu ya viashiria vya wazi vya ufisadi unaorejea kwa kasi!
Yeyote yule na kivyovyote vile mtu,kikundi,wazungu,waarabu na yeyote awaye bila kujali alivyo endapo tu ataonyesha nia ya dhati ya kuwafurumusha hao mafisadi wa siasa na rasilimali za Nchi na aungwe mkono mara moja.
Utawala wa huyu mama haufahi hata kidogo kwani viashiria vyote vya yeye kuongozwa na si yeye kuongozwa vipo bayana.
CCM hii imeishiwa pumzi na sasa wanalazimisha liwalo na liwe ili tu wabaki madarakani.
CCM hii ipo tayari wakate umeme na maji ili tu wao kwa maslahi yao na familia zao waneemeke kwa mgongo wa matatizo wanayozalisha wao.
Nawasihi Watanzania wenzangu kwa namna yeyote ile tukataeni utumwa wa CCM kwa mara nyingine.