Kila jambo lina uzito wake ndugu kulingana na mhusika. Mm hupenda niishi na familiia kwa amani na upendo.
Tuachie hapa. Inatosha
Nnavyokuona .....
Please jipende kwanza kabla ya kupenda yeyote!
Maisha zawadi usiitupetupe,iienzi!
Nilishaumizwa sanaàa! Au niliumia saaana!
Sijapigwa kibao,hivyo sujaumizwa ,niliumia sana!
Sitakaa nisahau!
Diari ya mwaka huo sitaki kuipitia!
Mapenzi yanauma sana! Sikuweza Kula ,nilipungua uzito zaidi ya kilo 15 ndaninya mwezi bila zoezi wala diet! Nilikuwa kama kichaaa!
Lakini nilisimama kwa kusali na kuomba,ila nilikaribia kufa!
Nihisia tuuu zako binafsi,mwenzako wala hakujali wala hakifeel hata kidogo! Kwanza anakushangaa tuu unavyohangaika!
Nakuelewa ,jipende kwanza wewe wewe mwenyewe ndio wengine wafuate!
Nilijifunza kuchukia japo ngumu,nilimchukia jamaa hatari! Mpaka sasa niko nae, simtegemei sana kunipa furaha! Ananipa pesa magari,na vingine, lakini hisia zangu bado hazijarudi kama mwanzo 10 yrs!!
Zungumza humu ,acha yapite,chati,Cheka,furahi,
But sali sana!
Mwisho wa siku wote tutakufa!
Usijiue usiue