Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Yaani unaweza kwenda kuomba wazazi wako warudishe mahari. Yaani wana maneno kama yale ya heloo alafu mwisho alishindwa kuapply maneno yake.hahahaa makungwi wengi san wameachika !ila ukimsikiliza sasa unajihis wewe unamkosea sana mumeo lol