TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

hahahaa makungwi wengi san wameachika !ila ukimsikiliza sasa unajihis wewe unamkosea sana mumeo lol
Yaani unaweza kwenda kuomba wazazi wako warudishe mahari. Yaani wana maneno kama yale ya heloo alafu mwisho alishindwa kuapply maneno yake.
 
Ww ungempa penzi murua?!

Yona nilikuwa namfahamu vzr sn hakuwa mtu wa wanawake i cn understand kwann hata huyo mke kampelekesha namna hiyo jamaa alikuwa mtu muoga muoga hivi
Nokia83 nimpate mwanaume design ya Yona kama unavyomsemea hapa nitampenda kiasi kikubwa mno. Maisha ya ndoa ni zaidi ya hiyo papuchi au sijui kitu gani. KWANZA mwanaume kwangu ni yule anayenipenda kwa uaminifu na kujituma kimaisha na Mimi najituma na mwisho wa siku tunatathmini tunachokiona kwa macho cha Maendeleo and not counting how many times we have been on bed. Hatujabahatika jamani.
 
Kwani huyo uliyekuwa nae sasa hakuonyeshi upendo?!
 
ina maana hujasoma chanzo cha kujiua? dah !kweli trump hajakosea
Nimesoma Sana Sana Kuhusu Mwanamke....
Wewe Umelipokea Kama Lilivyo na Kulimeza!
Mimi Hapo Nimehoji/Uliza Mambo 2
Moja Kuhusu Nini Kilimfanya Akae Jela Miezi 2?
Pili..Nikauliza Mtandao Wake was Wanabidii Bado Upon Active?
Sasa wewe Akili Yako yoooote Hujataka Kufikiria Umemeza Kama Ulivyoletewa Kuwa Kuwa Kajiua!kisa Mwanamke!
Sawa But Mimi Nimetafakari Matukio Allioyaibua Yerico Nyerere Kwenye a screen shot Yake!
 
Sio wote wanaoweza kuchukua maamuzi kama yako, wengine ndio kama huyu sasa. Too bad[emoji134]
Ni kweli lakini inasiƙitisha sana kujitoa hapa duniani kisa espƴ kamvuluga patrick80
 
Kwa heri Yona! Wakati anaanzisha Wanabidii, nilipokea email ya kukaribishwa kujiunga Wanabidii wakati tulikuwa hatufahamiani. Na ndugu zangu wengi sana walipata huo mwaliko. Swali kwa wana-IT: Je, alipate email addresses nyingi hivyo za watu wasiomjua? Aliingia kwenye server za Google na Yahoo?

Mkuu mimi ni miongoni mwa member wa mwanzoni wa mwanabidii,2010 alianzisha kitu kinaitwa FOS-Friends Of Slaa ile kipindi cha uchaguzi na mambo mengi yalitokea na baada ya uchaguzi huyu bwana kuna mambo mambo.

Swali lako jiulize tena na rejea alivyoendesha Wanabidii naamini utaona jibu tu plus ukisoma soma humu ingawa mimi nilimshtukia 2010 na cha kusikitisha ni hii habari ya mwisho wako!!
 
its very sad , the option he choose is wrong..all in all we need to pray for the good last ending for this journey..
ni hayo.tu
 
Back
Top Bottom