Haya mambo hasikie tu. Binafsi nimeyakataa muda mrefu sana,mwanamke kuniendesha au kunipanda kichwani. Mwanamke kama umempenda na ukampeleka kanisani au msikitini then akaanza kuzingua kwa namna yoyote ile,mrekebishe kwa upendo mkuu ila kama habadiliki piga chini.
Haina haya yakuwaumiza watu wakupendao toka asili yako-baba na mama yako na wadogo zako kisa lipumbavu limoja ulilokutana nalo ukubwani tu.
Binafsi najua situations kama hizi kwakuwa nilishaoa ila pale mke alipojihisi anaweza kunikunja,kunifokea fokea,kununa,kunijibu madharau-nilisharudisha kwao huko migombani.
Nalea wanangu mwenyewe,naishi kwa amani. Watoto wangu ni faraja kwakweli.
R.I.P brother,mwanamke sio baba yako.