TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

As
Mm sitaki kutafakari i wnt u to tell...njoo uniambie vzr
Asante. Tunaomboleza kuondolewa na shujaa Yona Maro maana na Mimi nilialikwa huko Wanabidii Forum na boss wangu. Nilipoona utitiri wa posts kwa email yangu nikajiondoa fasta. Hali zetu tupambane nazo tu.
 
Mungu amlaze pema peponi.asilaumiwe,kifo ni kitu cha ajabu sana,kuna jamaa yangu alikuwa anachukia sana tabia za kusikia kwamba mtu amejinyonga sijui kanywa sumu but surprisingly november mwaka jana katikati ilikuwa jumapili usiku jamaa naye akajitia kitanzi.haya mambo ni kumuomba Mungu tu atuepushie kwani ndiye anayejua siri za maisha yetu.
 
Hata wanawake wanamizigo!l
Mme anadeti na house girl live!
Anakutukana mbele yake!
Anakwambia kama kuondoka ondoka wewe huyu haondoki!

Au anachiti na mdogo wako!
Au Rafiki yako kipenzi!
Mwingine hadi picha ya michepuko anakuonyesha ilivyo bomba ili utilize mzuka maani huenei,hufikii
Yaaani tunavumilia mengiiii

Sote tuache uzinzi!
Kila jambo lina uzito wake ndugu kulingana na mhusika. Mm hupenda niishi na familiia kwa amani na upendo.
Tuachie hapa. Inatosha
 
R. I. P

Ila huu ni uzembe unajitoaje roho kwa mpumbavu mmoja, ulikiwa na maisha kabla yake, na maisha yapo pia baada yake.. Kafanya tukiobla kipuuzi saaana.
 
Inasikitisha sana huyo mke hataishi kwa raha poleni mno wafiwa pumzika kwa amani yona

Ndio kwanza atakuwa huru afanye yake.

Biblia imewaelekeza wanaume waishi kwa akili na wake zao. Sasa mwanaume anayekabidhi akili zake kwa mkewe hamna namna ya kumsaidia. Maana anaenda kinyume na biblia.
 
Mungu ampumzishe kwa amani.Kifo chake kimenistua sana.Kweli wanadamu tunaishi na mengi moyoni mwetu
 
b55727760e6782b287e893c53e15543a.jpg


Yona Maro alikuwa baba wa watoto wawili amefariki usiku wa kuamkia leo katika Guest House moja huko Uyole Mkoani Mbeya

Marehemu Yona alikuwa na Ugomvi na mke wake usiku wa manane, chanzo cha ugomvi ni mkewe kuchelewa kurudi nyumbani

"Marehemu alikuwa na ugomvi na mkewe kwa makosa ya kuchelewa kurudi nyumbani mara kwa mara"

Alisema jirani

Marehemu amekutwa na mauti kwenye Guest baada ya kuvunja mlango wa chumba alichopanga Na kukuta mazingira ya kujiua kwa sumu huku pembeni ameandika namba za mkewe wake
Sijui kwanini duniani kuna vitu vigumu kiasi hiki... Eeeh Mungu baba wa rehema kampe pumziko la haki marehemu..
Nazidi kuziombea ndoa na mahusiano mengine yanayopitia katika nyakati ngumu za ugomvi na mafarakano... Baba wa rehema katende sawa sawa na mapenzi yako... Kahukumu kwa haki wale wote wanaotibua ndoa na mahusiano ya wengine
Tunatambua ulisema NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE... basi na iwe hivyo... Aaamen [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Alikuwa mwingi wa aibu(SHY) na lone ranger ,yeye alikuwa habebi laptop bali alikuwa anatumia flash na mara nyingi alitumia laptop ya mtu mwingine(wateja wke) kusoma emails zake,kama anakutengenezea laptop ndio anatumia kusoma email ni kama mtu mwenye mawazo mengi
Duuuuh!!!
 
Back
Top Bottom