TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Huyo mke kama kweli alikuwa anayafanya haya basi mwisho wake sio mzur
 
Sijawahi kufikiria kuoa, sababu waliopo huko hakuna wanachopata cha mana zaidi ya maumivu kama haya
 
Ni uamuzi mgumu mtu kama hata kama ningemfumania wife aliwa na wanaume kumi nisingechukua hatua hiyo ya kujiua. RIP shujaa wa mapenzi
 
Kujinyonga ni pepo mchafu alimuingia kupitia sababu hiyo akapumuzike kwa amani
 
Ohooooo!!!
Nishawahi sema humu, mwanaume anajisikia superior anapokuwa anamzidi mwanamke allmost everything(pesa,umri,cheo nk).

Mwanamke anapokuwa juu tayari inamjengea shida fulani, anakuwa paranoid wakati mwingine kwa hisia zake tu.
 
Good idea hahaaaaa nimeipenda akili mukichwa
 
Ohooooo!!!
Nishawahi sema humu, mwanaume anajisikia superior anapokuwa anamzidi mwanamke allmost everything(pesa,umri,cheo nk).

Mwanamke anapokuwa juu tayari inamjengea shida fulani, anakuwa paranoid wakati mwingine kwa hisia zake tu.
Jamaa inasemekana mwanamke alimtolea mahali ila alikuwa anachukuliwa na madingi, ni kama aliolewa ila kama alifunga ndoa labda walipoamia Mbeya. Huku ukumbi ulilipwa gaza sinza na shughuli haikufanyika.
 
Unalelewa halafu ulete ujeuri si nakuacha tu unapotaka ukae naendelea kufanya yangu??
 
So sad, angeondoka hapo nyumbani akayatafakari kwingine hata kwao. R.I.P awaee.
Nge, nge tunaisema tu sasa hivi ila hatujui aliyoyafanya kumrekebisha mkewe.Saikolojia ya mwanaume kwa mke sio kitu cha kuchezea au kukisemea sana hasa kama mwanamke hamtii mumewe kwa kufanya ngono waziwazi nje ya ndoa.Hii ikitokea mwanaume hulipuka na kufanya makubwa yasiyofikirika. Huyu marehemu yaelekea alikuwa mtu mpole na mkimya, asiyetaka ugomvi na vurumai.Mwanaume wa kawaida angemkwida mkewe na kusokota shingo yake au kuikatakata.Lakini huyu bwana Maro akaona kwa nini kumfanyia mkewe mabaya? Akaamua atokomee kwenye ulimwengu huu awaache mainjinia waendelee kukarabatiana injini zao.
Pumzika kwa amani bw Maro, uliyoyaacha Mungu atayaweka sawa. Poleni sana wanafamilia ya Maro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…