TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Huyo mke kama kweli alikuwa anayafanya haya basi mwisho wake sio mzur
 
Sijawahi kufikiria kuoa, sababu waliopo huko hakuna wanachopata cha mana zaidi ya maumivu kama haya
 
Ni uamuzi mgumu mtu kama hata kama ningemfumania wife aliwa na wanaume kumi nisingechukua hatua hiyo ya kujiua. RIP shujaa wa mapenzi
 
Nimesikitika sana, hawa wanandoa nawajua hata kabla hawana watoto. Tatizo mwanamke yupo njema na jamaa alikuwa choka ila alikuwa kijana mpole na mtulivu. Baba wa mwanamke alikataa wasifunge ndoa coz jamaa kiuchumi sio bomba na ni kweli huyu muuni sana na chapombe kama Baba yake na kwao ni nyuma ya shule ya mapambano sinza
Ohooooo!!!
Nishawahi sema humu, mwanaume anajisikia superior anapokuwa anamzidi mwanamke allmost everything(pesa,umri,cheo nk).

Mwanamke anapokuwa juu tayari inamjengea shida fulani, anakuwa paranoid wakati mwingine kwa hisia zake tu.
 
Hawa ndio wanaume wanaharakati [emoji3][emoji3]nacheka kama mazuri. Yaani unajiua kisa mkeo kachepuka?
Sasa si kaacha watoto wake wapweke
Alishindwa nini kuchepuka au kuachana nae kabisa??
Au alikua analelewa??
Wanaume kila siku wanachepuka wanafumwa wamama wanapambana dume zima linajiua??
Mungu amuweke anapostahiri kamanda Yona.
Good idea hahaaaaa nimeipenda akili mukichwa
IMG-20180113-WA0003.jpg
 
Ohooooo!!!
Nishawahi sema humu, mwanaume anajisikia superior anapokuwa anamzidi mwanamke allmost everything(pesa,umri,cheo nk).

Mwanamke anapokuwa juu tayari inamjengea shida fulani, anakuwa paranoid wakati mwingine kwa hisia zake tu.
Jamaa inasemekana mwanamke alimtolea mahali ila alikuwa anachukuliwa na madingi, ni kama aliolewa ila kama alifunga ndoa labda walipoamia Mbeya. Huku ukumbi ulilipwa gaza sinza na shughuli haikufanyika.
 
Huyu engineer Najua alikuwa Dawasco then netwas then kusoma uholanzi, then project Mbeya then ajira mamlaka! Jee huyu maro eneo lake la kazi, Namaanisha address ilikuwa wapi!? Dar es salaam au Mbeya!? Kama huyu ndugu huyo mke wake ndio alimfanya kuhamia Mbeya that was the biggest mistake he had done in first place !! Hata Siku moja usikubali kuwa drived na mwana mke, utakuja kujuta! Count my words! Hata bibilia imetoa angalizo
Unalelewa halafu ulete ujeuri si nakuacha tu unapotaka ukae naendelea kufanya yangu??
 
So sad, angeondoka hapo nyumbani akayatafakari kwingine hata kwao. R.I.P awaee.
Nge, nge tunaisema tu sasa hivi ila hatujui aliyoyafanya kumrekebisha mkewe.Saikolojia ya mwanaume kwa mke sio kitu cha kuchezea au kukisemea sana hasa kama mwanamke hamtii mumewe kwa kufanya ngono waziwazi nje ya ndoa.Hii ikitokea mwanaume hulipuka na kufanya makubwa yasiyofikirika. Huyu marehemu yaelekea alikuwa mtu mpole na mkimya, asiyetaka ugomvi na vurumai.Mwanaume wa kawaida angemkwida mkewe na kusokota shingo yake au kuikatakata.Lakini huyu bwana Maro akaona kwa nini kumfanyia mkewe mabaya? Akaamua atokomee kwenye ulimwengu huu awaache mainjinia waendelee kukarabatiana injini zao.
Pumzika kwa amani bw Maro, uliyoyaacha Mungu atayaweka sawa. Poleni sana wanafamilia ya Maro.
 
Back
Top Bottom