Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kumbe ndio huyu?? Inasikitisha sananimekumbuka user name yake,alikuwa anajiita shy miaka ile JF.
Hii mitandao na kujenga hoja haiwezi kumwacha mtu salama. Utakaa kwenye mitandao masaa yote na utaingiza kipato saa ngapi. Mke inaonekana ndiye alikuwa bread winner na kama kawaida lazima akupandie. Ni vyema vijana hasa wa CDM na CCM wanaokaa humu ati TL ati Lowassa wakajikita katika kusaka shillingi la sivyo wengi watamfuata. Hapa JF watakaofanikiwa ni akina Nifah, The bold na ONTARIO wanaofaidi kwa kutumia mitandaoAlikuwaga active humu JFmiaka ya nyuma;sema nimesahau user name yake.