TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

R.I.P

kilicho muua Yona,huenda ni depression...ila TUNASHAURIWA KUMSHIRIKISHA M2 /WATU KPND unaptia wkt mgumu mpk unahis hutavuka,Maana hutakosa MTU m1 out of 7billion people worldwide,50million Tanzanians,or 1 to 8millions Tanzanians regional wise,WAkukusaidia MALI au HALI..

Na kipnd unazd kuwashrksha watu,ndvyo unavyozd kupata nguvu ya kusonga mbele na kuona matatizo yako ni ya kawaida ktk dunia,

N Ultimately you r going to kick out your problem with cute solution.


ASINGEJIUA HUYO,SEMA ALIKUWA ANAVUMILIA KIMNYA KIMNYA ITAKUWA..

ILA SORRY AISEEE,nakumbuka my dad always enjoys with my mom by saying

"Ask God to give you right Angel as your mom is,and you will have blue sky wings to fly with destiny"

1.kuzaliwa 2.Ndoa 3.Kufa

His story is over...r.I.p Yona again
 
Unaweza kukuta marahemu aliona msg jamaa akisifia marinda ya mkewe matamu wakat yeye hajawahi hata kuyagusa...huyo mwanamke anaonekana kala chmvi sn.


Watu hawa ambao wanakuwaga wapole huwa wanaenda kubeba magubegube mara nyingi
 
Ninawaza tu msibani huyu mke atawaangaliaje ndugu wa marehemu?
 
Mnatutesa sana nyie wanawake. Inafika kipindi mpaka tunalia kwa ajili yenu. Mm mwenyew naandika lkn nina mzigo mzito sana kwenye moyo wangu. Usione wanawaume tupo barabaran lkn......... Mungu ndiye anajua
Mkuu mshirikishe Mungu na watu wako wa karibu.....Usije kufanya kama alivofanya ndugu yetu Yona...Wewe ni wa thamani sana
 
watu wapole, wastaarabu huwa ndo vifo vyao, wanahisi wamedharaulika sana na aibu kwa jamii ivyo kifo ndo huwa ni suluhisho. wapuuzi sana

kuna mzee alijiua et kisa mtoto wake mkubwa kashikwa ugoni nae kama yohana mpole, mwelewa sana.
Hahahaha..
Mzee katisha..
 
Apumzike kwa amani. Ila sisi wanawake jamani.
Huyo mwanaume nae ni mbinafsi unajiua unaacha watoto. Sasa akijiua ndo Eng hataacha kumla mke wake au? Wanawake tulivyo wengi si angejichagulia mmoja wake amkomeshe mke wake na yeye.
Wanawake wenyewe ndiyo nyie mkitongozwa PM mnakuja kuuliza namna ya kublock mtu, angepata wapi.??
 
Maumivu na Uchungu mda mwengine inawezekana yanatokana na kumgharamia mke kwa hali na mali kabla hajasimama kiuchumi alafu akishafanikiwa anakubadilikia.
 
Wanawake wenyewe ndiyo nyie mkitongozwa PM mnakuja kuuliza namna ya kublock mtu, angepata wapi.??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Mkuu mbona unenishushua hivyo lakini. Angepata tu tuko wengi bado.
 
ni kwel unajua hata ukiangalia sura yake kimuonekano utagundua jamaa alikuwa mpole sana na huenda alikuwa mtu wa kuweka vitu moyoni!!R.I.P
 
Usiongee sana ndugu yangu. Nyamaza tu
Nshayaona kuna wazee flani hivi walikuwa na vipato vizuri sana miaka hiyo katika mialiko yao ya sherehe za familia mmoja wao mke akamfanyia kituko cha dharau mbele yao muda uleule mzee akajiua,akatokea mzee mwingine akansema sana marehemu kwanini ajiue sababu ya mwanamke?wiki moja baadae yuleyule aliye msema marehemu naye akajiua sababu ya mwanamke vilevile.Hii inatufundisha tukiona jambo tumwombe Mungu ayaepushe haya kwa waja wake

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Hakimu na mahakama ni watoto alio waacha wakiwa wakubwa wakijua story itamtesa sana huyu mwanamke

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Baba yangu alinifundisha jambo moja muhimu sana, mkewe (mama yangu) aliyemtoa kijijini na kumpeleka shule mpaka akapata kazi nzuri, alipoanza tu kuleta matatizo; alijaribu kutafuta suluhisho, alipogonga mwamba, alichukua bag lake, na kuondoka. Hakutaka ugomvi na mtu, mama akaolewa tena yeye hakutaka tena kuoa lakini he was content na maisha yake.

Never say never, lakini kujiua kisa mwanamke hapana tena hapana. Labda sababu nyingine, sio mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…