The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Princess mbona una maneno makali best ?Hawa ndio wanaume wanaharakati [emoji3][emoji3]nacheka kama mazuri. Yaani unajiua kisa mkeo kachepuka?
Sasa si kaacha watoto wake wapweke
Alishindwa nini kuchepuka au kuachana nae kabisa??
Au alikua analelewa??
Wanaume kila siku wanachepuka wanafumwa wamama wanapambana dume zima linajiua??
Mungu amuweke anapostahiri kamanda Yona.
sidhani ukiona ndoa ina matatizo miaka 4 ujue shida ni kubwa inawezekana ameshatoa malalamiko mpaka kwa ndugu ikashindikana.....kuna mambo mengine huwezi ongea hata kwa marafiki wa karibu badala ya kukusaidia watakucheka tu unaweza kumueleza rafiki yako wa karibu shida za ndoa yako akaishia kukutangaza na kukuchekani kwel unajua hata ukiangalia sura yake kimuonekano utagundua jamaa alikuwa mpole sana na huenda alikuwa mtu wa kuweka vitu moyoni!!R.I.P
Huo ufala siezi fanya,Yasikie kwa wenzio mwombe Mungu akuepushie P.I.P Yona
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kwani wasomi hawatombwi ? Tena wasomi ndio hatariMke wake kabila gani? Mbona anafanya mambo ya ajabu na usomi wake huo?
Usiseme hiyo huwezi jua halikuwa kwenye situatuon gani ?Huo ufala siezi fanya,
Unakosa vyote
P
Princess mbona una maneno makali best ?
binadamu unafiki umewazidi sana leo hii Le Mutuz ameaibishwa mitandaoni ni nani anamfariji na kumtia moyo zaidi ya kumcheka tu?...acheni unafiki rafiki yako ukisikia aibu zake hautamsaidia zaidi ya kumcheka akijiua ndio mnaleta unafiki wa kumuonea huruma unafiki mtupuR.I.P
kilicho muua Yona,huenda ni depression...ila TUNASHAURIWA KUMSHIRIKISHA M2 /WATU KPND unaptia wkt mgumu mpk unahis hutavuka,Maana hutakosa MTU m1 out of 7billion people worldwide,50million Tanzanians,or 1 to 8millions Tanzanians regional wise,WAkukusaidia MALI au HALI..
Na kipnd unazd kuwashrksha watu,ndvyo unavyozd kupata nguvu ya kusonga mbele na kuona matatizo yako ni ya kawaida ktk dunia,
N Ultimately you r going to kick out your problem with cute solution.
ASINGEJIUA HUYO,SEMA ALIKUWA ANAVUMILIA KIMNYA KIMNYA ITAKUWA..
ILA SORRY AISEEE,nakumbuka my dad always enjoys with my mom by saying
"Ask God to give you right Angel as your mom is,and you will have blue sky wings to fly with destiny"
1.kuzaliwa 2.Ndoa 3.Kufa
His story is over...r.I.p Yona again
Ok , hila papuchi tamu mkuuNimestaajabu kamanda kujiua kisa papuchi
Unabidi ww ndio umfariji , ww si mko chama kimoja bestbinadamu unafiki umewazidi sana leo hii Le Mutuz ameaibishwa mitandaoni ni nani anamfariji na kumtia moyo zaidi ya kumcheka tu?...acheni unafiki rafiki yako ukisikia aibu zake hautamsaidia zaidi ya kumcheka akijiua ndio mnaleta unafiki wa kumuonea huruma unafiki mtupu
nyie watu acheni unafiki wenu mafariki wengi ukiwa na matatizo wanakucheka na kukutenga.....Leo le mutuz amepata aibu ni wangapi wanampa moyo zaidi ya kumcheka ?....angekuwa na roho nyepesi angeshajiua......Kujiua ni udhaifu wa mtu basi..hakuna kingineMara nyingi watu wasio na ndugu au rafiki wa kuongea naye mambo yake. ..ya siri huwa wanajiuwa kirahisi
Lakni imagine tu kuna watu sio wanekutana na hisia za wivu kama marehemu wapo ambao wamewakuta kabisa wenzi wao wanakandamzwa tena chumbani kwao....na wakajiondokea kwa amani ....huyo ukiongea naye utajiona...una afadhali
Pengine ndugu yetu alikuwa mtu wa kukaaa zake ndani suala la wanaume kwenda bar linasaidia wengi wakilewa hueleza frustration zao na kutiana moyo .siku inaisha
Pengine suala la mke...kurudi nyumbani late ni....hisia zake tu ...kama wangekua wanaongea kwa amani angekua anawahi ...sio mara zote atakua ana cheat labda.anachelewa kwa mashoga akifika alale ili tu wasigombane ...na yeye hisia zake zinakuwa kila akichelewa anatoka kwa wanaume ....
Ndio hataipata tenaa sasaOk , hila papuchi tamu mkuu
Mnajali nyinyi, atakua na uzuni ya siku moja, baada anafanya sherehe, wanawake nyinyiInasikitisha sana huyo mke hataishi kwa raha poleni mno wafiwa pumzika kwa amani yona
Kweli Duniani huko Kuna matibabu Ila ni mpaka utake uende, Gorikipa wa timu ya Germany amejiua mwaka 2010,alijitosa katika njia ya train,sababu ya matatizo ya familiaSijui kama hospitali zetu hutibu haya masuala ambayo dunia ya kwanza huangaliwa sana na hutibiwa, sisi ukienda wapimwa malaria tu. Ni wasaa wa kujifunza sasa.