TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

P
Hawa ndio wanaume wanaharakati [emoji3][emoji3]nacheka kama mazuri. Yaani unajiua kisa mkeo kachepuka?
Sasa si kaacha watoto wake wapweke
Alishindwa nini kuchepuka au kuachana nae kabisa??
Au alikua analelewa??
Wanaume kila siku wanachepuka wanafumwa wamama wanapambana dume zima linajiua??
Mungu amuweke anapostahiri kamanda Yona.
Princess mbona una maneno makali best ?
 
ni kwel unajua hata ukiangalia sura yake kimuonekano utagundua jamaa alikuwa mpole sana na huenda alikuwa mtu wa kuweka vitu moyoni!!R.I.P
sidhani ukiona ndoa ina matatizo miaka 4 ujue shida ni kubwa inawezekana ameshatoa malalamiko mpaka kwa ndugu ikashindikana.....kuna mambo mengine huwezi ongea hata kwa marafiki wa karibu badala ya kukusaidia watakucheka tu unaweza kumueleza rafiki yako wa karibu shida za ndoa yako akaishia kukutangaza na kukucheka
 
Sijawahi toa pole kwa mtu alie jiua na wala sitalajii kufanya hivyo, unajiua ili umkomoe nani labda? Mkeo au mchepuko wake?
Mke au mume sio nduguyo vipi ujiue?
Anyway kufa salama pambafu
 
R.I.P

kilicho muua Yona,huenda ni depression...ila TUNASHAURIWA KUMSHIRIKISHA M2 /WATU KPND unaptia wkt mgumu mpk unahis hutavuka,Maana hutakosa MTU m1 out of 7billion people worldwide,50million Tanzanians,or 1 to 8millions Tanzanians regional wise,WAkukusaidia MALI au HALI..

Na kipnd unazd kuwashrksha watu,ndvyo unavyozd kupata nguvu ya kusonga mbele na kuona matatizo yako ni ya kawaida ktk dunia,

N Ultimately you r going to kick out your problem with cute solution.


ASINGEJIUA HUYO,SEMA ALIKUWA ANAVUMILIA KIMNYA KIMNYA ITAKUWA..

ILA SORRY AISEEE,nakumbuka my dad always enjoys with my mom by saying

"Ask God to give you right Angel as your mom is,and you will have blue sky wings to fly with destiny"

1.kuzaliwa 2.Ndoa 3.Kufa

His story is over...r.I.p Yona again
binadamu unafiki umewazidi sana leo hii Le Mutuz ameaibishwa mitandaoni ni nani anamfariji na kumtia moyo zaidi ya kumcheka tu?...acheni unafiki rafiki yako ukisikia aibu zake hautamsaidia zaidi ya kumcheka akijiua ndio mnaleta unafiki wa kumuonea huruma unafiki mtupu
 
binadamu unafiki umewazidi sana leo hii Le Mutuz ameaibishwa mitandaoni ni nani anamfariji na kumtia moyo zaidi ya kumcheka tu?...acheni unafiki rafiki yako ukisikia aibu zake hautamsaidia zaidi ya kumcheka akijiua ndio mnaleta unafiki wa kumuonea huruma unafiki mtupu
Unabidi ww ndio umfariji , ww si mko chama kimoja best
 
research niliyofanya inaonyesha 90% ya wanawake walioolewa wana-cheat, na 95% ya wanaume waliooa wanacheat
 
Mara nyingi watu wasio na ndugu au rafiki wa kuongea naye mambo yake. ..ya siri huwa wanajiuwa kirahisi

Lakni imagine tu kuna watu sio wanekutana na hisia za wivu kama marehemu wapo ambao wamewakuta kabisa wenzi wao wanakandamzwa tena chumbani kwao....na wakajiondokea kwa amani ....huyo ukiongea naye utajiona...una afadhali
Pengine ndugu yetu alikuwa mtu wa kukaaa zake ndani suala la wanaume kwenda bar linasaidia wengi wakilewa hueleza frustration zao na kutiana moyo .siku inaisha

Pengine suala la mke...kurudi nyumbani late ni....hisia zake tu ...kama wangekua wanaongea kwa amani angekua anawahi ...sio mara zote atakua ana cheat labda.anachelewa kwa mashoga akifika alale ili tu wasigombane ...na yeye hisia zake zinakuwa kila akichelewa anatoka kwa wanaume ....
nyie watu acheni unafiki wenu mafariki wengi ukiwa na matatizo wanakucheka na kukutenga.....Leo le mutuz amepata aibu ni wangapi wanampa moyo zaidi ya kumcheka ?....angekuwa na roho nyepesi angeshajiua......Kujiua ni udhaifu wa mtu basi..hakuna kingine
 
ni somo kwa wengine wenye migogoro katika ndoa zao, kumbukeni kuwa mungu alisema ishini nao kwa akili thats means hata akikukasirisha unatakiwa kuvumilia na kumrudisha kwenye mstari,hautakiwa kuwa na hasira juu ya mwanamke
Mwanaume unatakiwa kupambana lkn siyo kujiuwa kisa eti mke
Kizazi hiki kina matatizo makubwa sana, maana ni bora angemfukuza na kuoa mwingine kama ameshindwa kuishi naye au angejiondokea tu kama hawezi kumtoa yeye
Vijana wa kizazi hiki mnatakiwa kujitafakari sana
 
Human psychology ni complex sana. Kila unapopata wasaa jaribu kujifunza abc kupitia mitandao inasaidia kujua unayoyapitia. Zaidi ya nusu ya suicide inasababishwa na depression (deep sadness with dark pain, feel of hopelessness and inability to feel pleasure on pleasurable stuff).

Sijui kama hospitali zetu hutibu haya masuala ambayo dunia ya kwanza huangaliwa sana na hutibiwa, sisi ukienda wapimwa malaria tu. Ni wasaa wa kujifunza sasa.
 
Taarifa kama hizi zinaturudisha nyuma sana wale tunaotarajia kuvuta majiko 2018.

Mungu ndiyo ajuaye atapokuweka Yona.
Siamini kama mke wake amefurahia jambo hili hata kama yeye ndiyo chanzo.

Poleni ndugu, jamaa na rafiki.
 
Inasikitisha sana huyo mke hataishi kwa raha poleni mno wafiwa pumzika kwa amani yona
Mnajali nyinyi, atakua na uzuni ya siku moja, baada anafanya sherehe, wanawake nyinyi
 
Sijui kama hospitali zetu hutibu haya masuala ambayo dunia ya kwanza huangaliwa sana na hutibiwa, sisi ukienda wapimwa malaria tu. Ni wasaa wa kujifunza sasa.
Kweli Duniani huko Kuna matibabu Ila ni mpaka utake uende, Gorikipa wa timu ya Germany amejiua mwaka 2010,alijitosa katika njia ya train,sababu ya matatizo ya familia
 
Back
Top Bottom