The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
P
Princess mbona una maneno makali best ?Hawa ndio wanaume wanaharakati [emoji3][emoji3]nacheka kama mazuri. Yaani unajiua kisa mkeo kachepuka?
Sasa si kaacha watoto wake wapweke
Alishindwa nini kuchepuka au kuachana nae kabisa??
Au alikua analelewa??
Wanaume kila siku wanachepuka wanafumwa wamama wanapambana dume zima linajiua??
Mungu amuweke anapostahiri kamanda Yona.